Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo ametangaza mikakati mahsusi nane ya Serikali katika kuvutia uwekezaji na kupanua fursa za ajira kwa vijana nchini.
Mikakati hiyo imetangazwa leo, Novemba 28, 2025 mkoani Dar es Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Bi. Aisha Madoga, amesema kuwa endapo atapewa ridhaa na wananchi, atahakikisha anashughulikia tatizo la ajira kwa vijana kwa kuongeza tija na thamani ya mazao, ikiwemo zao la zabibu.
Akizungumza katika mikutano...
Mgombea Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi, amesema serikali yake itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara, shule, viwanja vya michezo na kuboresha sekta ya afya endapo atapewa ridhaa ya kuongoza kwa...
Katika kupunguza tatizo la ajira kwa vijana wa kata ya Lugelele, Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Mgombea Udiwani wa Kata hiyo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Musa Musa ameahidi kutoa ajira kwa vijana wa kata hiyo endapo atapewa idhini ya kuwa Diwani.
Musa ametaja ajira kwa...
Miaka nenda miaka rudi kila mgombea akiwa ananadi sera zake wanatumia tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana iliw achaguliwe. Lakini viongozi hawahawa tukishawapeleka bungeni ndo wanaorudi na kusema "Vijana mjiajiri serikali haiwezi kuajiri kila mtu."
Wananchi tunaposikiliza tunatakiwa kuuliza...
Tunauliza mkakati wa ajira kwa vijana wa TZ. Hiyo ni kazi ya serikali duniani kote. Hatutaki kusikia eti vijana wajiajiri. Eti tunaweka mazingira mazuri ya ajira, NOOO! Ktk kipindi cha miaka 4 akiwa madarakani nini amekiona ktk ajira na nini atafanya?
Hatujasahau yaliyofanya na Magufuli...
Miongoni mwa masuala yaliyofanikisha kuchaguliwa kwa Rais William Ruto ni ahadi nyingi alizotowa kwa raia wa Kenya.
Moja ya ahadi hizo ilikuwa ni ajira kwa vijana.
Limekuwa tatizo kubwa nchini humo, lakini Rais Ruto anasema tatizo hili halijaanza na yeye.
Source: TRT AFRIKA
Mwenyekiti wa Kamati ya Ilani ya Chama Cha Mapinduzi nchini Tanzania Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa katika kulinda mafanikio makubwa yaliopatikana wakati wa utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020/25,katika kukuza uchumi jumuishi na kuimarisha ustawi wa wananchi wote, serikali imetakiwa...
Mbunge wa Jimbo la Mvumi (CCM) Livingstone Lusinde (Kibajaji) amekosoa mfumo unaotumika kutoa ajira nchini kwa madai mfumo huo umekuwa hauwatendei haki Watanzania na unachangia kuleta mawazo kwa vijana.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
Jamani jamani… dunia hii kweli ni kitendawili kigumu!
Leo tena nimerudi na habari mpya — panya mmoja anaitwa Ronin, si tu ana ajira ya kudumu ya kutegua mabomu, bali tayari ameshapanda ndege, amesafirishwa kwa heshima mpaka Cambodia!
Wewe kijana, umesoma mpaka ukakariri chati za periodic...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, ameendelea kushambulia vikali kauli ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, kuhusu betting, akidai kuwa CCM inawaelekeza vijana kwenye michezo ya kubahatisha badala ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche amewataka vijana na Watanzania kwa ujumla kuiunga mkono CHADEMA katika mchakato na dhamira yake ya kuiletea nchi maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
Heche ameyasema hayo hivi karibuni katika Jimbo la...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche ili nchi ikue ikuchumi inatakiwa kuwekeza kwenye viwanda kwani vitatengeneza ajira kwa vijana wengi.
Najua haiwezi kuwa Rahisi Hivyo ila ili Kuboresha uchumi wa nchi, kuongeza ajira, ufanisi, na maisha ya Watanzania kunahitaji mkakati mpana unaohusisha sekta mbalimbali. Hapa kuna ushauri na mapendekezo kwa serikali Ambao kwangu Nimeona Unafaa na Nitakuwa naweza na Fedha kwa Makadirio ya Chini...
Sio jambo jema mkaendelea kuropoka .
Huwa nashangaa Sana hawa viongozi wa Ccm wasiokuwa na akili wanavyowashauri vijana .
Utasikia wanakuambia Afisa usafirishaji , Afisa ubashiri , Mama lishe na Baba lishe.
Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Mh. Ridhiwani Kikwete,
Najiuliza, je, tunafahamu hali halisi ya ajira kwa vijana wa Kitanzania, hasa wanapokuwa wanatumikishwa na wawekezaji kutoka nchi za nje, kama vile wachina? Hali hii imefikia hatua ya kutisha ambapo vijana wa Kitanzania wananyanyaswa na kuzidi...
Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, viwanja vya kuweka biashara. Kuuza kiwanja cha kiwanda kwa @20,000 kwa mita moja ya mraba au 30,000 kwa sqm au 50,000 kwa sqm ni bei juu mno na inaua uzalishaji wa bidhaa hasa kwa vijana na wazawa, hakuna kijana mwenye milioni 500 au 1B kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatatu Februari 17, 2025 amekutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) akihimiza suala la Ujenzi wa viwanda na ufufuaji wa Viwanda vilivyokufa Mkoani Arusha kama sehemu ya Mkakati wa kukuza dhamira njema ya...
Uchunguzi wangu binafsi nimegundua dunia ya Sasa ni rahisi mno kupata hela Kuliko kupata ajira rasmi.
Hapa Tanzania watu wengi wanaPata pesa sana ila hawana ajira rasmi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.