afya

  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yathibitisha uwepo wa wagonjwa wawili wa Mpox nchini

    Wakuu, Ila kwenye ile video jamaa alisema wapo wengi hapo hospitali, serikali inasema watu 2!🤔🤔 Pia soma: Huu ni ugonjwa gani? Wizara ya Afya semeni kitu ===== TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UGONJWA WA MPOX NCHINI Tarehe: 10 Machi, 2025, DODOMA Mnamo tarehe 7 Machi, 2025 Wizara ya Afya kupitia...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Milion 600 kujenga kituo kipya cha afya Mahuninga, Iringa

    Kutokana na changamoto ya muda mrefu wanayopitia wananchi wa kata ya Mahuninga halmashauri ya wilaya ya Iringa Mkoani ya kufuata huduma za afya umbali mrefu uenda ikabaki historia mara baada ya kutengwa kiasi cha sh milion 600 kwa ajili ya ujenzi wa kituo kipya cha afya. Kituo hicho kinajengwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ninaomba kupata ushauri kutoka kwa watalaam wa afya kuhusu usalama wa samaki wanaofugwa katika ziwa Victoria

    Kumekuwa na wimbi kubwa la ufugaji wa samaki Kanda ya Ziwa na hasa Jiji la Mwanza. Masoko mengi jijini Mwanza yamejaa hawa samaki wanaofugwa na ndiyo wanauzika kwa wingi. Ninaomba kuelemishwa kama hawa samaki ni salama kwa kuliwa kwa ajili ya afya zetu. Wachina ndo wamejenga viwanda vya...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia asema bima ya afya kwa wote ni jambo zito si jambo jepesi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema mpango wa kuwa na bima ya afya kwa wote ni mzito na si mwepesi kutokana na umuhimu wake. Pia, kuhusu suala hilo amelishukuru Bunge kwa kulipitisha huku akisema kwa sasa limebaki upande wa Serikali kulifanyia kazi. "Jambo hili ni zito na sio jepesi...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Aeshi Hilaly apongeza Chama cha Wafanyakazi kwa msaada kwa Vituo vya Afya Sumbawanga

    Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly ametoa pongezi kwa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya kutoa msaada katika Kituo cha Afya Mazwi na Zahanati ya Kizwite. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  6. JamiiForums Tanzania Mjadalala:Athari za uonevu kwenye afya ya akili mashuleni

    Shiriki mjadala huu live kuanzia Saa mbili Usiku mpaka saa Tatu , ufahamu athari anazoweza pata mtoto kiakili kufuatia uonevu anaotokea mashuleni .
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri katika kujitolea zahanati au kituo cha afya

    Wakubwa habarini za majukumu, na pia nawapa hongera katika kipindi hiki cha MFUNGO MTAKATIFU( ISLAM& ROMAN CATHOLIC) Mimi ni kijana( me) 25 OLD ambaye nimehitimu ngazi ya diploma in clinical medicine 2024. Hivyo naomba naombeni ushauri katika kada hii hususani kujitolea (volunteer) Katika...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi wakala wa afya na usalama mahali pa kazi (OSHA) huwa wanakagua

    OSHA ni Wakala wa Serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu , Idara ya Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu. Wajibu wake ni kuwalinda wafanyakazi dhidi ya vihatarishi vilivyopo au vinavyojitokeza katika sehemu za kazi ambavyo vinaweza kusababisha Magonjwa, Ajali na hata Vifo. OSHA inatekeleza...
  9. JamiiForums Tanzania Sugu azidi kutikisa Marekani, Atafuta uwekezaji kwenye Afya na Utalii

    Huyu jamaa ni zaidi ya Royal Tour, ziara yake ya siku chache tena bila gharama kubwa ya kuumiza Nchi, Imezaa matunda ya kutisha! Hapa akiwa na Mbunge wa Jimbo Hapa akiwa na Mstahiki Meya
  10. JamiiForums Tanzania Hawa wanaharakati wa afya wasipodhibitiwa tutatengeneza kizazi goigoi

    Wakuu haihitaji research yoyote ya kisayansi kujua umuhimu wa kula. Pia haihitaji research kujua kuwa watanzania wengi hawapati chakula cha kutosha achilia mbali balanced diet. Yaani hata ugali maharage wa kushiba ni changamoto. Mimi nimeishi maeneo ya uswahilini Dsm nikaona mwenyewe jinsi watu...
  11. JamiiForums Tanzania Upotoshaji huweza kupelekea Wananchi kutofuata ushauri wa kitabibu hivyo kuathiri afya zao, Thibitisha Taarifa kabla ya kuiamini

