ajira

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu 2022

    Waraka wa wazi kwa Waziri wa Tamisemi. Kwa kuwa wizara yako ndo inahusika kupanga majina ya walimu vituoni, moja kwa kwa moja sisi kama wadau wa elimu tunaomba mtoe miongozo kwa wahitimu watakaopewa vipaumbele ili kijana anayeishi kijijini asisumbuke kwenda mjini kuhangaikia application na...
  2. JamiiForums Tanzania Wasio na ajira ndio wapewe kazi kwenye zoezi la Anwani za Makazi na Sensa kuwawezesha kiuchumi

    Katika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato. Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio...
  3. JamiiForums Tanzania Algeria: Vijana wasio na ajira kuanza kulipwa

    Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune amesema ili kulinda utu wa vijana serikali itawalipa vijana kila mwezi, robo tatu ya kima cha chini cha mshahara wanachopokea wafanya kazi Nchi hiyo inayoongoza kwa uzalishaji wa mafuta barani Afrika itawalipa vijana kila mwezi dinari 13,000 sawa na...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ajira 7,000 kwa Walimu shule za msingi na Sekondari

    OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imeomba kibali kwa Rais Samia Suluhu Hassan cha kuajiri Walimu 7,000 ili kupunguza upungufu wa walimu wa Shule za Msingi na Sekondari nchini. Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa aliyasema hayo kwenye mdahalo maalum wa kujadili...
  5. JamiiForums Tanzania Ajira zenye mishahara mikubwa kama milioni 7 na kuendelea huwa hazitangazwi

    Kazi zenye mishahara mikubwa huwa hazitangazwi, Kwa utafiti wangu binafsi, nimekuja kugundua kazi nyingi zinazotangazwa kwenye mitandao mbalimbali, magazeti n.k, nyingi huwa ni zile zenye mishahara ya milioni tatu, laki tano n.k kushuka chini. Zile zenye mishahara minono, kama milioni 7, 10...
  6. 5

    JamiiForums Tanzania Biden aweka record ya ajira 6.6 milioni ndani ya mwaka 1

    Ndivyo nilivyosoma kupitia ukurasa wa CNN asubuhi hii, Biden amevunja record ya ajira kwa 6.6 million added kuliko marais wote waliowahi kushika madaraka marekani kwa kipindi cha mwaka mmoja toka aingie madarakani. Kuna watu humu walijaribu kutaka kulinganisha utawala wake na aliyepita Bw Trump...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyekataa ofa ya $5000 toka kwa Elon Musk apata ofa ya ajira

    Kijana Jack Sweeney aliyekuwa akitrack private jet ya tajiri namba moja Duniani Elon Musk amepatiwa ofa ya kazi kwa kampuni moja inayojishughulisha na masuala ya aeronautics kampuni hiyo imeamua kumpatia kijana Sweeney ajira kutokana na uelewa wake wa masuala ya flight data hata hivyo mpaka...
  8. JamiiForums Tanzania TAMISEMI mjitahidi kutenda haki kwa Walimu wanaojitolea mashuleni

    Lengo la huu uzi ni kutaka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa Tamisemi. Baada ya Mh. Rais kuiagiza Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kuajiri walimu 6000 kutokana na uhitaji ulio sababishwa na vifo na kuacha/kufukuzwa kazi kwa baadhi ya walimu, natarajia zoezi linalo fuata ni...
  9. JamiiForums Tanzania Njia mbili (2) za kustaafu ukiwa huru kifedha, ajira ina mchango mkubwa kustaafu mapema

    Kustaafu ni kufikia uwezo wa kifedha wa kuweza kufanya chochote utakacho kulingana na kiasi cha utajiri wako. Kwangu mimi kustaafu sio kuacha kufanya kazi (ajira au biashara). Neno kustaafu nimekutumia kwa lengo la kumaanisha kueleza hatua anayofikia mtu ya kifedha. Sina maana uache kufanya...
  10. JamiiForums Tanzania Wimbo mmoja tu wa "Kajenga Madarasa", hakuna kingine kikubwa zaidi?

