afya

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Wilaya ya Chemba (Afya) tuna mwaka hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu

    Ajira mpya wilaya ya chemba afya tuna mwaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu
  2. JamiiForums Tanzania Sio afya kwa serikali, Jeshi letu la Polisi linapotiliwa mashaka

    Kaka yangu Nape, mapema mwaka huu aliwahi kusema, kama serikali isipodhibiti matumizi ya nguvu dhidi ya raia, Siku moja wananchi watakikataa chama chetu. Kila mtu anaweza kuwa na mtazamo wake juu ya hili, lakini mimi napenda kuwakumbusha viongozi wangu uchaguzi wa 2010 Mbeya mjini kati ya Sugu...
  3. JamiiForums Tanzania Afya

    Naomba msaada kama Kamanga medics hospital wanataibu severe hearing impairment? Aliye na uzoefu matibabu ya hapo anisaidie
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Afya Simanjiro (Manyara) Sauti Zetu Zimezimwa!

    Mimi ni mfanyakazi wa kada ya afya katika Halmashauri ya Simanjiro, mkoa wa Manyara. Tangu Januari 2026 hadi sasa tumekuwa tukikumbana na changamoto nyingi, lakini kila tunapojaribu kuzungumza au kuuliza, tunaondolewa kwenye makundi ya mawasiliano (groups) na hata “kuremove” kabisa. Inafikia...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za Wafanyakazi wa Afya Wanaojiendeleza Kimasomo Kutoka Mikoa ya Pembezoni

    Naomba kuwasilisha kilio cha wafanyakazi wa afya kutoka mikoa ya pembezoni kama Kigoma, Mara, Kagera, na Katavi, ambao wamepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo lakini wanakutana na changamoto kubwa sana ya kifedha. Wafanyakazi hawa, wakiwemo manesi, madaktari, na hata wanaosomea udaktari bingwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ambayo inamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya kupata kibali

    Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ya Mwaka 2009 Kifungu Na.173 (1), ambacho kinamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya ya jamii kupata kibali kutoka kwa waziri wa afya au ofisa aliyeidhinishwa na waziri. Kauli hiyo imeolewa bungeni leo Na Naibu Waziri wa Afya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Wilaya ya Mpwapwa Sekta ya Afya hatujalipwa fedha ya likizo tangu 2022

    Sisi Watumishi Wilaya ya Mpwapwa Sekta ya Afya tangu tumeajiriwa Mwaka 2022 hatukuwahi kulipwa fedha ya kwenda likizo.
  8. JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa kuishi miaka mingi zaidi kama utaboresha afya yako?

    Watu wengi wanajiuliza kama kweli inawezekana kuongeza muda wa kuishi kwa kutumia lishe bora, mazoezi, usingizi mzuri, na teknolojia za kisasa za afya. Dunia ya sasa imeanza kuzungumzia sana “Biohacking” — mbinu zinazotumia sayansi, technology, na lifestyle optimization kuboresha mwili na akili...
  9. JamiiForums Tanzania Huduma za Afya Karibu na Nafuu Kwa Wananchi

    Serikali imejenga hospitali 10 mpya za rufaa za mikoa tangu mwaka 2021. Huduma zilizokuwa zinapatikana mbali kwa gharama kubwa, sasa zipo karibu na wananchi, pia ni nafuu zaidi.
  10. JamiiForums Tanzania DAR: Tanzania Na Marekani Kuimarisha ushirikiano katika sekta ya Afya

    Serikali ya Marekani na Tanzania kuimarisha ushirikiano katika sekta ya Afya Tanzania na Marekani mambo safi Dar es Salaam, 14 May 2026 The Minister of Health, Hon. Mohamed Mchengerwa, today met with Chargé d’Affaires of the United States Embassy in Tanzania, Andrew Lentz, to discuss a new...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Hospitali ya Wilaya - Iramba upande wa afya tunadai malipo ya extra duty tangu Agosti 2025

