ajira

  1. JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia Ackson aibana Serikali kuhusu ajira kwa wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ameibana serikali kuhusiana na suala la ajira kwa vijana wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma. Akizungumza bungeni, leo Oktoba 29, 2024 Dkt. Tulia alisisitiza kuwa vijana hawa wanatoa mchango mkubwa kwa nchi, hivyo ni muhimu kwa serikali kuzingatia...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia, taa ya Matumaini na Maendeleo kwa Tanzania na changamoto za ajira 2024

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, katika nafasi yake with full power and Authority kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anasimama kama taa ya matumaini na maendeleo kwa taifa letu pendwa ikiwemo maswala ya ajira selikalini na sector binafsi. Kwa uongozi wake usio na kifani na...
  3. JamiiForums Tanzania Ajira ni ukoloni mambo leo

    Ajira uwapa watu pesa ya kula Kujenga mtu mpaka akope Ajira iko well calculated ili kuua akili ya waajiriwa wasiwaze nje ya box Ukitaka kujua ajira utapeli mtu anayelipwa 1.2 million per month pesa anayopeleka nyumbani ni laki 7 baada ya makato yote huu ni ukoloni mambo leo . Ajira haikupi...
  4. JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa mchakato wa usaili wa Walimu Sekretariate ya ajira: je, nini kinaendelea?

    MWELEKEO WA MCHAKATO WA USAILI WA WALIMU SEKRETARIATE YA AJIRA: JE, NINI KINAENDELEA? Na Josephat H Interview And Carrer Coach +255656480968 Dar Es Salaaam, Tanzania 👉Leo ni tarehe 28.09.2024, na ni siku chache tu tangu usaili ulipositishwa rasmi kupitia barua iliyotolewa na Katibu Mkuu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake wanafanya mahusiano kama ajira

    Inakuwaje binti anaishi na familia yake, namaanisha baba na mama na bado analilia kuhudumiwa kama vile mtoto yatima?? mahusiano ndio kwanza yana wiki mbili sijakuowa unaishi kwenu na bado unataka kuhudumiwa kama mke wa wan ndoa, Aisee nimeshangaa sana bora nitafute visa tu nikimbie nchi hawa...
  6. JamiiForums Tanzania Napendekeza ufanyike usajili kwa vijana wote wanahamia majijini kutafuta maisha

    Sasa hivi vijana wa vijini wanahamia Wilayani na mikoani kwenda kufanya uchuuzi. Vijana wa Wilayani na mikoani wanahamia Dar es salaam. Kijana hata elimu ya kidato cha nne hana, cheti cha ufundi hana, ufundi au ujuzi wowote hana anakimbia kijijini anakwenda mjini . Ufanyike usajili kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali, labda tungefanya hivi juu ya ajira za ualimu

    Habari zenu wakuu ,,, natumaini wote mpo salama ,, wale walioamka wakiwa wagonjwa ninawaombeni duwa ,, inshallah mtakuwa salama,, na waliofikwa na misiba na majanga ya kila namna ninawaombeni muweze kuvuka salama katika nyaka hizo ngumu zilizowafika.. Kwa kipindi sasa wengi tumeshuhudia njia...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya wahitimu wa vyuo kukataliwa kuomba ajira katika mfumo wa ajira portal

    Kumekuwepo na changamoto kwa wahitimu kukataliwa kutuma maombi ya ajira kwa kupitia ajira portal. Swali je wahitimu hawa wametelekezwa katika ajira au hawana vigezo, tumaomba ufafanuzi kutoka secretariat ya ajira na utumishi
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu swala la ajira utaratibu ulibadilika awamu wa 5 Kulirundikwa watu mtaani sasa mama anahangaika kupunguza angalau hili wimbi la unemplyoment

    Jk alikuwa na utaratibu mzuri sana kila mwaka husika anaajiri walimu au madaktari wote waliohitimu huo mwaka kiasi ambacho kulikuwa kuna scarcity ya watu mtaani na ikapelekea private sector lazima watoe mishahara mikubwa ili kumconnvince mtu asiende serikalini. Sasa lilikuja likaharibu kila...
  10. JamiiForums Tanzania Ngedere ukimwekea ndizi na pesa atachangua ndizi: onyo kwa wapenda ajira

    Ukweli ni kua biashara na kazi, bora biashara, lakini kutokana na hofu, uzembe, kutotaka uthubu, tumejikuta wengi tumeishia kuchagua kazi, sawa na na ngedere asijue kua ela inaweza nunua ndizi, business makes more money.
  11. JamiiForums Tanzania Kulikoni ajira za ualimu 2024?

