ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndugu wa aliyejeruhiwa na Mwendokasi Dar wajitokeza akiwemo mkewe

    Mtembea kwa miguu aliyegongwa na Basi la Abiria la "Mwendokasi" wiki iliyopita ambaye ndiye alikuwa Majeruhi pekee wa ajali hiyo aliyesalia katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), ametambulika ambapo jina lake ni Osam Milanzi, Mkazi wa Manzese Midizini. Meneja Uhusiano wa MOI, Patrick...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilidhani ningefika nao upande wa pili lakini ajali zinatokea

    Rais Samia amesema Waziri mmoja amedondoshwa kwa kuwa ni kawaida kwenye safari kuna ajali zinatokea. Amesema hayo katika hotuba yake baada ya kuwaapisha wateule wake aliowateua hivi karibuni. Rais amesema alitamani team yake ya awali amalize nayo hadi kufika ngwe ya pili (Muhula wa pili wa...
  3. JamiiForums Tanzania Unadhani ni nini kimesababisha mpaka dereva wa semi trela kuchora?

    Tazama hii video mpaka mwisho!! Unadhani ni nini kimesababisha mpaka dereva wa semi trela kuchora 7?? Kama huyu dereva mwenye gari inayorecord video angekua na speed up to 100kmph nini kingetokea?
  4. JamiiForums Tanzania Ajali ya mwendokasi tarehe 22/02/2023 tujiulize maswali haya...

    Majuzi imetokea ajali ya kutisha ya basi la Mwendokasi liliyokuwa inatokea Kivukoni. Miaka 3 iliyopita ilitokea ajali maeneo ya Utumishi jirani na kivukoni ambapo mtembea kwa miguu alikuwa anavuka kwenye zebra aligongwa na basi la mwendokasi na kufariki hapo hapo. Aliyefariki ni jirani yangu...
  5. JamiiForums Tanzania MOI: Mwanaume aliyegongwa na Basi la Mwendokasi yuko ICU

    Taasisi ya tiba ya mifupa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MOI) imesema Mwanaume aliyeonekana akigongwa na Basi la abiria “mwendokasi” Jijini Dar es salaam jana, amelazwa Hospitalini hapo kwenye chumba cha Uangalizi Maalum (ICU). Meneja wa Kitengo cha Uhusiano cha MOI Patrick Mvungi...
  6. JamiiForums Tanzania Mmoja kati ya walioiba vitu kwenye ajali iliyoua watu 17 Tanga ajinyonga

    Mtu mmoja kati ya watu 8 waliokamatwa, wakituhumiwa kuiba mali za waliofariki katika ajali iliyotokea Korogwe mkoani Tanga, ikihusisha gari la mizigo aina ya Fuso na gari la abiria aina ya Coaster, lililokuwa likisafirisha mwili kwa ajili ya maziko wilayani Rombo na kusababisha vifo vya watu 20...
  7. JamiiForums Tanzania Sintosahau siku hii niliyopata ajali mbaya na ya kutisha kitandani nikiwa nazagamuana

    Nilipoanza mahusiano naye tu, nilianza kuwa msumbufu kupita maelezo. Kuanzia day three nilianza kulilia mbususu kama vile ni yangu vile namdai. Ilifikia kipindi akaona dhamira yangu labda ni kumpiga paipu kisha nipite hivi, hata hayo mawazo yake hayakunibadili msimamo. Baada ya kuililia kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Idara za Uokoaji zinalenga nini kutangaza Ajali za Uongo kwa kisingizio cha Mazoezi?

    Ndugu zangu, binfasi natambua na kuheshimu kabisa hili suala la kufanya Mazoezi ya Utayari kwa sababu lina manufaa lakini bado napata shida sababu za kutangaza matukio hayo kwenye Vyombo vya Habari tena kwa kutaja idadi ya waathirika, aina ya Chombo kilichopata ajali na eneo. Hivi hawa watu...
  9. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Polisi kuhusu ajali ya Mwendokasi kugongana na gari ndogo kusababisha majeruhi na uharibifu wa nyumba ya biashara

  10. JamiiForums Tanzania TAA: Hakuna ajali yoyote ya Ndege eneo la Ziwa Victoria

    Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) Mussa Mbura amesema hakuna ajali ya ndege leo kwenye Ziwa Victoria Jijini Mwanza bali kilichofanyika ni mazoezi ya utayari. Mussa Mbura amesema yafuatayo "Haya ni mazoezi ya kujiweka tayari ambayo tumeendelea kuyafanya, kama Mamlaka za Viwanja...
  11. C

    JamiiForums Tanzania TAA: Hakuna ajali ya ndege ziwa Victoria, yasema ni zoezi la utayari

