ajira

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya nazo ziungane na Marekani kukata misaada. Ajira zikikosekana, ndio watanzania wataelewa kwanini CCM inafaa kuondolewa madarakani

    Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana. Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...
  2. JamiiForums Tanzania Ewe Mwanachuo unayehitimu, ongeza Maarifa na Stadi za Maisha kwani Ajira siyo uhakika kama zamani

    Elimu ni bahari Elimu ni hazina Elimu ni ufunguo wa maisha. Hii ni baadhi ya misemo inayochochea na kuhamasisha umuhimu wa elimu. Na muamko si mdogo Kwa miaka ya hivi karibuni ,Watu waliograduate ni wengi hali inayosababisha Ajira kuwa chache kwani mahitaji ni machache kuliko bidhaa...
  3. JamiiForums Tanzania Ulitumia jitihada, njia au mbinu zipi kupata ajira au kujiajiri?

    Habari za wakati huu wanaJF, Naombeni mnisaidie wenye uzoefu na hili. Pengine kwenu wanaJF mlitumia njia zipi kuweza kupata ajira au kujiajiri, nimeuliza hili kwa sababu naona maisha yanazidi kunipalia, binafsi nimehitimu shahada ya mambo ya uchumi na takwimu nimejitahidi kutafuta ajira kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Upotevu wa ajira - Teknolojia sio rafiki wa Mwanadamu kwenye ajira

    Teknolojia sio rafiki wa Mwanadamu kwenye ajira
  5. JamiiForums Tanzania Serikali kwakuwa hamna ajira za kutupatia , basi tunaomba mtuwekee mazingira rahisi ya sisi kwenda nje

    Sio sababu maalumu ya kutuwekea ugumu hasa passport n.k Tuwekeeni urahisi wa sisi kutokana na kwenda kujaribu bahati zetu zetu Nje .
  6. JamiiForums Tanzania Hali halisi ilivyo Ajira portal: Hii ndiyo serikali ya CCM inayojinasibu kumwaga ajira kwa maelfu ya wahitimu

    Katika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting? Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia vioo vijana Gen Z! ina maana Serikali nzima, pamoja na thinktank zake imefeli kabisa kuokoa taifa la...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana msio na ajira changamkeni mechi za Yanga ni ajira tosha, anza sasa kubet

    Kuna tumu nane mpaka kumi kwenye ligi kuu,haziwezi kyifunga yanga. Hizo mechi ukizidisha mara mbili yaani home and away ni mechi 20 Ukiweka milioni kila mechi kwa msimu mmoja una sh ngapi?? Sio mpaka niwafundishe kila kitu
  8. JamiiForums Tanzania NAFASI YA AJIRA: Kijana Mwenzangu Chukua Mkopo wa Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia mijini na vijijini (Ni fursa kubwa sana hii)

    FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA! Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania. SIFA ZA MKOPO: ✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa nyomi ya walimu wa kiswahili ile nilioshuhudia siku ya usaili wao, hakika nawashauri vyeti wachome moto na wasahau suala la ajira

    Usipojua na kama haujashuhudia unaweza hisi ni hadithi tu au ni jokes ukweli inasikitisha vijana nilioshuhudia vijana zaidi ya 2000 katika mkoa Fulani wakipambania nafasi ya walimu 180 nchi nzima na hao 2000 ni mkoa Mmoja sijajua mikoa mingine walioitwa kwenye usaili. Hakika kazi ipo vijana...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa wanalikwepa suala la ukosefu wa ajira kwa watanzania, Je uchaguzi huu wa 2025 utawafungua macho vijana?

    Kwanza hii ndiyo unapaswa kuwa ajenga muhimu kwa wagombea wote. Katika mambo ambayo serikali imeamua kuyakwepa kwa namna ya kuziba masikio ni hili suala la ajira kwa wahitimu mbalimbali, hii ni ishara kuwa taifa limekwama pakubwa sana. Miaka zaidi ya kumi Bado hakuna ubunifu wa ajira na...
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu baada ya changamoto sasa nahitaji ajira ya office attendant serikalini .

