afya

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza Ajenda ya Afya ya Uzazi Afrika UNGA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kinara wa Umoja wa Afrika wa Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwaongoza Viongozi wakuu wa nchi Barani Afrika na Wadau wa Maendeleo kujadili na kuhamasisha uwekezaji katika afya ya uzazi, mama, mtoto...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Uwezeshaji wa wanawake ni uwekezaji katika afya moja

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba alisema uwezeshaji wa wanawake wakulima ni uwekezaji katika utekelezaji wa dhana ya Afya Moja, kutokana na nafasi yao katika uzalishaji wa chakula, ufugaji, lishe, afya ya mifugo, usalama wa chakula na utunzaji wa mazingira. “Wanawake hawapo pembezoni mwa...
  3. JamiiForums Tanzania Nyumba ndogo zina faida/msaada sana ki Afya

    Naam hasa afya ya akili.. Hawa wake zetu kwa kiasi fulani wanachangia sana kututanguliza mahala pema peponi. Hivyo mkombozi ni nyumba ndogo,,,huko hupata vitu ambavyo mke hawezi kukupatia, Wanaume tunahitaji heshima tu,,ukiambiwa jambo sikiliza. Mke akiwa na jeuri na kujibu kwa dharau hufanya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kinga Afya yako: Chemical Mask bora sasa!

    CHEMICAL MASK YA UHAKIKA! Linda afya yako unapofanya kazi hatarishi b Mask hii ni bora kwa vumbi, kemikali na harufu kali V Inakaa vizuri usoni V Ina filter imara (double protection) Bei yake ni 40000/= kwa mawasiliano ni 0612630936 .. mikoani pia tunasafirisha V Inafaa kwa mafundi, welding...
  5. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Viroba katika sura mpya ya vichupa: Tishio kwa afya za vijana nchini, mamlaka zichukue hatua kabla haijawa ya janga

    Miaka 10 iliyopita, Serikali ilipiga marufuku viroba vilivyokuwa vikitumika kuhifadhia na kuuza pombe kali, ambavyo vilitajwa kuwaathiri zaidi vijana na watoto kutokana na kupatikana kwa urahisi. Hatua hiyo ilichukuliwa miongoni mwa juhudi za Serikali za kudhibiti matumizi ya pombe na wakati huo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa huduma za afya kati ya China na Tanzania wawaletea wagonjwa uchunguzi unaotumia akili bandia

    Katika chumba cha exray katika Hospitali ya Lumumba Unguja, Zanzibar, mabadiliko ya kiteknolojia yanabadilisha namna madaktari wanavyochunguza magonjwa, kufanya maamuzi, na kuokoa maisha. Katika kisiwa hicho, mifumo ya akili bandia (AI) inawasaidia madaktari kutafsiri picha za exray, huku...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Tujadli afya kwa matumizi sahihi ya miundombinu ya maji, usafi ni utu

    Usafi wa mazingira ni ustaarabu, usafi binafsi ni utu. Tusiwe chanzo cha kero kwa wadau wengine mtaani kwetu kwa matumizi yasiyosahihi ya miundombinu ya maji au matumizi ya makusudi kwa kuharibu. Serikali inajenga miundombinu hii kwa matumizi ya wananchi wote na kuimarisha afya ya jamii yetu...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania Health Summit, mnapoteza credibility ya kuendesha tuzo za afya ikiwa mfumo wa upigaji kura unaacha mianya ya kura zisizo halali.

    Kwanza, napenda kuwapongeza Tanzania Health Summit kwa kuanzisha na kuendesha tuzo zinazowatambua na kuwapa motisha wafanyakazi wa afya nchini Tanzania. Hili ni jambo zuri na muhimu, hasa katika mazingira ambayo mchango wa wataalamu wa afya mara nyingi haupati utambuzi unaostahili. Pia, sina...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ambulance ya kituo cha afya Muganza yawekewa matairi usiku ili Viete ya Ded irudi

    Mpaka wachimbwe mkwara👇
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia UNGA81: Afya Mama na Mtoto Afrika

    Tukutane New York!!!!!! Tanzania ikiendelea kuongoza juhudi za kuimarisha afya na ustawi wa mama na mtoto barani Afrika. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Bingwa wa AU wa Afya ya Mama na Mtoto, atakuwa mwenyeji wa tukio la UNGA81 kuhusu - Malengo matatu...
  11. JamiiForums Tanzania Ongezeko la wachungaji, manabii, na waganga kwenye mitandao ya kijamii yanaleta afya kwa jamii?