    Wadau na nyie mmeona. Kuna ndege imeanguka ziwa Victoria. === Ndege Ndogo ya Abiria imeanguka na kuzama Ziwa Victoria. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wamefika eneo la tukio na kutoa msaada kwa abiria walikuwamo kwenye ndege hiyo. ==== UPDATE Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA)...
  12. JamiiForums Tanzania Ajali ya Mwendokasi Dar es salaam kule Posta inatukumbusha umuhimu wa Kamera za Mitaani kwenye Majiji

    bila ile video fupi ya CCTV tusingejua kitu na ukubwa wa ajali. Ni wakaty sasa WIZARA YA MAMBO YA NDANI kwa kushirikiana na Wizara nyingine mkafikiria kuweka Kamera kwenye maeneo yote muhimu mijini ili zisaidie kunasa matukio hasa ya madereva wazembe. Tuna upungufu wa Trafiki Polisi lakini...
  13. JamiiForums Tanzania Mrejesho wa taarifa ya ajali iliyotokea Kisutu mnamo majira ya saa 05:45

    Naiweka hapa muone wenyewe... MREJESHO WA TAARIFA YA AJALI ILIYOTOKEA KISUTU MNAMO MAJIRA YA SAA 05:45 Mnamo majira ya saa 06:58 niliweza kufika Eneo la tukio nilikuta ajali imetokea gari ya mwendokasi yenye usajili wa Plate No: T 122 DGW, JINA: SHABANI NGAUGIA Ilipata ajali Eneo la Kisutu...
  14. JamiiForums Tanzania Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

    Basi la Mwendokasi likiwa linatoka Kivukoni limeacha njia na kuparamia maduka na miundombinu mingine pembezoni mwa barabara ya Morogoro kwenye makutano ya Jamhuri St. Eneo hilo ni viambaza vya maduka, njia ya waenda kwa miguu na limekuwa linatumika na watu wasio na makazi kulala Ukiangalia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna sheria yoyote inayosema mtu aliyesababishiwa ajali asilipwe kama chombo chake hakina bima?

    Nina ndugu alipata ajali na kupata ulemavu wa kudumu na hiyo ajali alisababishiwa kwani dereva alihama upande wake na kumfata. Sasa chombo chake hakikuwa na bima na alienda kudai fidia yake kwani hicho chombo kilisababisha ajali kilikatiwa third party na yeye alienda kudai fidia ya kwake kwa...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba apata ajali, gari yake yapinduka na kuharibika

    BREAKING: PROF LIPUMBA APATA AJALI "Gari yake imepinduka na imeharibika vibaya..." Taarifa zaidi zitakujia hivi punde ======= Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amepata ajali eneo la Nangurukuru mkoani Lindi saa moja usiku jana Jumatano baada ya gari alilokuwa anasafiria kupinduka...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali: Ndege inayodaiwa kuanguka Kahama ni Majaribio ya Utayari

    Taarifa zaidi badae, Kuna mtu yupo Kahama kanitaarifu kuwa Kuna ndege imeanguka, ambulance na fire zinakimbia eneo la tukio. --- UPDATES; Ndege aina ya Garet 5Q KTM ikiwa na abiria 42 imeanguka nje kidogo ya uwanja wa ndege wa Kahama wakati ikijaribu kutua kwa dharura huku watu 10 wanasadikiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Abiria 20 wanusurika kifo ajali ya lori, Coaster

    Zaidi ya abiria 20 waliokuwa wakisafiri kwa basi dogo aina ya Coaster lililotokea Tunduma kwenda Mpemba katika Barabara ya Tunduma Mbeya wamenusurika kifo baada ya lori la mafuta kufeli breki na kuligonga basi hilo. Mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo Dickson Kapungu amesema tukio hilo lilitokea...
  19. JamiiForums Tanzania Ajali za barabarani ni matokeo ya nidhamu mbovu ya madereva

    Nianze kwa kutoa salaam na heri za mwaka mpya kwa jamii ya wanajamii forum wote. Baada ya Salaam nirejee kwenye mada husika, Kwa siku za hivi karibuni ajali za barabarani zimekuwa tatizo na kichwa cha mwendawazimu, tumepoteza ndugu, Jamaa na marafiki kwa sababu ya ajali ambazo pengine...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ajali: Tuambiane ukweli dhahama hili lituepuke

    Ukweli ni mchungu lakini tufike mahali tuuseme hata kama unauma. Mengi yamesemwa kuhusu ajali miaka nenda rudi, lakini ajali ziko pale pale. Bahati mbaya mzizi wa tatizo umekuwa hausemwi kwa kujua au kutokujua. "Tatizo letu kuu kimsingi ni ujinga ndugu zangu." 1. Kulikoni dereva kuendesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…