Hapa nataka kuwauliza watunga Sera na Vyama vya Siasa..., ila kabla ya yote kwanza ninanukuu Babu wa Chama Tawala cha Sasa kilivyosema na kilivyokuwa kinaamini.... (Extract kutoka Hotuba ya Mwalimu Nyerere)
CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia...
Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal.
Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa kutumia level ya certificate na siyo Diploma.
Naomba mnisaidie kama kuna namna ya kufuta.
Wakuu habari,
Sheria ya kikokotoo kwa watumishi waliokuwa na ajira rasmi ipo wazi. Ikitokea mtu amekosa ajira kwa sababu yoyote ile isiwe ya kuacha mwenyewe, sheria inaelekeza alipwe 33% ya mshahara wake kwa muda wa miezi 6. Kisha asubiri miezi 18 kama hajapata ajira nyingine amwandikie...
Wadau habari za muda poleni na majukumu ninaomba kuuliza kwa wazoefu kwa nini serikali aitaki kuona elimu yetu imepitwa na wakati wabadili mfumo wa elimu uliopo uwe kama nchi zilizoendelea ili nasisi tuweze kupunguza matatizo ya kukosa ajira kwa wahitimu wa chuo.Mfano unakuta ajira zimetangazwa...
Kumekuwa na wimbi kubwa sas ama kilio kikubwa juu ya kanga la ukosefu WA ajiraa miongoni mwa vijana wanao hitimu ngazi mbali mbali za elimi, na hata walioko mtaanii pia. Huku upande mwingine tukisikia wimbo wa Tanzania ni tajiri na fursa nyingi.
Nini kifanyike?
Kwa maoni yangu kwa miaka kadha...
Hiki ni kipindi kigumu sana kwa upande wa vijana hasa kwa watoto wa kiume.
Mambo yamegeuka kabisa.
Zamani jamii ilikuwa inaamini mtu alie soma ndie mkombozi wa jamii hasa kwenye swala la uchumi lakini mambo yamekuwa sio kwa miaka ya 2000 to date.
Kila mmoja anashuudia maajabu yanayo fanywa na...
Teknolojia nini?
Teknolojia ni hatua ya mabadiliko kutoka katika matumizi magumu ya kazi kuja katika njia rahisi ya utendaji kazi kwa urahisi na haraka.
Au Teknolojia ni sayansi ya hali ya juu ya ubunifu wa vitu na kubadilisha vitu vilivyokuwa na mifumo wa njia nyingi za uchakataji wa jambo...
Nawasalimu kwa Jina la Muungano wa Tanzania!
Samahani, naomba kuwasilisha MAONI kutokana na kuwepo kwa changamoto ya kimtandao kuanzia tarehe 11.05.2024 hadi hivi sasa. Hali ambayo inazua taharuki kwa vijana waliyokidhi vigezo vya kufanya maombi ya nafasi za ajira zilizotangazwa kwenye mfumo wa...
Wale wote tulioomba ajira za muda katika Tume Huru ya Uchaguzi kwajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura huu ni uzi wetu.
Tupeane updates ya majina yatatoka lini?
Katika harakati za kuwatumia madogo application za polisi leo nimegundua kuwa kuna tatizo upande wa database za hawa jamaa(www.polisi.go.tz) kwani ukiupload document za user huyu zinaenda kwa user mwingine pia hauwezi ku preview muda wote SERVER ERROR, kwa nchi kama hii na ukubwa wake ninasikitika.
Sanaa kwa kiasi kikubwa katika ukanda wetu wa bala la Africa kwa kiasi kikubwa imeanza kuwa sekta rasmi ambayo kama itawekewa mkazo kwa kiasi kikubwa sana inaweza kutoa ajira kwa watu wengi sana kwani cheni ya ajira kwenye sanaa ni kubwa sana kuanzia kwenye chimbuko ambalo ni kipaji cha mtu...
Biashara ya kupiga picha inafaa sana kwa mtu yeyote anayepitia changamoto ya kukosa pesa ya kujikimu iwe mtaani au chuoni.
Kama unamiliki simu inayoanzia laki tatu na kuendelea ila hauna ajira, ni kheri kuuza simu na kununua DIGITAL CAMERA ya kisasa ambayo utapiga picha za aina zote kwa gharama...
Asilimia kubwa ya waandishi wa habari nchini hawana mikataba ya ajira na hawatambuliki na mifuko ya hifadhi ya jamii. Hali hii inatokana na ukweli kwamba waandishi wengi wa habari hawana capacity hakuifanya kazi yao. Most of journalists in Tanzania are mainly reporters.
Na hali Hii imepelekea...
Natafuta wadada na wakaka wachapa kazi kwa ajiri ya kuuza juice mabibo sokoni.... Awe karibu na eneo ili asitumie nauli kubwa.
Mawasiliano: 0686263327 , 0678747553
Note: wawe wachapakazi na wanaojielewa .
Ni haki ya kila Raia kufanya kazi mahala popote nchini ikiwa atakuwa ni mwenye kutimiza vigezo na masharti ya nafasi atakayoiomba, ila kwa sasa imekuwa ni tofauti sana katika hizi taasisi zinazotoa huduma hii ya kuajiri mfano mdogo jeshi la polisi wenyewe wanatambua kuwa Kwa post walizotoa kuna...
Ulemavu ni hali ya mtu kuwa na upungufu kimwili ambao hufanya iwe vigumu kufanya shughuli kulingana na mazingira yanayomzunguka. Kuna aina nyingi za ulemavu kama usikivu hafifu, ulemavu wa viungo vya nje ya mwili kama kama miguu, ulemavu wa ngozi,ulemavu wa kutoweka kutamka maneno, kushindwa...
Chukulia mfano umemaliza chuo mwaka 2015, 2016, 2017, 2018 na 2019 kishuka chini alafu jaribu kuomba ajira serikalini.
Pitia vigezo vyote kabla ya maombi 😀 kivyovyote vile lazima kuna kigezo kimoja utakuwa haukidhi hasa hasa umri. Mfano Tangazo la ajira za polisi la juzi.
Watu wamesoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.