    Kutokana na sintofahamu usaili wa kada ualimu kusitishwa mpaka itakapotangazwa, hebu chukua dakika tano kumsikiliza Mh. Waziri wa elimu. Halafu nipe maoni yako. Ubaya ubwela.
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ilitangaza nafasi 726, walioitwa 45 (Medical officer II)

    Mwezi July 2024 serikali ilitangaza nafasi 726 za madaktari daraja la II , cha ajabu jana /juzi imetangaza madaktari wanaotakiwa kwenda kuchukua barua 45 tu. Je serikali inafahusika ina maelezo yoyote ya ziada? Haiwezekani nafasi 726 zitangazqe na wapatikane 45 tu. Wengi wanashindwa kuelewa...
  13. JamiiForums Tanzania TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

    Wanajukwaa, muda mfupi uliopita Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametoa tangazo la kusitishwa kwa mchakato wa usaili wa ajira za ualimu hadi hapo itakapoarifiwa tofauti. Aidha, tetesi zilizopo ni kwamba, kelele zimekua nyingi na hivyo imeamriwa mchakato urudi TAMISEMI na usihusihe...
  14. JamiiForums Tanzania Graduate hawana ajira wako mtaani, ila wako Ok kwa sababu Simba na Yanga zinashinda mechi zao

    Ukiwafuatilia Graduate mtaani utaona kabisa walisharidhika sana na life na kikubwa kwao ni kuona Yanga na Simba zina perform well. Hawana time na kupambania feature yao. Hawana time na kuishinikiza Serikali iwapatie ajira wao kikubwa wanaibana Serikali ihakikishe Yanga na Simba zinafanya...
  15. JamiiForums Tanzania Interview Iringa Ajira za Ualimu

    Kuna mdau hatumii JF, kachaguliwa kwenda huko Iringa, ila kaniomba nimtangazie group lake kwa waliochaguliwa kwenda huko ili mshirikiane mawili matatu wasomi nyinyi. Jiunge moja kwa moja kupitia link hii: Iringa Interview
  16. JamiiForums Tanzania Think Twice About What You're Studying – AI is Already Causing Job Losses!

    Hello fellow members, I want to raise awareness about an issue that is affecting many industries today – artificial intelligence (AI). It is clear that AI is transforming the job market, and we need to be aware of how this could impact the careers we’re working so hard for. AI is being...
  17. JamiiForums Tanzania Maelfu waitwa kwenye usaili ajira za ualimu 2024

    Hatimaye mchakato wa kupata Majina ya waliofanikiwa kupenya katika Hatua ya usaili imekamilika, na Orodha hiyo tayari imetolewa ambapo mwombaji anatakiwa kuangalia status ya maombi yake katika account mtandao ya Ajira. Aidha mwombaji anatakiwa kujiandaa vizuri katika usaili utakao fanyika baada...
  18. JamiiForums Tanzania Waswahili wengi hawaaminiki kwenye ajira

    Nitatolea mfano halisi ambao nimekutana nao mimi:- Kuna kijana mmoja alijitangaza mtandaoni anatafuta kazi, amehitimu mwaka juzi kwenye mambo ya IT. Katika kumuhoji kweli, ikaonekana ana shida ya kazi kweli kwa sababu ata kula yake ilikuwa ni ya shida. Nikaumiza kichwa, nikaona huyu atanifaa...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Cheti chenye madoa hakitaleta shida kuitwa interview ajira portal

    Habari Nina cheti changu cha form 4 kina madoa ila taarifa zote zinasomeka hakitaleta shida kuitwa kwenye interview ajira portal
  20. JamiiForums Tanzania Tupeane updates za ajira za walimu 2024

    Habari wana JF haya kuna walioona changes kwenye profile zao. Tiririka mwalimu mwaka wako huu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…