aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Hata mfanye nini kichotakiwa kufanyika ni hicho hicho tu, ung'ang'anizi utatuondoa kwa aibu

    Tuue wanaotukosoa bado WaTanzania tunataka tu Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba inayofaa! Tudhamini vyama mbadala ili kuonesha dunia kuna upinzani, bado WaTanzania tunataka tu Tume Huru ya Uchaguzi, Tuwaweke wapinzani wetu ndani na kuwafungulia kesi nzito nzito za uhaini, na ikibidi tuwanyonge...
  2. Bila aibu simba wametangaza viingilio vipya uwanja wa new amani zanzibar

    Hivi kwanini simba inadharau wapenzi wa mpira Tanzania kwa kiwango kikubwa hivi na mamlaka zipo zinawaangalia https://www.jamiiforums.com/threads/viongozi-wa-simba-ingetakiwa-mpaka-mda-huu-wawe-either-wapo-kituo-cha-polisi-au-wameshajulishwa-wito-wa-kwenda-kituo-cha-polisi.2341550/#post-53830019
  3. TFF/bodi ya ligi mjifunze CAF kiongozi ujue kuheshimu kanuni na sheria mnazotunga..Muwe na msimamo.. Msitie aibu tena viva CAF

    NIANZE kushukuru Mungu Allah swbaahannah watalla Mjaza Neema Ndogondogo na KUBWA Ndefu na fupi Nene na nyembambaaaaa NIMEONA mda huu viongozi WA TFF na BODI mtakuwa mmeshaongia OFISIN kama hamna emergency yoyote kama magonjwa wagonjwa ama misiba ya karibu NDUGU ZANGU mgutthooo na karia na...
  4. K

    Aibu kwa Taifa: Jumanne Muliro kujulikana kimataifa kuliko Amb. Mohmoud Kombo (MP)

    Aibu Jumanne Muliro kujulikana kimataifa kuliko Amb. Mohmoud Kombo (MP). Tumegeuka kuwa nchi ya kikatili!! kwenye wizara hii tuliwahi kuwa na Mkapa, Kikwete, Membe, Migiro, Malecella na Salim. Sasa tuna waziri ambaye hajulikani kwasababu nchi imefunikwa na matukio ya ajabu ajabu na kiki za kiusalama
  5. Mahakama iangalie jinsi watuhumiwa wanavyo-behave kabla, wakati na baada ya mashauri yao. Leo Mahakama imevuna aibu kesi ya Lissu

    Mahakamani ni mahala pa heshima sana na nidhamu ya hali ya juu. Kuna mabango ya kuzuia kelele na watuhumiwa pia hukaa kwa nidhamu. Nimeshangaa leo mtuhumiwa anapiga kelele yeye na wenzake kama yuko gulioni. Hii ni aibu kubwa sana kwa Mahakama kuona mwenendo wa shauri unakuwa influenced...
  6. Waziri Kombo asimulia Madereva 75 wa Tanzania walivyofeli kuendesha magari Qatar

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo akisimulia mkasa wa Maderva wa Tanzania walivyokwama kuendesha magari Qatar licha ya kuwa ni wahitimu wa Chuo cha NIT, alisema hayo Mei 7, 2025 alipokutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Dar es Salaam...
  7. Imefikia hatua, wadada wanaheshimu na kuthamini i phone, kuliko wanavyoheshimu na kuthamini sehemu zao za Siri hii ni aibu

    Wadada wa Leo wapo tayari kugawa uchi kwa yoyote kwa wakati wowote ila sio kugawa I phone kwa yoyote.. Wengi sana wanalika ili kududunduliza kununua I phone 15 hii ni aibu Acheni, ni mbaya
  8. Wadada Wenye Miili Mikubwa Tujitahidi Kujisafisha vyema kupunguza Aibu

    Habari jamani leo naomba nije kasi na haraka maana kituko nilichoshuhudia jana ni aibu kubwa sana. Songa nami. Jana pale maeno ya Ubungo External kulikuwa na shughuli ya kumtoa mtoto 40. Waalikwa walikuwa ni wengi na palikuwa na hekaheka nyingi sana. Sasa basi katika makutano hayo alikuwapo...
  9. L

    Wapi Mdude? Aibu ya Taifa: Kwanini tumesahau haki yake?

