ajira

  1. ChoiceVariable

    Benki ya Dunia Kuikopesha Tanzania Shilingi Trilioni 1.4 Kusaidia Ajira ni Pigo Jingine Kwa Chadema.

    Poleni sana Chadomo Kwa hili pigo na kuendelea kujaza maji kwenye neti. https://www.instagram.com/p/DWoXSBYDJyh/?igsh=MTMzZ3c3aXRvNHpueQ== My Take Hakuna fitina mtafanya dhidi ya maslahi ya Nchi itafanikiwa.
  2. A

    KERO TAMISEMI inaajiri bila kuwa na bajeti? Kilio cha stahiki ya ajira mpya Halmashauri ya Bumbuli kina mwaka sasa hakuna majibu

    Halmashauri ya Bumbuli haijalipa posho ya kujikimu kwa ajira mpya tangu Mwaka 2025 Mwezi Februari, watu wanamaliza mishahara kulipia deni waliloahidi kupewa mwaka mmoha uliopita, kibaya zaidi hakuna maelekezo yoyote. Inamaana TAMISEMI wanaajiri watu bila kutoa bajetI za watumishi na ukizingatia...
  3. Waufukweni

    Benki ya Dunia yaidhinisha Tsh. Trilioni 1.422 kwa ajili ya Tanzania ili kuimarisha ajira na kusaidia kaya zilizo hatarini

    Benki ya Dunia imejitolea kutoa kiasi cha dola milioni 550 kusaidia jitihada za upatikanaji wa ajira na usaidizi wa kijamii nchini Tanzania. Benki ya Dunia imemidhinisha ufadhili mpya wa dola milioni 550 kwa ajili ya Tanzania, ukilenga kutengeneza fursa za ajira na kusaidia kaya zenye uhitaji...
  4. A

    KERO Kipi kinakwamisha Ajira Mpya Halmashauri ya Itilima (Simiyu) kutothibitishwa kazini tangu 2024?

    Halmashauri ya Itilima iliyopo Mkoani Simiyu vivyo hivyo pia Watumishi wake walioajiriwa Mwaka 2024 katika Sekta ya Afya hawajathibitishwa kazini. Hii inaleta ulakini ni nini hasa changamoto, maana mwanzo walidai madiwani hawajaapishwa ila sidhani mpaka leo hiyo inaweza kuwa sababu ya watumishi...
  5. A

    KERO Waraka wa kuwasilisha changamoto na mapendekezo ya maboresho ya mfumo wa ajira kwa wahitimu wa utalii

    Somo: Ombi la Mapitio ya Mfumo wa Ajira kwa Wahitimu wa National College of Tourism Mheshimiwa, Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha waraka huu kwa lengo la kuangazia changamoto ya ajira inayowakabili wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Utalii (National College of Tourism), pamoja na athari...
  6. A

    KERO Wakaguzi wa Usaili wa Sekretarieti ya Ajira wajikague masharti yao wanayotumia yanakwamisha wengi

    Mimi nina dukuduku langu kuhusu recruitment process za sekretarieti ya ajira kupitia Ajira Portal. Tarehe 26/03/2026, nilihudhuria written interview ambayo tarehe na venue nilielekezwa pale IAA Arusha, Post za Accountant Officer 2, baada ya kufika Wakaguzi wakawa wanafanya physical verification...
  7. Raba kali

    Natafuta ajira ya uchoraji

    Wakuu! Nimekuwa si mdau mkubwa wq jamii forum ila nina uhakika humu kuna wadau muhimu na sahihi sana kwa ufikiaji lengo. Ninatafuta nafasi, sapoti kutoka kwa mtu au wqtu au mazingira sahihi kwa ukuaji wa talanta yangu ya uchoraji . Nina uwezo mzuri wa kuchora katuni na ninatamani kujenga njia...
  8. A

    KERO Waliofanya usaili wa LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya Ajira 17/12/2025 walifeli wote?

    Kuna watu walifanya interview za LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya ajira Serikalini 17/12/2025 oral ila hadi leo majibu hayajatoka hata kwa mtu mmoja. Tunachowaza ni kwamba walifeli wote au nini kinaendelea?
  9. Joh Mangi

    Ajira nafasi ya muhasibu

    NAFASI ZA KAZI MUHASIBU – WHITE PIT TRADERS WHITE PIT TRADERS tunatafuta Muhasibu mwenye uzoefu wa kazi ili ajiunge na timu yetu ya biashara. Mahitaji: Shahada au diploma ya Uhasibu (Accounting/Finance) au shahada inayohusiana Shahidi ya uhasibu (Professional Accounting Qualification) ni...
  10. A

    KERO Taasisi ya TAWA iwafikirie Vijana waongoza watalii (Tour Guides) wanaojitolea muda mrefu bila kupewa ajira

