Agoma is a monotypic moth genus of the family Noctuidae erected by Sergius G. Kiriakoff in 1977. Its only species, Agoma trimenii, or Trimen's false tiger, was first described by Rudolf Felder in 1874. It is known from most countries of subtropical Africa.
Raila Odinga kwa sasa ndiye anasubiriwa kwenye ukumbi wa IEBC yatakapotangazwa matokeo ya mshindi wa Urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Ikiwa Mgombea wa Kenya Kwanza Coalition, Willium Ruto ameshawasili zaidi ya saa moja iliyopita, hali ni tofauti kwa mpinzani wake mkuu Raila Odinga ambaye...
Msanii maarufu nchini Nigeria na mchezaji wa filamu Nollyhood amekataa kiasi cha Naira 10,000,000 sawa na shillingi 54,935,758.91 za Tanzania ili kumsapoti mwanasiasa anayefanya kampeni, mwanasiasa huyo aliona akimtumia huyo msanii kwenye kampeni atapata wanachama wengi na kura zitaongezeka, ila...
Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Mkoa wa Mwanza, Monica Ndyekobora anayeendesha kesi ya jina inayomkabili Diana Bundala maarufu ‘Mfalme Zumaridi’ amegoma kujitoa katika kesi hiyo kwa maelezo kuwa maombi ya mshtakiwa huyo anayetaka ajitoe hayana mashiko.
Hakimu Ndyekobora ametoa uamuzi huo...
VIKAO vya siku mbili ndani ya Simba vimeamua rasmi kuachana na kocha mkuu Pablo Franco kwa kile kilichodaiwa ni kutoridhishwa na mwenendo wa timu hiyo.
Simba imepoteza mataji yake yote mawili la Ligi Kuu Bara ambalo walilitwaa kwa mara nne mfululizo pamoja na taji la Kombe la Shirikisho la Azam...
𝗜𝗱𝗿𝗶𝘀𝘀𝗮 𝗚𝘂𝗲𝘆𝗲 ni mchezaji wa klabu ya mpira wa miguu ya Paris Saint Germain (PSG) aliyekataa kuvaa jezi ya timu yake ambayo kwa upande wa namba ilikuwa imeandikwa rangi zenye kuashiria mahusiano haramu ya jinsia moja na watu waliobadili jinsia kwa pamoja wanajitambulisha kama LGBT+.
Hivi...
Lile jamaaa kwa kweli Mungu alisamehe tu, limeweka mgomo bana linatafutaa angle mbaya ili liweze kutweet hapo roohoo inaliuma vibaya mnoooo
Kamtafute ZUZU MSUKULE mpeane ideas jinsi ya kureport kama mnayokaaaga na kukubaliana ukireport habari za simba uwe unamuita Mo dewji BWANYENYE
unaboa...
Waziri mkuu mh Majaliwa amegoma kufungua barabara yenye urefu wa km 1.5 Liwale mkoani Lindi kwa sababu haina taa.
Mh Majaliwa amesema ramani inaonesha barabara ikikamilika itakuwa na taa hivyo hawezi kuifungua mpaka hapo itakapowekewa taa.
Chanzo: ITV habari
Baada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka ya Bunge Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na kukisogeza pembeni.
Alipoulizwa na mwenyekiti Emanuel Mwakasaka kwanini hataki kukukaa alisema leo atasimama kwakuwa amezoea kusimama mara nyingi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.