    Kutokana na jua kuwa kali sana, na kuchoma usoni, mwili, mpaka mifukoni, kumekuwa na ongezeko kubwa sana la waganga na manabii kwenye mitandao ya kijamii, hasa kule Tiktok. Ukifungua kidogo tu, mara pasta fulani anatokea, hujakaa sawa, mara nabii, hujakaa tena sawa mara mganga wa utajiri n.k...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atua Tabora kwa Ziara ya Siku 4 Kukagua Utekelezaji Wa Miradi ya Afya inayotekelezwa Chini Ya Taasisi Yake.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Ameingia na Kutua Mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi ya Siku nne . Ambapo katika Ziara hiyo Atafanya ukaguzi Wa Utekelezaji wa miradi ya Afya inayotekelezwa Chini ya Taasisi yake ya Jakaya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Wilaya ya Momba – Tunduma tumeanza kulipwa stahiki zetu

    Ahsante kwa kutoa taarifa ile, imetusaidia kwa kiasi fulani, Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Wilaya ya Momba – Tunduma tumeanza kupe stahiki zetu. Mfano wapo waliokuwa wanadai malipo ya miezi tisa, lakini wamepewa malipo ya miezi minne, hivyo bado tunasubiri miezi mitano. Hoja ya awali ~...
  14. JamiiForums Tanzania Tuna askari dhaifu sana. Kama huyu Agonza licha ya kuwa afya mgogoro ila kamtandika askari basi tunalindwa na watu dhaifu sana.

    Sioni faida ya hawa mapolisi kupiga kwata na mazoezi kila uchwao kama mtu tu wa kawaida ambaye amedhoofika vile amemtandika kisawa sawa askari. Najiuliza , je angekuwa mtu wa mazoezi / body builder huyo askari angekuwa na hali gani?
  15. JamiiForums Tanzania Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

    Nimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau, Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa? 1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya 2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae...
  16. JamiiForums Tanzania Kwamba umepiga PCB , cbg hasa kwa nyie madaktari wamifugo , kwamba mnakosa pesa ?

    Kwamba umepiga PCB , cbg hasa kwa nyie madaktari wamifugo , kwamba mnakosa pesa ? Halafu fomu six umehitimimu 2006 , ila hapa jukwaani hauna hata 2000 ya local bia🤔 Wewe ni bora ungekufa tu tupate mbolea ya kurutubisha udongo bwashee 🤔
  17. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Afya Msingi Arusha: Safari ya SDGs

    Mkutano huu unatoa fursa ya tafakari ya pamoja katika safari yetu kama Taifa, Afrika na dunia kwa ujumla katika kufikia malengo ya Maendeleo Endelevu- Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Arusha-Tanzania 🗓️Septemba 09, 2026 ———————————————- Ameyasema hayo wakati alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
  18. JamiiForums Tanzania Afrika Ijitegemee Huduma za Afya - PM Nchemba

    Nchi za Afrika zinapaswa kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Arusha-Tanzania 🗓️Septemba 09, 2026 ———————————————- Ameyasema hayo wakati...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu atua Arusha, kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi. Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanavyo haribu afya ya mwili na akili

    Ipo hivi jamaa yangu anaishi na mke ambaye tayari Wamejaaliwa kupata watoto wawili ,sasa anasema mwaka jana waliingia kwenye mgogoro mkubwa baada ya kugundua mke wake alikuwa akimsaliti japo huo usaliti ulitokea kipindi cha nyuma hili suala limefika pabaya jamaa aliamua kumufukuza waifu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…