    Wakuu asiyekubali kushindwa sio mshindani . Nipo hapa mnishike mkono najua JF ni familia kubwa. Nahitaji Ajira ya office attendant Elimu yangu ni Advanced diploma. Ila sijafanikiwa kupata Ajira miaka minne. Nipo tayari kuanzia chini , nahitaji Ajira ya office attendant . Nina Cheti cha form...
  12. JamiiForums Tanzania Sekretariet ya ajira kunani matokeo ya Walimu? Yamenikatisha tamaa baada ya walimu wakongwe kufeli mtihani wa Kiswahili

    Mimi ni mwalimu tarajali mwenzenu wa level ya IIIA, ila kwa matokeo ya kiswahili yamenikatisha tamaa sana, hasa baada ya kuona waalimu wanaofundisha secondary somo la kiswahili kwa miaka zaidi ya mitatu wamefeli. Hii ikanifanya nifanye utafiti mdogo usio rasmi na nipo tayari kukosolewa kama...
  13. JamiiForums Tanzania Ajira za madereva na Utingo

    Changamkieni fursa hiyo.
  14. JamiiForums Tanzania Nipo hapa kuomba fursa ya ajira au connection ya Kazi hasa kuhusu kitengo cha mazingira, Afya na usalama mahara pa kazi

    Habari
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira

    HABARI !!!NAHITAJI KIJANA WA KIUME ANAEJUA KUPAKA KUCHA RANGI,KUBANDIKAKUCHA, NA KUBANDIKA KOPE ENEO :KATORO- GEITA MAWASILIANO 0693795737 MSHAHARA MAELEWANO Sourc: Ajirazone,on Instagram @ajirazone
  16. JamiiForums Tanzania Baadhi ya graduates hawako serious katika suala la kutafuta ajira

    Habari za weekend wakuu? Wakubwa leo bana,hr amenipa kazi ya kuwapigia baadhi ya candidates kwenye nafasi kama 4 za idara yetu kuwaalika kwenye usaili siku ya jumatatu,na haya ndio niliyoyaona nikajisemea tu hawa watu wako serious kweli? 1.Number nimepiga zaidi ya mara tatu hazipatikani...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali imeweka mazingira mazuri kuiwezesha sekta ya misitu kuzalisha ajira kwani katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 Serikali imevijengea uwezo

    Serikali imeweka mazingira mazuri kuiwezesha sekta ya misitu kuzalisha ajira kwani katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 Serikali imevijengea uwezo wa uzalishaji na kuongeza thamani viwanda 53 vya kuchakata mazao ya nyuki. Aidha mashamba ya Silayo hekta 69,756 yameanzishwa yaliyopo Mpepo...
  18. JamiiForums Tanzania Tuliokosa ajira UHAMIAJI 2025 tukutane.

    Salamu, ndugu jobless wenzangu, hivi sisi tusiokuwa na koneksheni tufanye Nini tutoboe? Maana Kila post ya ajira za vyombo vya dola tunalishwa maneno kwamba "Bila mbanga huko juu hutoboi, nenda kaokote maembe TU bablai" So, tunatokaje hapo? Nawasilisha. Uzi tayari.
  19. JamiiForums Tanzania Nyie fauluni, tutakutana kwenye ajira

    Nyie fauluni, tutakutana kwenye ajira. Ujumbe kwa wazazi. Wazazi anzeni kujiandaa mapema. Watoto wenu watafaulu sana, tena kwa marks za juu. Wataingia vyuoni watafaulu sana kwa marks za juu. Baada ya hapo, kinakuja kilio cha ajira. Wazazi anzeni kujiandaa mapema juu ya hatma ya watoto...
  20. JamiiForums Tanzania Ajira kwa aliyesoma Sociology, Psychology, Social Work na Special Needs education

    Ajira kwa aliyesoma Sociology nafasi 1, Psychology nafasi 1, Social Work nafasi 1, na Special Needs education nafasi 1 Eneo la Kazi, Prime School Dar es Salaam. sifa Awe mkazi wa Dar es Salaam. Elimu yoyote, cheti, diploma au degree. Jinsi ya kuomba: Andika ujumbe kwenda WhatsApp namba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…