    Uvumi wa Taarifa zisizo za Kweli kuhusu Afya unaweza kuwafanya Wananchi kupuuza ushauri wa wataalamu, hali inayoweza kusababisha madhara makubwa kwa afya za Watu. Hakikisha Unathibitisha Taarifa zinazogusa Sekta ya Afya kabla ya kuziamini ili Kuhakikisha usalama wako na Jamii kwa ujumla
  12. JamiiForums Tanzania Nguvu ya maji ya chemchem kwa afya yako

    Habari, Fahamu nguvu iliyopo juu ya maji ya chemichemi yakunufaishe. https://youtu.be/O4fUTm3_7NQ?si=HWHHkFS5RoWGowEo
  13. JamiiForums Tanzania Je, Bima ya Afya Inapaswa Kuwa Mali ya Serikali ili Huduma za Afya Ziwe Bure?

    Huduma za afya bure ni ndoto ya kila taifa linalotaka kuboresha ustawi wa wananchi wake. Tanzania inaweza kufanikisha hili ikiwa kila Mtanzania atachangia kiasi kidogo cha fedha kila mwezi kupitia bima ya afya ya umma. Mfano, ikiwa kila raia atachangia TZS 2,000 kwa mwezi, makadirio yanaonyesha...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua mwaka huku hapatakua na kumbukumbu ya kifo cha ally Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili?

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe. Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki? Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29...
  15. JamiiForums Tanzania Trump ameshajiondoa kufadhili miradi ya afya kabla ya siku 90? Je, ameona siku 90 ni mbali?

    Wakuu mwanzo ilisemwa kuna siku 90 za US kuangalia haya mambo ya ufadhili ndo waamue, lakini tokea jana zimeanza kuzunguka statement kama hiyo hapo chini kwenye mitandao. Kunani huko anayejua kinachoendelea?
  16. JamiiForums Tanzania Kampeni ya Mtu ni Afya kwa sasa imewafikia Namanga Arusha

    Kampeni ya Mtu ni Afya kwa sasa imeufikia mkoa wa Arusha na tarehe 27 Februari 2025 imeendelea katika Wilaya ya Longido mji wa Namanga na kata zake lengo ikiwa ni kuwafikia wakazi wa meeneo yote kuwaeleza manufaa ya afua tisa za kampeni hiyo. Judithi Meela ni Afisa Afya wa Wilaya ya Longido...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Afya za viongozi: Lissu, Samia na Mpango punguzeni uzito wa mwili

    Mimi binafsi najua kwamba afya zetu ni muhimu sana ! Tunavyokuwa watu wazima ni lazima tubadilike bila hivyo magojwa yanaongezeka sana. Mimi binafsi napata shida sana kupungua na kwasababu hiyo nakula mara mbili kwa siku mlo wangu wa kwanza ni kuanzia saa nne na nusu asubuhi na wa mwisho sio...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Adui mkubwa wa afya ni vyakula vya kununua, pamoja na tamaa ya faida inalisha watu vibudu, mchele ulioharibika

    Kuanzia matatizo ya vidonda vya tumbo, vijana kuwahi kuzeeka, kukosa nguvu za kiume, n.k. kwa kiasi kikubwa inachangiwa na kula vyakula vya kununua Kuna wafanyabiashara wa vyakula wao ni faida mbele, afya yako haina kipaumbele, wewe utalishwa vibovu wao watajipikia chakula tofauti. Njia za...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha ajae akiwa kwenye picha ya pamoja na anayetarajiwa kuwa waziri wa afya

  20. JamiiForums Tanzania Afya ya papa Francs inaendelea kuwa mbaya

    HALI YA AFYA YA BABA MTAKATIFU Hali ya Baba Mtakatifu inaendelea kuwa mbaya; hata hivyo, tangu usiku uliopita hakujakuwa na shida ya kupumua. Alifanyiwa upasuaji wa kuongezewa damu yenye chembe nyekundu zilizokolezwa, kwa manufaa na kurudi kwa kiwango cha hemoglobini. Upungufu wake wa chembe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…