ajira

  1. JamiiForums Tanzania Kijana miaka 25-30 kwanini uendelee kukaa kwa shemeji yako? Ati kisigizio ‘unasikilizia ajira’?

    Kwanza sipo hapa kukubeza au kukutukana bali kukumbushana kama wanaume Tegemewa wa leo na kesho pia nataka kujua hasa uwezo wako wa akili upo kiasi gani kichwani mwako! Ni kweli una elimu Ni kweli mfumo wetu wa Elimu una mjenga msomi kuwa tegemezi wa ajira tu hilo sipingi lakini bado haiindoi...
  2. JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira

    TANGAZO LA KAZI Kampuni yetu inatafuta Wafanyakazi Wenye Ujuzi na Uzoefu kujaza nafasi zifuatazo: 1. Mchoro/Mchoro wa Majengo (Architect) Kiwango cha Elimu: Cheti (Certificate) au Diploma katika Architecture Uzoefu: Si lazima, lakini uzoefu utapendekezwa 2. Mhandisi wa Ujenzi (Civil...
  3. JamiiForums Tanzania Ajira portal wana cha kujifunza kwenye mfumo wa maombi ya ajira wa magereza.

    Habari za asubuhi ndugu. Samahani nimewiwa kuandika kuhusiana na uzoefu wangu nikiwa nafanya maombi ya ajira za magereza. Mfumo kwenye kusomana uko vizuri haina haja ya kuhakiki vyeti tena, vyote vinaweza kuishia online kwa mbonyezo mmoja tu. Nawaasa ajira portal wafanye hima pia waweze...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi msio na connection mnaosomesha watoto kwa matumaini makubwa waje kuajiriwa, mmejipangaje kisaikolojia na jinsi ajira zilivyo ngumu ?

    Ajira nyingi zina nafasi zaidi kwa watoto wa maboss, watoto na ndugu wa wanasiasa wakubwa, watoto wa matajiri wanaojuana na watu wakubwa, wazanzibari wanaopewa mgao wa ajira ili kubalance muungano. Halafu sasa kuna upande wa pili wazazi wanofosi kingi bila kujua hatma ya watoto, mmejipangaje ...
  5. JamiiForums Tanzania Je inawezekana kuhama kituo cha kazi kwenda mkoa mwingine kabla miaka mitatu haijaisha baada ya ajira?

    Je inawezekana kuhama kituo cha kazi kwenda mkoa mwingine kabla miaka mitatu haijaisha baada ya ajira?
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Taarifa hii imetolewa na Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

  7. M

    JamiiForums Tanzania Nina marafiki waliowahi kusoma Kenya na Uganda Primary, wameteseka kupata ajira, Je kusomesha mtoto nje ni kumpunguzia uwezekano wa kuajirika Tanzania

    Nina classmates waliowahi kusoma nje ya nchi elimu ya msingi kwa shule za Uganda na Kenya. Walirudi Tanzania kuendelea na elimu ya sekondari hadi vyuo kusomea IT, HR, Accounting, Law, Engineering na procurement. Ni moja tu alieajiriwa serikalini, hao wengine wapo walio kampuni binafsi wengine...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kwenye ajira, waajiri huwa wanaangalia nini zaidi?

    Wakuu! Hebu tupeane uzoefu kidogo Hivi kwenye ajira, waajiri huwa wanaangalia nini zaidi? wakati wa interview ya Kazi? ✅ CV yako ilivyoandikwa? ✅ Uzoefu wako kazini? ✅ Ufaulu/GPA yako? ✅Kipaji? ✅ Au chuo ulichosoma?
  9. JamiiForums Tanzania Je ratiba ya waajiriwa(wanawake) inawapa nafasi ya kutimiza majukumu yao ya ndoa? Je ratiba ipangiliwe vipi ili majukumu ya ndoa yatimizwe?

