afya ya akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Musukuma: Luhaga Mpina achunguzwe Afya ya Akili

    Mpina atakuwa ana tatizo la afya ya akili (kwamba ni kichaa)? Hoja imetolewa na mbunge ambaye kaonyesha wasiwasi kuhusu afya ya akili ya mbunge Mpina. Ukichaa ni moja ya mago hwa yanayotibiwa na Hospitali yetu bingwa kabisa ya afya ya akili, Milembe, ambayo haiko mbali na viunga vya Bunge...
  2. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Kuna ongezeko la kasi la Wagonjwa wa Afya ya Akili nchini

    Kati ya sababu zinazochangia ongezeko la Watu wanaothirika na matatizo ya Afya ya Akili hasa kwa Wanaume ni pamoja na masuala ya Mahusiano, Talaka, Ukosefu wa Fedha, Ajira, Magonjwa, Upweke, Mzigo wa Familia, au Pombe kwa Wanaotumia Pamoja na kukabiliwa na changamoto zote hizo, wengi wao huwa...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Serikali mbioni kuanzisha Shahada ya juu ya uuguzi wa afya ya akili ili kupunguza makali ya gharama za kibobezi kwa waathirika

    Afisa kutoka Wizara ya Afya, Asnath Mpelo amesema kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho kuanza kutoa mafunzo ya shahada ya juu ya uuguzi wa afya ya akili, ikiwa lengo ni kufikisha huduma hizo za kibobezi katika ngazi chini kwenye jamii. Ameyasema hayo leo June 20, 2024 wakati wa utoaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kuoa uliyemzidi umri au kuoa aliyekuzidi umri au mnayelingana ipi ni nzuri kwa afya ya akili

    Rejea kichwa cha habari hapo juu Nahitaji maoni ya wadau Je, kuoa uliyemzidi umri au kuoa aliyekuzidi umri au mnayelingana ipi hapo ni nzuri na salama kwa afya ya akili kwa mwanaume Na kwa wadada kuolewa na mtu mzima Sana , au mnayelingana umri , kuolewa na Ben 10 ipi mnaona sio pasua kichwa
  5. JamiiForums Tanzania Baadhi ya dalili za tatizo la afya ya akili

    Ukijiona unapenda kupinga kila jambo hata kama hakuna sababu ya kufanya hivyo, basi ujue safari ya Mirembe inakuhusu. Hakika kuna watu ambao hupenda kupinga na kukataa kila kitu hata kama ukweli uko wazi kabisa. Najiuliza tu, sijui ni wanachama wangapi wa upinzani wataenda Mirembe. Ukijiona una...
  6. JamiiForums Tanzania Matatizo ya Afya ya Akili huanza kuwa Sugu kwa mtu mwenye miaka 14, Usipuuze mabadiliko ya tabia za Mtoto

    Tafiti za Kiafya kuhusu Afya ya Akili zinaonesha Binadamu yeyote katika wakati fulani hukabiliana na mambo kadhaa yanaweza kuathiri Ubora wa Afya ya Akili kwa muda mfupi au kubaki na athari hizo kwa muda mrefu Inaelezwa kuwa Matatizo ya Afya ya Akili huanza kuwa Sugu katika Umri wa miaka 14 na...
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Awakening mental health issues in Tanzania

    With the alarming increase in the number of people being affected or at risk of being trapped into mental health issues , the society has experienced a shift in approach to mental health through "Mental Health Awareness".This is a transformation characterized by creating awareness, open...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kuhusu hili wakuu?

    Habari zenu wakuu? Eti kwamba mwanaume ukiwa na msongo wa mawazo (stress) unapaswa kulia machozi kwamba inasaidia kukutuliza na kukuepusha magonjwa ya afya ya akili? Iko hivi ndani ya miaka mitatu hii Kuanzia 2021 nilipata changamoto mbalimbali kubwa kwa vipindi vifupi vifupi Mama wa watoto...
  9. JamiiForums Tanzania Je umepoteza tumaini la KUISHI na unaona maisha kama hayana maana tena kwako?

    Angalia SOUL (NAFSI) cartoon iliyowekwa maneno ya kiswahili na DJ MACK. Hii kwangu imekuwa kama tiba na kunifanya nijione mwenye thamani katika hii dunia. Kabla nilijuona ni mtu nisiye na thamani yeyote ile mpaka kutamani heri nife. Ila kwa kutazama SOUL CARTOON imenirejeshea amani na furaha...
  10. JamiiForums Tanzania Nini kinachangia ongezeko la matukio ya Ukatili dhidi ya Watoto?

    Kuongezeka kwa matukio ya ukatili dhidi ya watoto nchini Tanzania ni tatizo changamano lenye sababu mbalimbali, zikiwemo: Sababu za Kijamii: * Mtazamo potofu wa kijinsia: Baadhi ya jamii zinaamini kuwa wanaume wana haki ya kuwadhibiti wanawake na watoto, na hii inaweza kusababisha ukatili wa...
  11. JamiiForums Tanzania Saikolojia ya Mtanzania ikoje? Kwanini wengi hushangilia kiongozi anapoonesha au kufanya jambo la kikatili?