    Watumishi wa Afya Halmashauri ya Iramba Mkoani Singida, Hospitali ya Wilaya Kiomboi tunakaribia Mwaka sasa hatujalipwa stahiki zetu za Extra Duty na uongozi upo kimya kila tukiuliza tunajibiwa majibu ambayo sio rafiki, tunadai tangu Agosti 2025. Tupo katika Jimbo la Waziri Mkuu tunaomba tatizo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya Nachingwea – Lindi tukidai fedha za kujikimu tunatishiwa kuhamishiwa Zahanati za Vijijini

    Mimi ni mwijiriwa mpya upande wa afya Mkoa wa Lindi, Wilaya ya Nachingwea Mwaka 2026, kero yetu, mimi na wenzangu ni mpaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu ila Walimu ambao tumeajiriwa nao wote wamepewa. Kinachoumiza kila tukiulizia tunapewa majibu mabaya sana mbayo zaidi sisi ambao tumepangiwa...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Mkoba uliobeba karatasi za bajeti ya Afya ya mwaka ni Tsh. 13 million, mikoba miwili ni sawa na Tsh 26 million

    Kwa exchange rate ya leo, dola 1 ni takribani TZS 2,605. $5,000 ≈ TZS 13,025,000 (milioni 13 na elfu 25)
  14. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Saratani Ocean Road yamuonesha Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya jinsi Mtambo wa Cyclotron unavyofanya kazi

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe ametembelea kwenye banda la Taasisi ya Saratani Ocean Road lililopo kwenye Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma na kueleza kuwa anahitaji maelezo mengi kutambua ubora wa kazi za Taasisi hiyo akieleza kuwa inajulikana kuwa ni Taasisi imara sana ndani...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali Kuwagharamia Wazee na Watoto Bima ya Afya

    Bima ya Afya kwa Wote kugharimu shilingi 150,000 kwa kaya (watu sita). Wasio na uwezo (wazee, watoto, wajawazito na wenye ulemavu) watagharamiwa na serikali.
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Muhimbili mpya siyo mradi wa afya tu, ni uwekezaji wa kimkakati

    Serikali imeeleza kuwa kuijenga upya Hospitali ya Taifa Muhimbili si mradi wa afya pekee bali ni uwekezaji wa kimkakati wenye maslahi mapana ya kitaifa na kimataifa katika sekta ya tiba, elimu, utafiti na uchumi wa huduma za afya. Akizungumza leo bungeni Dodoma wakati wa kuwasilisha bajeti ya...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Muhimbili mpya siyo mradi wa afya tu, ni uwekezaji wa kimkakati

    WAZIRI MCHENGERWA: MUHIMBILI MPYA SIYO MRADI WA AFYA TU, NI UWEKEZAJI WA KIMKAKATI Serikali imeeleza kuwa kuijenga upya Hospitali ya Taifa Muhimbili si mradi wa afya pekee bali ni uwekezaji wa kimkakati wenye maslahi mapana ya kitaifa na kimataifa katika sekta ya tiba, elimu, utafiti na uchumi...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkoa wa Geita wafanyakazi wa mkataba mradi wa UKIMWI hawalipwi kwa wakati kila mwezi

    Mkoa wa Geita wafanyakazi wa idara ya afya kupitia shirika lisilo la kiserikali ICAP wanacheleweshewa mshahara wao kila mwezi na wakiuliza kwa mratibu wa mkoa hatoi majibu mazuri na kutishia kama umeshindwa acha kazi ambacho sio jambo jema
  19. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Yaomba Kuidhinishiwa Bajeti Tril. 1.8 Mwaka 2026/27, Fungu 52

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha kiasi cha Shilingi trilioni 1.8 kwa ajili ya Matumizi ya Wizara hiyo katika mwaka wa fedha 2026/27 Fungu 52. Mchengerwa ameyasema hayo leo Mei 11, 2026 Bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha...
  20. JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Serikali imetoa Sh Bilioni 48.8 Bima ya Afya kwa wote, Wanufaika 463,228 waanza kupata huduma za matibabu

    Serikali imeanza rasmi utekelezaji wa Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote kwa kaya zisizo na uwezo kwa kutoa Shilingi bilioni 48.8 kwa ajili ya kuwawezesha wananchi wa makundi maalum kupata huduma za afya kwa uhakika. Kupitia utekelezaji huo, jumla ya kaya 172,297 tayari zimefikiwa na kuingizwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…