afrika

  1. JamiiForums Tanzania Machumu: Rais Samia ameteuliwa kuwa kinara wa Umoja wa Afrika katika masuala ya Afya ya Uzazi Mama na Mtoto

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu amezungumza na Vyombo vya Habari kuhusu Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan Addis Ababa, Ethiopia, leo Februari 16, 2026. Machumu amesema sehemu ya mafanikio ni Rais Samia kuteuliwa kuwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ateuliwa Kuwa Bingwa Wa Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika

    Ndugu zangu Watanzania, Usishindane na aliyebarikiwa na Mungu, huwezi kumshusha aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu,Huwezi Kumpaka matope na kumchafua aliyepewa kibali na Mungu . Rais Samia kwa hakika ni chaguo la Mungu,ni Mpango wa Mungu. Alizaliwa kwa makusudi maalumu katika Ardhi hii.. ni Rais...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ashiriki Mkutano Wa Umoja Wa Afrika Kuhusu G20. Hoja Zake Nzito Zaendelea Kuing'arisha Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tumepata Rais Sasa. Kwa hakika Tumepata nahodha hodari ,kwa hakika tumepata Jemedari hodari. Kwa hakika watanzania tuna kiongozi mbele yetu tunayepaswa kujivunia. Tuna kila sababu ya kusema asante Mungu kwa kutupatia Rais Samia . Leo Rais wetu Mpendwa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Dhana kwamba jasusi lazima awe “mtu safi” ndiyo inaua ujasusi wa Afrika

    Nchi nyingi za Afrika zimejifunga kwenye dhana potofu kwamba ili mtu awe jasusi lazima awe na tabia njema, rekodi safi ya kisheria, asiwe na “makovu” ya maisha, na aonekane kama askari au mtumishi wa serikali wa mfano. Dhana hii si tu ya kizamani ni hatari kwa usalama wa taifa. Ujasusi si...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12, 2026. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Mahmoud Thabit...
  6. JamiiForums Tanzania Burkina Faso yavifuta vyama vyote vya siasa

    Serikali ya Burkinabe imefuta rasmi Vyama na Mashirika yote ya Kisiasa nchini humo Mamlaka ikisema uamuzi huo ni hatua kuu katika ujenzi wa Serikali, ndani ya mfumo wa mpito unaoendelea tangu Mapinduzi ya 2022. Baraza la Mawaziri la Burkina Faso limebainisha kuwa kuenea kwa Vyama vya Siasa...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania imeshika nafasi ya 22 Afrika kwa kuwa na IQ (uwezo wa akili) mkubwa zaidi barani Afrika

    Tanzania imetajwa na mtandao wa International IQ Test kuwa ya 22 barani Afrika kwa kuwa na kiwango cha juu cha uwezo wa akili kwa mwaka 2026, huku Algeria, Tunisia na Morocco zikiongoza orodha hiyo kwa upande wa bara la Afrika. Kwa Afrika Mashariki, Kenya imeongoza imeshika nafasi ya kwanza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuwashobokea vijana, mtawala huyu wa nchi mojawapo Afrika anazidi kuchukiwa kila kukicha

    Wafu wamefikia hatua wanasema hawataki kuona picha yake. Ila yeye kakamoaa kuwa karibu na vijana. Mara tutawapa hiki, mara tutawapa kile. Tutawajengea studio na bado ahadi kibao. Lakini ukija uraiani vijana ndio wanamkataa kabisa.
  9. JamiiForums Tanzania Watala wengi hapa Afrika ni madikteta. Wanatumia jela kukandamiza wapinzani.

    Zamani nilidhania dikteta mpaka awe kama alivyokuwq Nduli Amini. Kumbe hata leo hii madikteta wapo hapa Afrika
  10. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ulinzi wa Rais Samia ni wa Kikomandoo na haujawahi kutokea barani Afrika. Hata sisiminzi hawezi kukatisha

    Ndugu zangu Watanzania, Sisi Ni Taifa Kubwa,sisi ndio tulio zikomboa na kuzisaidia Nchi Nyingi sana za kusini Mwa Afrika kujipatia Uhuru wake. Sisi ndio Kwa Miaka mingi tumekuwa sauti ya Afrika na waafrika,sisi ndio tumekuwa watetezi wa Afrika na waafrika. Sisi ni Wababe kwa Mambo mengi . Sisi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini bara la Afrika hasa kwenye tawala za watu weusi lisigawanye kwenye makoloni ili litawaliwe upya katika phase mpya ya Tatu?

