ajira

  1. JamiiForums Tanzania Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa nzuri, napatikana

    Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari. Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza tokea 2014, na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho...
  2. JamiiForums Tanzania Balance ya maendeleo ikikosekana Dar itakuwa kimbilio la kila mtu mpaka wasio na ajira

    Kama umebahatika kuingia mikoani na vitongoji ndani ndani unaona kabisa watu wanaishi tu basi ila tu sababu wapo kutafuta mkate na ukiangalia kila familia iliyopo mkoani kazi ya ndugu 1-9 wote wapo Dar. Sababu zinazopelekea Dar kila mtu kuwepo ni kutobalance huduma na maendeleo vyuo vizuri vipo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyohusika na ajira inapozuia watu kujiajiri

    Pana magari almaarufu usiku kwa usiku. Haya ni haramu kwa mujibu wa sheria japo abiria wanaoyahitaji wapo, tena wengi tu. Pana magari Hiace yanazuiliwa kusafiri umbali zaidi ya km 100. Haieleweki ni kwa mujibu wa kigezo kipi, japo abiria wenye kuyahitaji wapo na aliyeyatengeneza hana ufahamu wa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyo na wajibu wa kutengeneza ajira ni ya nini?

    Masuala ya ajira huwa ni ajenda kuu kwenye chaguzi kote ulimwenguni. Mgombea anatarajiwa kuweka mikakati yake na projections zake wazi kuwa atazalisha ajira ngapi katika kipindi gani. Ajira si jambo la kufanyia mzaha. Ajira za watu kupotea katika kipindi cha serikali moja, ni moja ya vigezo...
  5. JamiiForums Tanzania YouTube inalipa ila sio hapa Bongo

    Wakuu mambo vipi? Ni muda mwingine tumekutana tukiwa salama kabisa, ila poleni sana kwa wale mnaopitia changamoto kinamna yoyote ile na ninawaombea muweze kurudi katika utimamu. Wakuu, uzi huu leo naupitisha katika sindano ya YouTube. Mimi nimekuwa YouTube Creator it's about 10yrs now, and I...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru lakini si haki: Kuitwa kwenye usaili kwa majina ya nyongeza na tume ya ajira

    Kwa sasa imekuwa kama utaratibu. Kwa mfano ulio hai kuna baadhi ya waombaji wa ajira MDA's na LGA's walipewa taarifa ya kuitwa kwenye usajili tarehe 07/01/2023 na wengine wakaitwa kama majina ya nyongeza siku tano baadaye yaani tarehe 12/01/2023. Na wote hao watafanya usaili tarehe 15/01/2023...
  7. JamiiForums Tanzania Daah watoto wa masikini tunaendelea kukamuliwa visenti vyetu kwenye usahili na maombi ya ajira ambazo hatuna uhakika wakupata

    Habari ndugu wana JF leo hii niko hapa kuilalamikia serikali na sekta zingine binafsi juu ya hela tunazokamuliwa watoto wa wakulima pindi tunapofanya maombi ya kazi na kufuatilia masuala ya usahili...mimi mwenyewe nikiwa muhanga wa kadhia hii nakumbuka mwaka juzi nikiwa mkoani yalitoka maombi ya...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kazi ya Serikali si kutengeneza ajira?

    Rais Samia Suluhu kaika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar maadhimisho hayo yamefanyika katika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja leo tarehe 10 Januari, 2023 Amezungumzia mambo mengi lakini pia amegusia suala la ajira kwa vijana na kusema "Nataka kuwaambia, kazi ya serikali...
  9. JamiiForums Tanzania BAVICHA: Uzoefu wa kazi usiwe kigezo kwenye kuajiriwa

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Pambalu ameiomba serikali kulegeza kigezo cha uzoefu wa kazi kama mojawapo ya sharti la ajira kwa vijana. Pambalu alisema hayo Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi ya Serikali si kutengeneza ajira bali kuweka mazingira mazuri