    Amebarikiwa mwanamke anayerudi nyumbani kabla jua halijazama na kupika chakula Cha mumewe,hii ni Kulingana na kikao Cha wanaume.Lakini wanawake hao wamekuwa adimu sana zaidi ya almasi za mwadui.Zimekuwepo nyuzi nyingi zinazopinga wanaume kuoa wafanyakazi.Pia wengi wamejikita kuangalia ugumu wa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukataliwa na mfumo kwa wahitimu wa Digrii ya Microfinance & Enterprises Development

    Kuna Changamoto Ambayo Tunaipata Sisi Wahitimu wa Degree Ya Microfinance And Enterprises Development tunakuwa Auto Rejected kwenye Ajira Portal Wakati hata sisi kweye Core za Masomo yote tunatambulika kama watu wa Fedha(Finance). Pia hata kwenye vigezo vya Ajira kabisa hata sisi tumo ila...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shirika la Uwakala Wa Meli Tanzania (TASAC) kutangaza ajira mpya bila ya kuwarudisha baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wake sio sawa

    Wasalaam , Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ajira za Utumishi

    Ninaomba msaada wadau ninapoandika barua ya maombi utumishi address yao lazima iandikwe kwa Secretary, PSRS?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kinachoharibu taasisi za Usalama wa Taifa na Polisi ni waajiriwa wengi wa "connection" ambao loyalty yao iko kwa wale waliowaunganisha kupata kazi

    Ni lini uliona tangazo la serikali la nafasi za kazi idara ya Usalama wa Taifa? Au ni lini uliona mtu wa kawaida asie na connection yeyote na viongozi wa juu nchini anatamani kufanya kazi Uslama wa Taifa na akanikiwa katika tamanio lake? Labda ni zile enzi za Nyerere, ambapo wafanyakazi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mnatuchangisha fedha Ili mpate ajira mpya?sisi mlituchangia wakati tumeitwa na Tamisemi?

    Jibuni swali nyinyi maccm tafadhali
  15. JamiiForums Tanzania KERO Kukataliwa kwa wahitimu wa BA in History and Political science kwenye Ajira Portal

    Wahitimu wa Udsm wa ba. In History and Political science wana disqualify kuapply public administration and HRM Japokuwa walizisomea darasa moja na lecture mmoja pamoja na wanafunzi wa political science and public administration ambao ndyo wako more favored. Kwa hiyo kama ni ngumu kuajiriwa...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada Ajira Portal NIOMBE IPI?

    Kwenye tangazo la kazi Serikalini, kuna nafasi 3 katika shirika moja, Marketing, customer service, sales, business development Kote huko nina vigezo vya kuomba, je ninaweza kuomba zote? Na nikiomba zote, ninaweza kutokea kwenye interview zote? Na je barua ya maombi IANDIKWE KWA MKONO AU...
  17. J

    JamiiForums Tanzania JF tenganisheni jukwaa la AJIRA na TENDA

    Admin JF please Jukwaa la sasa la ajira na tenda kwa kweli limejaa mambo ya ajira mengi sana kiasi kwamba kama unatafuta tenda uta scroll mpaka basi. Nashauri jukwaa la tenda liwe peke yake au lichanganywe na kazi za consultancy; Na jukwaa la ajira libaki peke yake ili watangaza ajira na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ajira portal issue

    Hivi jamanii wana wa forum Naomba niulize kitu kuhusu portal ya ajira maaana ni janga hili kwa vijana wengi,, kwanini mtu unakuwa na vigezo vyote lakn mfumo unagoma kuomba kazii? Utaweza kuta kozi yako ipo Kama kawa lkn haikubali kuapply.. Alafu pia kuna baadh ya kozi zinaingiliana mfano...
  19. JamiiForums Tanzania MSAADA: Fani niliyosomea imegawanyika mara mbili AJIRA PORTAL

    Niende moja kwa moja, Nimesoma Ordinary Diploma in Laboratory science and Technology... Pale kwenye kuchagua kozi kuna Diploma in Laboratory science and technology na pia kuna Diploma in Laboratory technology Changamoto ni kuwa nimechagua Diploma In Science and Laboratory Technology...kazi...
  20. JamiiForums Tanzania Umechoka Kutafuta Ajira? Hizi Hapa Biashara 5 Unazoweza Kuanza Na Mtaji wa Chini ya 50,000 TZS

    Kutafuta ajira kunaweza kuwa jambo la kuchosha na kukatisha tamaa. Lakini inawezekana kabisa kujiajiri mwenyewe kwa kuanzisha biashara ndogo yenye mtaji wa chini. Kwa mtaji wa chini ya TZS 50,000, unaweza kuanzisha biashara inayokuwa na kukuingizia kipato. Hizi hapa ni biashara 5 unazoweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…