aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. Biashara ya Nafaka hasa maharage aina zote fika Gairo Kijiji cha Rubeho

    Wakuu habari za uzima wenu nyonte. Si Kwa ubaya Kwa wale wote hasa wafanyabiashara ya nafaka (maharage) mchongo upo morogoro wilaya ya Gairo Kijiji cha Rubeho umbali kama wa dk20 kutoka Gairo mjini. Nilifika mwenyewe kule katika harakati za hapa na pale nikakutana na mnada hivyo nikaanza...
  2. AC aina zote pamoja na Fan zinapatikana hapa

    Huu uzi ni kwaajili ya Air conditioner za aina mbalimbali zinapatikana dukani kwetu kariakoo mtaa wa ndanda na muhonda. Piga simu/Whatsapp 0614228735
  3. Polisi wetu ni watu wa aina Gani Mbona wanafanana?

    Habari Wana bodi, niende kwenye mada Moja kwa Moja!. Polisi wetu Wana tabia zinazofanana, wanapenda kutumia nguvu kuliko akili(labda hawana akili), wanapenda ubabe na wanafurahia kupiga raia. Wanashindwa kufanya na kukamilisha upelelezi kwenye mambo ya maana, ila ya kijinga upelelezi...
  4. Nimekunywa dawa za minyoo aina ya Albendazole. Naweza kunywa vibia viwili au vitatu baadae jioni?

    Habari zenu waungwana? Naomba kuwauliza wataalamu wa humu. Leo alfajiri majira ya saa 10 hivi nimekunywa dawa za minyoo zinazoitwa Albendazole. Sasa baadae leo jioni nina miadi na jamaa zangu fulani hivi kutoka huko mkoani, ninavyoijua hiyo kampani ya hao jamaa zangu kupiga vyupa hakuepukiki...
  5. D

    INAUZWA Nauza fridge aina ya Ailyons

    Habari ndugu zangu nauza fridge 300,000 ni fridge used miezi 6 aina ya AILYONS mwenye uhitaji anicheki.
  6. Music Producer ni nani, na kuna aina ngapi za Music Producers?

    Kwa uchache tu mfahamu Mtayarishaji wa mziki au kwa kimombo Music Producer Music Producer au Mtayarishaji wa muziki ni mtaalamu anayehusika na kusimamia na kuratibu mchakato mzima wa kutengeneza wimbo au albamu. Mchukue kama meneja wa mradi (kwa kimombo unaweza kumuita Project Manager) na pia...
  7. N

    Fahamu aina nzuri ya website au blog kulingana na mahitaji yako pekee

    Habari wakuu, Katika ulimwengu wa kidijitali, kila siku tunashuhudia watu wengi wakifungua website au blog kwa madhumuni tofauti. Hata hivyo, si kila aina ya website au blog inaleta matokeo mazuri. Ili kufanikisha malengo yako mtandaoni, ni muhimu kujua aina bora ya website au blog kulingana na...
  8. Aina mbalimbali za nuksi na visababishi vyake

    ZIFAHAMU AINA ZA NUKSI NA MATIBABU YAKE Mtu akisema kama ana Nuksi maana yake ni kwamba mtu huyu kila jambo lake alitakalo haliwi au kila anachotaka kukifanya hakienda kama vile anavyotarajia au kupanga. Hata kama watu watakaa wakapanga mpango au biashara wa kwenda kupata pesa, Halafu kwenye...
  9. Sitashiriki kampeni kwa aina ya wagombea tulionao

    Mfano CCM na ahadi zetu Za siku zote zomerudiwa tena wakati zile za nyuma bado! Mgombea si halali. Kila wakipita pita ntakuwa nafungua macho watanzania !! Kesho kama kawaida Mchengerwa aliingiaje kwenye dili la ndege na Magufuli akafichwa Nani Hasa analipa kikosi cha kuteka watu...
  10. Aina kumi ya wanaume ambao hutakiwi kudate nao

    10 Types of Men You Must Never Date As a woman, when discussing your ideal partner, it's important to set aside superficial traits like being tall, dark, handsome, having pink lips, being rich, or possessing a broad chest. Instead, focus on the character and values of the man you choose to...
  11. Ogopa sana aina ya watu wanaozungumza na kila mtu

    Muogope sana mtu anayetafuta kupendwa na kila mtu , mtu aina hiyo lazma atavaa vazi la unafiki ili aweze kuwaingia watu Unakuta mtu ofisini /mtaani anazungumza na kila mtu , hata maadui wasiopatana yeye pande zote yupo . Watu wa aina hiyo wabaya sana atabeba ya huku atapeleka kule na ya kule...
  12. D

    Unapotaka kuhamia sehemu au kununua makazi, kuna umuhimu wa kuangalia aina ya majirani?

    Unahama kutoa sehemu A kwenda B, kuna umuhimu wa kuangalia utapakana na majirani wa aina gani?? Kabila au dini zao?? Financial status?? I'm just asking.
  13. Mjue Roboti Aina ya Humanoid Kiundani

    Roboti ni mashine zilizo tengenezwa na binadamu ili kurahisisha kazi mbalimbali. Miongoni mwa aina nyingi za roboti zilizopo, Humanoid Robots ndizo zenye mvuto mkubwa zaidi kwa sababu zinabuniwa zikifanana na binadamu. Zina muundo unaoiga mwili wa mwanadamu kama kichwa, mikono, miguu, macho, na...
  14. WAKUU HIZI PIKIPIKI AINA BOXER ZA Bm 125 HD150 JE

    Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
  15. Pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story tu?

    Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
  16. Wanawake wa aina hii watakuchelewesha kimaisha bro amka

    Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa. Wanaume wengi tunapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao ukijichanyanya nao, badala ya kusonga mbele, maisha yako yanakuwa kama gari lililokwama kwenye tope—hatua moja...
  17. Hii ni aina gani ya laana inayomuandama na kumtesa Tundu Lissu kisiasa, kiuchumi na kijamii?

    Maana, kwanza, kila analolianzisha halifanikiwi, Kwa mfano alikua mbunge hakuinjoy, hakumaliza muda wake wa ubunge na wala hakufanikiwa kwa lolote ikiwa ni pamoja na kuwaletea maendeleo wanainchi wa singida mashariki. Bilashaka yoyote, nadhani hata watu wa singida wameshasahau kama kuliwahi kua...
  18. Kinachoshangaza ni hawa vijana wa kiume kujishebedua zaidi hata ya wanawake walioalikwa. Iwe jinai kwa sherehe ya aina yoyote yenye maudhui haya

    Generation ya vijana chapati haiwezi koma kama normalization ya namn hii inaendelea katika jamii.
  19. Je Wajua Kuna Aina Mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika na Shetani wa Mbinguni ambao ni Pepo na Malaika na Shetani wa Duniani ambao ni Watu?.

    Wanabodi Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo na kuna mashetani wa duniani ambao ni watu ni binadamu kabisa lakini ni ma shetani!. Malaika wa...
  20. Ninatafsiri aina zote za ndoto

    Kama kuna ndoto uliiota na ukakosa furaha kwa kutokujua maana yake itaje nitakuambia maana yake. Hata kama hiyo ndoto umeisahau kwa Roho wa Mungu nitakukumbusha na kukutajia maana yake. Hii ni kuonyesha tu kuwa Mungu yupo kila sehemu Mungu anajua kila jambo Mungu anaweza mambo yote. Utukufu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…