Wakuu, tangu na tangu hizi ajira ntakazoziorodhesha zilikuwa za watoto wa maskini sababu huji kuona mtoto mbunge, waziri au kibompa fulani mwanae anazifanya isipokuwa kazi kama uhasibu, uinjinia, urubani na mfano wake zilikuwa za connections.
Kazi za wanyonge bila connections(japo siku hizi...