afya

  1. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyopo Manispaa ya Songea (Ruvuma) ni hatari kwa Wanafunzi

    Muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ni wa kusikitisha na unatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Vyoo hivyo ni vichafu kupita maelezo, kila tundu limejaa kinyesi na hali ya usafi ni duni, kwani harufu ni kali sana inayotoka kwenye...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tiba ya malengelenge eneo la kiunoni mpaka kitovuni

    Habari wakuu. Nini tiba ya malengelenge ama vipele design kama vinaeka maji hivi kwandani maeneo ya kiunoni mpaka sehemu ya kitovu na maumivu yake kwa ndani ni makali sana kiasi kwamba hakuna ushirikiano seheme ya juu kichwani na miguu?
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika

    Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Bara la Afrika na kuwaomba kumuunga mkono
  4. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Kama una jengo lenye sifa za kuwa kituo cha afya au hospital karibu tufanye biashara

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri Mimi ni daktari nafanya kazi katika moja ya taasisi hapa nchini Nina uhitaji wa kufungua kituo Cha afya au hospital endapo nitafanikisha kupata jengo lenye sifa zifuatazo 1. Jengo liwe limezungukwa na idadi ya watu wengi 2. Jengo liwe na vyumba vya kutosha walau...
  5. Soul21

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya afanye ziara Hospitali ya KCMC

    Viongozi wamekuwa wakitoa kauli zisizo na vitendo au uhalisia unaowakba wagonjwa. Nimeshuhudia hospitality ya KCMC hata mgonjwa wa ambulance anasubirishwa mapokezi mpaka kujaza taarifa na malipo ya awali Hili jambo si utani, unaweza kuona mtu wako anafia mapokezi basi wakati mwingine Mungu...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Hali ya mazingira katika baadhi ya mitaa ARUSHA... Je? Jamii inazingatia usalama na afya

  7. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Usiku wa leo kuna members watakuwa bize kugombania kuanzisha uzi wa Berkane Vs Simba, hii nayo ni tatizo la afya ya akili

    Kuna members watakuwa wako bize kugombania kuanzisha uzi wa fainal kati ya Berkane vs Simba Hili nalo ni tatizo la afya ya akili, kwanini msisubirie lisaa limoja kabla ya mechi ndio mfungue uzi? Maana hata uchambuzi wa mechi mara nyingi huanza lisaa limoja kabla ya mechi. Fun enough...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya: Busara inatumika, Mgonjwa mwenye uwezo analipa Hospitali za Serikali

    Akijibu hoja za Wabunge walioeleza kuwa kuna Wajawazito wengi na Watoto chini ya umri wa miaka mitano wamekuwa wakilipiishwa fedha katika Hospitali za Serikali kinyume na maelekezo ya Serikali, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuna wakati busara inatumika licha ya uwepo wa Sheria...
  9. Munamuge

    JamiiForums Tanzania Kliniki za Matibabu ya kibingwa wilayani kutokujumisha Wafamasia Bingwa na Wateknolojia Bingwa wa Maabara za Afya kwenye jopo, Haijakaa sawa

    Salaam, mimi nilie mdogo kati yenu nawasalimu. Kwanza kabisa napenda kutambua mchango mkubwa na matokeo chanya yatokanayo na kampeni ya huduma za kibingwa katika Hospitali za wilaya na baadhi ya Vituo vya Afya zinazoendelea nchini kote. Mwezi May mwaka huu, kampeni hizo nadhani zimeanza awamu...
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na afya ya akili ya Mrisho Gambo

    Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania Yaani watu mnajaza mafuta kwenye v8 na Kaunda suti zenu mnaenda kuzindua daraja la mabanzi mawili
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo: Ubovu wa Miundombinu ya Chuo cha Marian University College (MARUCO) unahatarisha afya za Watu wakati wa mvua

    Kuna kero kubwa hapa chuoni kwetu Marian University College (MARUCO) kilichopo Bagamoyo Mkoani Pwani, mazingira hayaridhishi hasa wakati wa kila kipindi cha mvua, maji yanajaa eneo kubwa hivyo kupelekea Wanachuo kukanyaga maji machafu. Jambo baya zaidi kiafya maji hayo mengi yanakuwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini bei ya baadhi ya vipimo vya afya ni kubwa zaidi?