    Yaani chama chetu cha Mapinduzi CCM sijui kina matatizo gani, hakuna kiongozi anayeweza kusimama akataka jina la Mama akaacha kutaja Madarasa. Hivi kuna kubwa zaidi ya hili? Hakuna mradi wowote alioanzisha Mama umegharimu zaidi ya Trilioni 1.3? Tunasahau kuwa kuna watu walijenga shule za kata...
  11. JamiiForums Tanzania Kati ya vijana milioni (1)wanaoingia kwenye soko la ajira kila mwaka, ni vijana 200,000 wanaopata ajira rasmi , huku 800,000 wakibaki bila ajira rasmi

    Tanzania ni nchi yenye idadi ya watu ambayo ni vijana: asilimia 75 ya idadi kubwa ya watu iko chini ya umri wa miaka 35. Inakadiriwa kuwa kati ya vijana milioni moja (1) wanaoingia kwenye soko la ajira kila mwaka, ni vijana 200,000 ndiyo wanaofanikiwa kupata ajira wakati huo huo, na waliobaki...
  12. JamiiForums Tanzania Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira ya Konstebo wa Uhamiaji 2022

    Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira ya Konstebo wa Uhamiaji 2022.
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Baada ya kumaliza changamoto ya madarasa tutaajiri walimu 7000

    Hello unemployed teachers! Poleni kwa kusubiri na bado mtaendelea kusubiri Serikali yenu bado INA mambo mengi ya kimaendeleo lakini haija wasahau . Leo tarehe 27/01/ ni birthday ya Mh. Rais SAMIA SULUHU HASSAN akiwa Dodoma alipiga simu kwa waziri wa elimu aliyekuwa mgeni rasmi wa tamasha pale...
  14. JamiiForums Tanzania Tafuta pesa achana na siasa za Tanzania. Je, wajua Tanzania siasa ni ajira?

    Usipokuwa na malengo na maono ya mbali utaishia kujadili maisha ya wana ccm na wanasiasa mpaka uzee wako huku hakuna faida unayopata zaidi ya kutengeneza duara la umaskini Katika familia yaani (Family poverty life cycle) Mawazo yako ndio msimamo wa maisha ya watoto na wajukuu zako baadae...
  15. JamiiForums Tanzania Tuache kuvumilia wazembe, wajinga na wapumbavu makazini, wapo watanzania wengi uraiani hawana ajira

    Kama kichwa kinavyojieleza Ni ujinga na upumbavu kuendelea kulea wazembe, wajinga, wapumbavu, wezi nk huko makazini huku mtaani kuna malaki ya vijana kwa wazee hawana ajira. Ni wakati wa Serikali, taasisi zake, na mashirika yote yaliopo Tanzania kulibeba hili na kutolea wazembe, wajinga na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kazi na Ajira anza na hili la kikokotoo kwa wastaafu

    Ikikupendeza Mh. Ndalichako tafadhali sana hebu kairejeshe sheria iliyoanzisha kikokotoo kwa wastaafu bungeni ili ifutiliwe mbali kwani ipo kinyume na haki za binadamu na ni kinyume cha katiba ya jamhuri ya Tanzania. Jenga legacy kwenye wizara hii kwa kuifuta sheria hiyo kandamizi kwa wastaafu...
  17. JamiiForums Tanzania ILO - zaidi ya Waafghani nusu milioni wamepoteza ajira sababu ya Taliban

    Shirika la Kazi Duniani ILO limesema zaidi ya nusu milioni ya Waafghani wamepoteza kazi zao baada ya Taliban kuchukua madaraka mwaka uliopita. Katika ripoti mpya iliyotolewa leo, shirika hilo la Umoja wa Mataifa limesema idadi ya ajira zilizopotea huenda zikafikia laki tisa ifikiapo katikati...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nguvu kuelekezwa katika ajira za walimu na matundu ya vyoo

    Baada ya kujenga madarasa 15,000 na kuwezesha wanafunzi wote waliofaulu kujiunga kidato cha kwanza, Serikali ya Mhe. Rais Samia Suluhu inaelekeza nguvu kwenye ajira za walimu na mtundu ya vyoo. Azma ni kuimarisha ubora wa elimu kwa manufaa ya wananchi na Taifa. #MamaYukoKazini
  19. JamiiForums Tanzania Mchakato wa ajira za ualimu utachukua muda gani mpaka ajira kutangazwa?

    Wakuu kwema. Jana nimeona itv wameandika kuhusu mchakato wa ajira za ualimu, wakimnukuu naibu tamisemi. Kwamba hio ni baada ya madarasa kukukamilika sasa ni muda wa kujenga matundu ya vyoo na mchakato wa ajira kuanza. Sasa ningependa kujua inaweza ikachukua muda gani mpaka mchakato huo...
  20. JamiiForums Tanzania EWURA Makao Makuu Dodoma wajifunza utapeli wa ajira hewa

    EWURA MAKAO MAKUU DODOMA WANATANGAZA. KAZI NA HAWAITO WATU KWENYE INTERVIEW MATOKEO YAKE WANAAJIRI KINYEMELA. Mfano ajira hii tangu itangazwe hadi leo Hakuna kinachoendelea ila unaweza Kukuta Nafasi hii ilishajazwa huku watanzania Salisbury kuitwa kwenye Interview. January Makamba upo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…