    Kuna kero kubwa inayowakumba vijana wengi waliokuwa wakijitolea kama waongoza watalii (Tour Guides) katika Taasisi ya TAWA kwa muda mrefu sana. Wapo vijana wamejitolea kwa miaka mingi wakifanya kazi ya kuongoza watalii, wakilitangaza taifa na vivutio vyake, wakiamini siku moja watapata ajira...
  11. A

    KERO Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Utalii tunapata changamoto ya upataji wa Ajira kupitia Ajira Portal, hautambui kozi zetu

    Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa Ajira Serikali kupitia Mfumo wa Ajira Portal ya Serikali, kutotambua Course ambazo tumezisoma katika...
  12. A

    KERO Waliosoma BACHELOR OF SCIENCE IN INDUSTRIAL ENGINEERING MANAGEMENT – Mzumbe hakuna ajira zao zinazotangazwa

    Mamlaka iliyoanzisha Kozi hii ya BACHELOR OF SCIENCE IN INDUSTRIAL ENGINEERING MANAGEMENT katika Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro. Sioni nafasi zikitangazwa kutoka Serikalini ingali kila mwaka wanachuo wanazidi kuhitimu na kurundikana mtaani pila kujua hatima yao wapi watatumia elimu yao waliyoipata...
  13. A

    KERO Halmashauri ya Busega, ajira mpya tunakatwa vyama viwili

    Tunaomba mtusaidie huku halmashauri ya Busega ajira mpya wanakata vyama viwili (Tuge na Twalbu) kwa pamoja bila kutoa maelekezo yoyote, mimi nipo Kada ya Afya. Na pesa za kujikimu pia changamoto toka Mwezi wa 9, 2025 wakati halmashauri zingine wamepata.
  14. A

    KERO Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) imetutelekeza Vijana wa JKT 2024 baada ya awali kutuahidi ajira

    Kero yangu ni walichotufanyia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (Tanzania Airports Authority – TAA) vijana 40 kutoka JKT 2024 OP Mabeyo, walituchukua tukiwa vikosini wakatupeleka kama Maafisa Usalama wa Viwanja vya Ndege, Airport Security Officer (AVSEC) bila kuomba nafasi hiyo, wakatushawishi kuwa...
  15. Born_T0WN

    Kuhusu Ajira za ICT (Practicals)

    Kuna jambo linanisumbua kichwa siku nyingi naomba niwashirikishe wadau wenzangu.. Mchakato wa Ajira za Utumishi kwa hivi karibuni umerahisishwa upande wa Written interviews kwa maana ya Kwamba wasailiwa hawana ulazima wa kusafiri kwenda Dar es Salaam kufanya mtihani wa mchujo, badala yake...
  16. A

    KERO Ajira Mpya TAMISEMI Sumbawanga tunalia njaa, tusaidiwe fedha zitoke, tukihoji HR anakuwa mkali

    Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa TAMISEMI Sumbawanga Municipal Council. Nimepata ajira yangu huku lakini ninayoyasikia na kuyaona yanaumiza sana. Kinachumiza zaidi ni kwamba HR wa Manispaa ni mkali kama pilipili alituambia siku...
  17. A

    KERO Wahitimu wa Kozi ya Agricultural Investment and Banking wanashindwa kuomba kazi kupitia Ajira Portal

    Nilihitimu degree kwenye Chuo cha SUA, Kozi ya Agricultural Investment and Banking, kozi mpya ilianzishwa Mwaka 2020, Mwaka 2023 ilitoa Wahitimu kwa mara ya kwanza. Mimi nilihitimu Mwaka 2024, nashukuru Mungu Alhamdullilah nina kazi, nimeajiriwa DRC lakini sasa Vijana waliohitimu wanashindwa...
  18. S

    Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!

    Kwa ujumla inajulikana Watanzania wengi sio waaminifu unapowaajiri kazi. Tena wana ukosefu wa uaminifu wa kijinga sana. Unakuta umeajiri watu ambao walisota muda mrefu bila kazi, huenda hata wengine ni ndugu zako. Kisha wanatumia hiyo ajira kuiba hadi wanaifilisi biashara au kampuni...
  19. A

    Kwenye usaili secretariet ya ajira inataka uweke na vyeti ambavyo havihusiani na kazi husika

    Mimi nilienda kufanya usaili wa TA tarehe 14.03.2026 nilikuwa shortlisted kwenye mfumo na sifa ilikuwa ni Degree ya HRM sasa nilipo fika nilikuwa na cheti cha degree na transcript, cheti cha form four, cheti cha kuzaliwa, na kitambulisho. Baadae akasema anataka na vyeti vya Ngazi ya chini...
  20. Traxtion

    Sababu kwa nini Ulaya ina tatizo dogo sana la ajira

    Hizi ndio sababu kwa nini tatizo la ajira sio kubwa sana Ulaya 1. Ulaya ina makampuni mengi sana Nchi nyingi za Ulaya kama Germany, United Kingdom, France nkzina makampuni mengi sana makubwa kama BMW, Siemens, Volkswagen nk Makampuni haya yanatoa mamilioni ya ajira, direct na indirect 2...
Back
Top Bottom