    Salaam! Huko mahospitalini tunaona kuwa gharama za baadhi ya vipimo ni za chini na nyingine ni za juu na vingine juu sana. Hii inapelekea hata baadhi ya vifurushi vya Bima za Afya kutokujumuisha baadhi ya vipimo kutokana na gharama kuwa juu kuliko vingine. Swali langu ni napenda kujua ni...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Badala kuongeza vituo vya afya na shule tunakimbilia kuongeza majimbo ya uchaguzi ambacho siyo kipaumbele kwa wananchi

    Hivi niwaulize ndugu zangu! Kuna haraka gani kukimbilia kuongeza majimbo? Ni mwanachi gani aliyekufa au kulalamika kwa ukubwa wa jimbo? Mambo ya msingi tunayolalamikia wananchi yanapuuzwa lakini yale ya hovyo ya kuongeza ulaji ndiyo wanayakimbilia! Gharama ya kulihudumia jimbo linaongeza...
  14. hungary

    JamiiForums Tanzania HUDUMA YA AFYA MTANDAONI

    Karibu Dr'sonline polyclinic Online Clinic – Huduma za Afya Mtandaoni, Haraka na Salama Karibu kwenye kliniki ya kisasa ya mtandaoni inayokupa huduma bora za afya ukiwa popote ulipo. Kupitia simu au mtandao, unapata ushauri wa kitabibu, vipimo, na dawa bila kulazimika kufika hospitalini...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt Godwin Mollel: NHIF imeanza kugharamia gharama za Huduma ya Afya ya Akili

    Serikali imesema huduma za afya ya akili zimeshajumuishwa kwenye vifurushi vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), na hivyo wananchi wanaonufaika na bima wanaweza kupata matibabu hayo kwa mujibu wa mwongozo wa matibabu uliopo. Akijibu swali la Mbunge wa Iringa Mjini, Mhe. Jesca...
  16. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania TELEMEDICINE NA AI KATIKA UBORESHAJI WA AFYA

    Teknolojia na Uboreshaji wa Huduma za Afya: Telemedicine na AI Katika dunia ya leo, teknolojia imekuwa na athari kubwa katika sekta ya afya, na mabadiliko haya yameongeza upatikanaji wa huduma za afya, ufanisi, na ubora wa matibabu. Telemedicine na Artificial Intelligence (AI) ni miongoni mwa...
  17. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI yanadi huduma zake za Kibobezi katika Wiki ya Afya Zanzibar

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki maonesho ya Wiki ya Afya Zanzibar yaliyoanza Mei 4,na yatafikia tamati Mei 10, 2025 katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar. Akizungumza katika maonesho hayo leo Mei 5, 2025 Meneja Uhusiano wa MOI, Bw. Patrick Mvungi amesema...
  18. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI tunashiriki Zanzibar Afya Week 2025

  19. C

    JamiiForums Tanzania Hope Chanell ya wasabato wekeni watu waliobobea kwenye vipindi vya afya ili msivuruge watazamaji wenu

    Kuna somo linaendelea sasa hivi kuhusiana na ugonjwa wa kisukari. Nasikitika kwamba mtaalamu mliyemuweka kufundisha somo hilo,anatumia rejea ya elimu za kizamani sana ambazo zimepitwa na wakati. Kusema mtu mwenye kisukari aepuke kula nyama na mayai kwamba umeng'enyaji wa protini hizo ni mgumu...
  20. bulajunior

    JamiiForums Tanzania Afya ya ubongo pamoja na maendeleo yake kwa watoto wetu miaka 0-20

    Wakuu habari za leo, Huku tukiendelea kupambana na maisha tukumbuke kuacha kizazi chenye akili sawa sawa! Ubongo ndo kila kitu jamani kwenye maisha ya kiumbe japo vingine havina ubongo lakini lazima kuwe na system mbali mbali ambazo zinaendesha sehemu zingine za mwili wa kiumbe huyo! Kama...
Back
Top Bottom