    Kuna kila hali na kila namna bara la afrika kuanzia afrika magharibi,ukanda wa afrika mashariki,hadi ukingo wa afrika mashariki,tukiitoa ethiopia,afrika ya kati,na ukanda wa nchi zilizo kusini mwa afrika,mataifa yote haya yanapaswa kupokonywa sovereignty zao,watawala wa mataifa haya 1: wanatumia...
  12. JamiiForums Tanzania Tangu alipofariki Shujaa wa Afrika John P Magufuli taifa la Tanzania lina mpasuko mkubwa kisiasa, kidini na hata Ideologically

    Mwenye akilpi ndogo kama punje ya haradali atabisha. Ukweli ni kwamba rais Magufuli alikuwa ameliunganisha taifa kwa kila namna. Na ndio maana hata aliposema tuweke siasa kando hata Wananchi wa kawaida hawakulalama. Maana waliona anapiga kazi kwa wananchi wote. Aliunganisha wananchi wote wa...
  13. JamiiForums Tanzania Kama sio roho mbaya na chuki za watawala, Jamii forum ingekuwa platform kubwa sana kusini mwa afrika

    Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum isingekuwepo... Hii platform ingekuwa bidhaa ya watu karibia million 300 kwa nchi zote zinazoonhea...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika mashariki yanahitaji mapinduzi ya kweli by any means necessary

    Angalia picha ya Mke wa Boby wine akiwa amekaa kwenye sakafu huku akiwa chini ya ulinzi wa polisi. Hii ni kinyume na haki za kibanadamu na utu. Kwa nini Wanamchi wa Afrika mashariki wanafanywa wajinga? Mataifa yao kugeuzwa nchi za kisultani? Mapinduzi ya kifikra na hata kimwili yanahitajika...
  15. JamiiForums Tanzania Top 10 ya Nchi Zinazoongoza Kuzalisha Dhahabu Afrika

    1.Ghana 2.Mali 3.Burkinafaso 4.South Africa 5.Sudan 6.Guinea 7.Cote D'Ivoire 8.Tanzania 9.Zimbabwe 10.DRC My Take Tanzania ndio Nchi imenufaika na Utajiri wake wa dhahabu kuliko zingine hapo Juu Soma zaidi hapa Africa’s top 10 gold-producing nations as prices hit record high - Businessday NG...
  16. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika sasa zinatuma fedha nyingi zaidi kwenda China kuliko wanazopokea kama mikopo mipya

    Kwa miaka mingi, China imekuwa ikitoa mikopo mingi kwa nchi zinazoendelea, ikiwemo nchi nyingi za Afrika. Hata hivyo, katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, hali hii imeanza kubadilika. Sasa, China inatoa mikopo mipya kidogo sana, huku nchi maskini zikiendelea kulipa madeni ya zamani...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea makomandoo wa Marekani na Israel wakitaka kumkamata kiongozi wa nchi mojawapo hapa Afrika Mashariki walinzi wake wataweza kuzuia?

    Trump anatumia sana ubabe. Naona wakati wowote atatuma Makomandoo ili wakamate viongozi wa mataifa ya Afrika mashiriki ambao wanapiga raia risasi hovyo. Nini kitatokea?
  18. JamiiForums Tanzania Anne Kilango: Watanzania tujue Rais Samia anaongoza Taifa kubwa sana Afrika Mashariki

    Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anne Kilango, akichangia mjadala wa hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kufahamu kuwa Rais anaongoza taifa kubwa na lenye idadi kubwa ya watu Afrika Mashariki.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Swede

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden.
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatengwa kwenye ziara ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayetembelea Afrika Mashariki.

    Mwigulu endelea kulumbana na akina Mange huku nchi jirani zikijenga mahusiano na mataifa makubwa duniani na kuimarisha uchumi wa nchi zao. ========== U.S Deputy Secretary of State, AFRICOM Commander Travel to East Africa U.S. Deputy Secretary of State Christopher Landau, accompanied by...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…