ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu mahsusi wa chrismas kwa serikali ya Tanzania hasa wizara husika kuhusu ajali za barabarani.

    Taifa linapoteza nguvu kazi kwa kasi ya mchongoko si kwa mapenzi ya Mungu bali kukosa maarifa. Ni mwendawazimu pekee anaweza kujiaminisha kuwa hizi ajali tunazozishuhudia ni mapenzi ya Mungu. Nchi serious ninazozijua kuruhusiwa kuingia barabarani na chombo cha moto ni mchakato very strict na...
  2. JamiiForums Tanzania Ajali ya Azerbaijan Airlines iwe somo kwa ATC!

    1. Nianze kwa kuwapa pole wafiwa na majeruhi wote katika ajali ya Azerbaijan airlines iliyotokea jana huko Kazakhastan. 2. Natumaini ni somo tosha kwa ndege pendwa ATC kuzingatia hatua zote za usalama (kabla ya safari) Isije kuwamwaga watu huko milima ya Uluguru na hatuna bimbo vya uokozi sijui...
  3. JamiiForums Tanzania Tukitumia mfumo huu, hakika tutamaliza ajali za barabarani kwa Siku moja Tu

    Habari za jioni ndugu na marafiki, Poleni sana kwa wote mnao endelea kuathirika na ajali zinazo endelea kutokea barabarani. Hili jambo limelilazimu kukaa chini namimi nitoe mapendekezo yangu ili tuweze kutokomeza ajali zinazo endelea kumaliza ndugu na marafiki zetu. Lakini kabla ya yote...
  4. JamiiForums Tanzania Watu 7 wapoteza maisha na 10 wajeruhiwa kufuatia ajali ya gari Wilaya ya Handeni. Msando atoa onyo kwa madereva wazembe!

    Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Albert Msando, amethibitisha kutokea kwa ajali leo asubuhi, saa 12, katika eneo la Michungwani, Kata ya Segera, Wilaya ya Handeni. Ajali hiyo, iliyohusisha lori na Coaster, imesababisha vifo vya watu 7 na kujeruhi wengine 10. Akizungumza kuhusu tukio hilo, Mkuu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Ajali ajali ajali na damu zake

    ni kweli ajali huwa zinatokea kila mwezi kutokana na maagano ya kishetani,mila na kutambikia mizimu kila mwezi. Hali inazidi kuwa mbaya mwezi wa mwisho wa kila mwaka, kwa sababu watu dizaini hiyo huwa wanakuwa wanaingia mikataba mipya na hayo maagano yao. kwa hiyo unaweza kuona mnatambika...
  6. JamiiForums Tanzania Ajali: Basi la Asante Rabbi lagonga Canter maeneo ya mzani wa Njiku Singida usiku huu

    Tumepita sasa hivi hapo, Basi la Asante Rabbi linalofanya safari zake Arusha Mwanza, limegonga Canter baada ya dereva wa basi hilo kujaribu ku-overtake. Mtu mmoja mwanaume amelala chini pembezoni mwa ajali huku akiwa hajitambui. Maafisa wa jeshi la polisi wamefika eneo la tukio. Taarifa zaidi...
  7. JamiiForums Tanzania Ajali za mwisho wa mwaka, Je ni Africa peke yake au hata nchi zilizoendelea ? Je ni dhana ya ulozi au Uzembe tuu ? Mbona watu wanapotea kizembe hivi ?

    Salaam Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death toll kwenye ajari pekee inafika 50, hapo bado sijazungumzia pale songwe mlima mbalizi nasikia tena...
  8. JamiiForums Tanzania Bashungwa Awajulia Hali majeruhi Ajali Biharamulo, Abiria 11 Wapoteza Maisha na Majeruhi 16

    BASHUNGWA AWAJULIA HALI MAJERUHI AJALI BIHARAMULO, ABIRIA 11 WAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI 16 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo...
  9. JamiiForums Tanzania Biharamulo, Kagera: Ajali ya basi la KABCO yaua watu 11 eneo la mlima Simba

    Ni ajali kubwa sana kwa takribani miaka 10 haijawahi kutokea ajali kama hii ambapo watu kadhaa wanadiwa kufa nita update taarifa, baada ya kufika hospitalini Ni basi la kampuni Kabco ambayo hufanya safari zake kati ya kigoma na bukoba Inadaiwa sababu mwendo kasi na dereva kushindwa kulimudu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Latra na Polisi wanapodhibiti ajali kwa ukaguzi usiokuwa na tija stendi barabarani kukiwa hivi, wana mchuuza nani?