    Nadhani kama nchi, lazima tulishafanya study ya saikolojia na tabia za kabila, wilaya, mkoa wa nchi yetu. Hii inasaidia kiongozi akifika huko, anajua jinsi ya ku-deal na watu wa upande aliopo. Hivi karibuni nilimsikia TAL akilalamika jukwaani, kabla ya kulalamika, ailikuwa akitoa historia ya...
  12. JamiiForums Tanzania Athari za uchumi imebadilisha malezi na maadili kwa watoto

    Hali ya uchumi imekuwa ngumu, na zamani, wanamama waliweza kukaa nyumbani na kulea watoto wao vizuri kwa kujishungulisha kwa biashara ndogondogo ana kuweza pia ungalia na kuwa na muda mrefu na watoto wao. Hata hivyo, sasa inawalazimu kuwa na watu wa kuwasaidia kulea watoto kama dada wa kazi au...
  13. JamiiForums Tanzania Unafahamu kuna wanaume wananyanyaswa na wake zao ila hawasemi?

    Ukatili wa majumbani huwa hususani kwa wanawake ila pia sasa kuna tatizo la unyanyasaji kwa wanaume ni tatizo kubwa lakini mara nyingi halionekani, hasa kwa sababu ya jinsi wanavyokuwa wanaonekana katika jamii kwamba wanaume wanapaswa kuwa na nguvu, kujitegemea, na kushughulikia matatizo yao...
  14. JamiiForums Tanzania Ikitokea umekutana na mtu aliyepotea, mwenye tatizo la afya ya akili; utamsaidiaje ili kuwapata ndugu zake?

    Kuna video clip huwa zinasambazwa zenye kuonesha watu wenye matatizo ya akili ambao wamepotea au kutojielewa kwa wakati huo. Video hizo huonesha mahojiano kati ya mwenye tatizo na mchukua video. Je, ni sahihi kufanya hivyo? Je, ikitokea sasa mwenye hili tatizo akawa sawa, na kuiona video hiyo...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo apewa tuzo ya ubalozi wa Afya ya Akili

    CDE JOKATE APEWA TUZO YA UBALOZI WA AFYA YA AKILI 31 MEI, 2024 UVCCM HQ Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) - Cde. Jokate Urban Mwegelo apewa Ubalozi wa afya ya akili kutoka Hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Mirembe leo Mei 31,2024 jijini Dodoma ambapo...
  16. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tatizo la Afya ya Akili linapaswa kuchukuliwa kwa umakini ili kuokoa maisha ya vijana

    Afya ya akili ni ule uwezo wa mtu kuweza kuendana na Hali ya maisha ya Kila siku kuanzia kufiri Hadi utendaji wake wa kazi. Inapokuwa ni tatizo la afya ya akili,hapo akili inakua imeathiriwa mfumo wake wa utendaji kazi,mfumo wa maisha na hata tabia hubadilika. Tatizo hili limekua ni mwiba kwa...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana na afya ya akili (AFYA YA AKILI NI MTAJI) Tanzania niitakayo vijana wapate application inayo husiana na masuala ya Afya ya akili

    Tanzania tuitakayo Selikari ianzishe Application inayo husiana na masuala ya afya ya akili vijana wengi wanaona ni aibu kwenda kuelezea matatizo yanayo wakabili wakiamini Depression ni magonjwa ya kizungu lakini app moja ikianzishwa inayo deal na maswala ya msaada wa afya ya akili ikatoa...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Upadri aliyejinyonga Tanga atazikwa kikristu?

    Huu mwezi wa majanga ya kujinyonga tu, kaanza Askofu, kafata mwanafunzi akisomea upadre amebaki masister nao mjihadhari na hii roho mtaumbuka. Nimeona huyu askofu amezikwa kikristo baada ya kujinyonga. Swali langu, roman catholic kutokana na sababu za dogo kujinyonga zinaeleweka nae mtamzkka...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza katika Afya ya Akili kwa Tanzania Yenye Afya ya Akili

    Kuwekeza katika Afya ya Akili kwa Tanzania Yenye Afya ya Akili Utangulizi Afya ya akili ni sehemu muhimu ya afya na ustawi wa jumla. Hata hivyo, nchini Tanzania, afya ya akili mara nyingi hupuuzwa au kudharauliwa. Hii imesababisha pengo kubwa la huduma, na kusababisha mateso yasiyo ya lazima...
  20. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Elimu ya Afya ya Akili itasaidia kupunguza matukio mengi ya uhalifu nchini

    UTANGULIZI Kumeendelea kutokea matukio mengi ya uhalifu nchini Tanzania yenye viashiria vya kuwepo tatizo kubwa la afya ya akili miongoni mwa wananchi. Miongoni mwa matukio hayo ni visa vya mauaji kutokana na visa vya wivu wa mapenzi, watu kujinyonga, kujiua kwa sumu, uraibu wa kamari, ubakaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…