    Kutekwa kwa Mdude: Kwa Nini Watanzania Tumesahau? Wanajamii, ni aibu kubwa kwa taifa letu kuona jinsi suala la kutekwa kwa Kijana Mdude linavyofifia katika mioyo na akili za Watanzania! Hili si suala la mtu mmoja, wala la chama kimoja, bali ni pigo la moja kwa moja kwa haki, demokrasia, na utu...
  10. Moja ya watu unaotakiwa kuwaepuka ni Wale wanaopenda kukutajia makosa na aibu ulizozifanya wakati uliopita. Wenye chuki na wewe

    MOJA YA WATU UNAOTAKIWA KUWAEPUKA NI WALE WANAOPENDA KUKUTAJIA MAKOSA NA AIBU ULIZOZIFANYA WAKATI ULIOPITA. WENYE CHUKI NA WEWE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli unahitaji watu katika maisha lakini watu hao wasiwe toxic wenye Negativity. Watu wanaojifanya marafiki kumbe ni Adui...
  11. S

    Rais ni Muislamu, walio chini yake nao pia na Dini zao. Siri ni moyoni mwake Rais. Tunahitaji Brand ya Taifa sio vinginevyo

    Serikali za Tanzania zinakumbatia wanaoendeleza ugahaba na ushenzi, na wanamuziki wote hapa Tz ukifuata mienendo yao hawana isipokuwa kuendeleza tabia chafu, mambo ya haramu kwao wao wanayafanya kuwa halali na wengine huvuka mipaka na kuzichanganya dini kati tabia zao za ufuska. Mambo yao...
  12. B

    Hili la Lissu na tulipofika: "Hivi hatuoni aibu kuchagizwa, ili kutenda haki? Hivi tutakuwa hata na majibu gani kwa Mola?"

    Kwamba kwa ajili ya haki tunabidi kuchagizwa kweli kweli na sasa kutokea nje ili Lissu awe huru, kina Mdude, Soka, Kipanya na wengine mlio nao kinyume cha ubinadamu wapatikane wakiwa hai? Kwamba wenye kuhusika na kuyaridhia hayo ni ninyi, na mwaona mko sahihi, maisha yanaendelea ali mradi...
  13. Shekhe mkuu na Bakwata mnaamini FAZA kitima alikuwa analewa? Aibu iwe juu yenu

    Nina imani shekhe mkuu wa mkoa wa Dsm angekuwa yule aliyen'golewa hasingekaa Kaa kimnya mpaka Leo hasijitokeze kukemea kitendo alicho fanyiwa FAZA Kitima. Swali je Shekhe mkuu Wa Tanzania na Bakwata mpoooo?
  14. Steve Mangele: Haiwezekani mtu atoke kwao aje kwetu kutetea waasi

    Katika maisha hakuna mtu hatari kama mtu mjinga aliejaaliwa Kujiamini na kukosa aibu. Mfano wa watu wa aina hii ni huyu Steve Nyerere, huyu ni moja ya watu wa hovyo sana nchini, ambapo imekuwa bahati mbaya sana kwa taifa mtu huyu kupata umaarufu na media coverage.
  15. Janabi akishindwa WHO itakua aibu kwetu, apikwe kijadi pia

    Mheshimiwa Janabi akishindwa huko WHO aibu inarudi kwetu. Tafadhali apelekwe Mlingotini apikwe kijadi pia. Siku ya kupiga Kura hao wapigaji Kura waone jina lake tu.
  16. K

    Aibu hii imenikumbusha mengi!

    Habari Ndugu na jamaa, nashukuru Mungu, Muumba mbingu na Ardhi kwa Uhai huu. Tunaishi katika Dunia yenye mambo mengi ya kufurahisha, kuhuzunisha na ndio Maisha! Umri Kumbe umesonga! Kuna Kasi hana, nilikuwa nakafukuzia huku mtaani, kazuri kameumbika kwa kweli, Mimi ninavyokaona. Nikawa nakapa...
  17. Kutoka Dar kwenda Mtwara ni aibu kwa barabara hii

    Watu wa kusini mlitenda dhambi gani hata mkaachwa na barabara mbovu hivi? Sitarudia tena kuendesha gari binafsi njia hii.
  18. Viongozi wasio na Hekima waliibuka kipindi cha JPM na kisha kipindi cha Samia. Hii ni aibu

    Tabia ya Viongozi kusemana kwenye Media na Majukwa ni moja ya Ishara CCM ni chama cha Mfu na hakina maadili. Nepotisme and Favoritisme ni LAANA Nchi haina maendeleo but viongozi wanasutana kama wakewenza ! Heshima ya Utumishi wa Umma imepotea sana. Pia vijana wengi wanaopewa nafasi ni...
  19. PreGE2025 Aibu kubwa kwa CCM. Propaganda yao ya Udini waliyotegemea kutackle Waraka wa TEC yafeli vibaya sana

    Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu. Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM kuwa ni wafitinishi, walaghai, waongo na Wasiolitakia mema hili Taifa zaidi ya kulinda matumbo yao...
  20. C

    Maaskofu (ukimuondoa Malasusa) wanapiga spana za HAKI Hadi aibu.

    Hawa Maaskofu (ukimuondoa Alex) ni kama wameambizana ni mwendo spana za HAKI hadi unajiuliza nini kimetokea! 1. Askofu Pissa, Rais TEC, Askofu Lindi (Haki). 2. Askofu Mkuu Ruwa'ichi, Askofu Jimbo Kuu Dar es Salaam - Haki & Wazalendo uchwara. 3. Askofu Laizer, KKKT Morogoro, Haki & No Reforms...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…