    Hii ndiyo hali ilivyo barabarani: Tuko kama tuliopagawa!
  11. JamiiForums Tanzania Watu sita wa familia moja wanusurika kwa ajali ya gari wakitoka Dar kuelekea Mwanza

    Gari aina ya Toyota Harrier lililobeba watu sita wa familia moja limepinduka baada ya kuacha njia na kuingia kwenye mtaro. Ajali hiyo imetokea leo Desemba 20, 2024 eneo la Kizumbi katika Manispaa ya Shinyanga, saa 9 mchana. Mmoja ya waathirika wa ajali hiyo, Diana Willibard amesema gari hilo...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: AJALI YA RELI YA TAZARA MLIMBA.

    Wana jamvi!; Poleni na MISHE MISHE za siku! Ndugu yangu Alikuwa aanasafiri Toka mbeya na reli ya Tazara Express kuja Dar! Alinipa taarifa Kwa simu kwamba wamepata Ajali MLIMBA!; Sijapata Mawasiliiano mengine zaidi. Mwenye Taarifa Atufahamishe!
  13. JamiiForums Tanzania Kauli mbalimbali za mwisho za Marubani kabla kupoteza maisha kwa ajali

    Hizi ni kauli za mwisho za binadamu baada ya kuona hamna tena matumaini ya kuendelea na uhai wake pindi anapokumbana na hitilafu au ajali inayompata wa nini kifuatacho
  14. JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu takriban 14 wafariki dunia katika ajali ya Lori na Coaster eneo la Mikese

    Inasemekana kuna ajali imetokea Mikese ikihusisha bus dogo Coaster na kuua watu wengi, wenye taarifa zaidi tuambizane --- AJALI MBAYA MOROGORO, WATU 14 WAFARIKI, 7 WAJERUHIWA. Watu 14 wamefariki dunia na wengine 7 kujeruhiwa baada ya gari kubwa la mizigo kugongana uso kwa uso na gari dogo...
  15. JamiiForums Tanzania Familia ya Ulomi yakubali ndugu yao amefariki kwa ajali

    Hatimaye familia ya mfanyabishara Daisle Ulomi aliyefariki na mwili wake kukutwa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, imesema kuwa ndugu yao ni kweli alifariki kwa ajali. Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 17, 2024, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam...
  16. JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro asisitiza Ulomi amekufa kwa ajali, asema ndugu sio TCRA

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, amesisitiza kuwa kifo cha mfanyabiashara Daisle Ulomi aliyetoweka katika mazingira yenye utata Desemba 11, 2024 akiwa kazini kwake Sinza Kijiweni, kimesababishwa na ajali na si vinginevyo. “Ukiniambia simu ilisoma wao ni watu...
  17. JamiiForums Tanzania Songwe: Ajali yaua Watatu yajeruhi 15

    AJALI YA GARI SONGWE YAUA WATATU, YAJERUHI 15 Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limetoa taarifa kuhusu ajali mbaya ya barabarani iliyotokea Desemba 13, 2024, majira ya saa 12:30 jioni. Ajali hiyo ilihusisha gari aina ya Mitsubishi Fuso Basi lenye namba za usajili T.701 DEN, mali ya Kampuni ya...
  18. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero afariki dunia kwa Ajali, kuzikwa leo Mbagala, Kingugi

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero aliyefariki dunia jana kwa ajali ya barabarani anatarajiwa kuzikwa saa 10:00 jioni ya leo huko Mbagala Kingugi, jijini Dar es Salaam. Munelo alipata ajali jana katika eneo la Mbagala Zakhem baada ya bodaboda aliyokuwa amepanda...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Wabunge watatu waliopata ajali wahamishiwa kitengo cha mifupa MOI.

    Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI. Wabunge hao ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, Mwanakhamis Kassim Said, Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar, Abdul Yusufu Maalim pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Furaha Matondo.
  20. JamiiForums Tanzania Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI

    Wakuu! Ile ajali ya wabunge ukitazama kama ilikuwa ndogo lakini baadhi ya wabunge hali zao bado ni mbaya hadi wamehamishiwa MOI au tuseme maombi ya baadhi a wabongo? ===================== Wabunge watatu majeruhi wa ajali ya basi la Kampuni ya Shabiby waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…