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo katika kilele cha matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi. Amesema Mapinduzi ya Kisiasa tumeshajikomboa, kuanzia 64 mpaka leo siasa imetufikisha mbali sana, lakini Mapinduzi ya Kiuchumi na Ustawi wa Jamii bado ndio mapambano...
  11. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Sekretatieti ya Ajira kwa kuyachukua maoni yetu na kuyafanyia kazi

    Habarini za usiku wadau, Ninapenda kuchukua fursa hii kuwapongeza PSRS kwa hatua ambazo wamechukua juu ya maoni yetu sisi wasaka tonge. Kwan jion ya leo nimejaribu kuingia kwenye tovuti yao nikakutana na PDF za kutosha kwa watu walioitwa kwenye usahili. Kwani nimekuta utofauti kidogo. Majina...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya kuajiri askari wapya wa wanyamapori itatekelezwa lini?

    Ahadi ya Ajira ya kuajiri Askari wapya wanyamapori itatekelezwa lini?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kazi

    Hi, Kijana wa kazi yupo kwa muhitaji wa kijana wa kazi usafi wa mazingira kukata maua nyasi na kazi zingine za kusafisha mazingira. Kukaa kwa boss mshahara wa maelewano
  14. JamiiForums Tanzania Ajira Ajira AJira

    Nimatumaini yangu JF wazima wa afya tele. Ningependa kuchukua nafasi hii kuwatangaa nafasi ya kazi kwa wakazi wa Dar es salaam. Mtu mwenye uzoefu na maswala ya ngozi (esthetician). anahitajika.(Mwanamke) Tunataka mtu mwenye sifa hizi. Ana uzoefu wa miezi sita na kuedelea. Anajua kutumia...
  15. JamiiForums Tanzania Shule inayotembea

    Tuition nyumbani Karibu sana kwa maelezo zaidi kuhusu kufundishiwa watoto nyumbani katika mda wao wa ziada. Elimu nzuri ya mtoto inaanza na support kutoka kwa mzazi. Mpambanie ili afike mbali zaidi. PM now. Usisite ili ujue kila kitu kuhusu shule inayotembea Dsm. 0622374787 or PM to get my email
  16. JamiiForums Tanzania Tuna shida mahali kwa swala a Ajira

    Tunazaliana usiku na mchana ila nashangaa eti walimu hawana kazi, Nchi inachekesha sana Mzungu ana watoto wawili ila walimu hawatoshi pamoja na jitihada za serikali, ila sisi Tangazo la kazi unalikuta barabarani na bado watu hawaendi
  17. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nafasi ya kazi

    Habari wakuu Tafadhali kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata fursa ya kazi iwe katika taasisi, kampuni au biashara yake au kwa mtu mwingine anayemfahamu nitashukuru sana. Nina uzoefu katika kazi za IT, Sales and marketing,Project Management pia nipo tayari kujifunza na kufanya kazi yoyote ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma

    Ajira ni Mchakato ambao una hatua mbalimbali mpaka kumpata mtumishi wa Umma anayefaa. 1. Hatua ya awali kabisa ni kupokea Kibali. Kuna vibali vya aina mbili ambavyo hupokelewa kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi kwa ajili ya kuendesha mchakato wa Ajira kwa niaba ya Waajiri. Vibali...
  19. JamiiForums Tanzania TANGAZO LA AJIRA ZA UALIMU

    Shule ya Nzivi Green Star English Medium primary school iliyopo Mufindi-Iringa, inatangaza fursa ya ajira za ualimu. 1. Nafasi mbili za walimu wa hisabati na sayansi. 2. Mwalimu mmoja wa Montesori 3. Mwalimu mmoja wa kiingereza. *Vigezo Maombi yatumwe kupitia email ya mwalimu mkuu...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya Internship au ajira. Nimesoma Automobile Engineering

    Habari wakuu, Naitwa nurman nimemaliza Automobile engineering chuo Cha taifa Cha usafirishaji nit naweza. Motor vehicle services wheel alignment...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…