afrika

  1. Burna Boy ashinda tuzo ya Msanii Bora Afrika MTV EMA's

    The African Giant, Burna Boy ametangazwa Msanii Bora Afrika katika Tuzo za Muziki za MTV Ulaya (MTV Europe Music Awards – EMA) kwa mwaka 2022, na kuongeza unyoya mpya kwenye kofia yake kubwa inayoendelea kupanuka. Burna Boy alikuwa akishindanishwa na Zuchu kutoka Tanzania, Tems (Nigeria), Musa...
  2. Nini kifanyike kusaidia Mataifa ya Afrika kuelekea kombe la dunia kufika mbali katika mashindano?

    Kumekuwa na hali ya mazoea au unyonge ambao mataifa ya Afrika kuwa nayo katika mashindano ya kombe la Dunia na ni wazi huonekana fikra na mawazo yq kushindwa au kutokufanya vizuri kuanzia katika akili zao(saikolojia) hadi vitendo kwa mara ya kwanza nimemuona rais wa chama cha soka cha cameroon...
  3. Mjadala: Je, ni kweli Mikopo na Misaada ya China kwa nchi za Afrika imejaa mitego ya Kisheria?

    Je, ni kweli Mikopo na Misaada ya China kwa nchi za Afrika imejaa 'Mitego ya kisheria'? China inaonesha kwenda kuwa taifa kubwa kiuchumi na kuziondoa nchi za magharibi katika nguvu walizonazo. Je, waafrika wategemee kitu gani? Ungana nasi katika Mjadala na Wataalamu na Wadau wa Uchumi, kupitia...
  4. Mgogoro wa Morocco 🇲🇦 na Sahara Magharibi, kisa na mkasa

    Na Jumaa Kilumbi 10.11.2022 KaskazIni Magharibi mwa Afrika kuna mzozo kati ya nchi ya Morocco na nchi ya Jamhuri ya Waarabu ya Kidemokrasia ya Sahara (Sahrawi Arab Democratic Republic, SADR, Sahara Magharibi). Morocco inadai kuwa Jamhuri ya Sahara Magharibi ni sehemu ya nchi yake huku Jamhuri...
  5. Soma mashairi ya Wimbo wa Jumuiya Afrika Mashariki (Jumuiya Yetu)

    Haya usipate tena aibu ukienda kwenye vikao vya maana kwa kushindwa kuimba wimbo wa Afrika mashariki. Kariri Mashairi haya ukienda sehemu kwenye hiyo kitu unaimba. Ubeti ya kwanza Ee Mungu twaomba uilinde Jumuiya Afrika Mashariki Tuwezeshe kuishi kwa amani Tutimize na malengo yetu. Kiitikio...
  6. L

    Maonesho ya Biashara ya China CIIE yaongeza idadi ya wateja wa makampuni ya Afrika

    Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa nchini China (CIIE) ya mwaka 2022, yamemalizika hivi karibuni huko Shanghai. Maonesho haya yameonekana kuongeza chachu kwenye uhusiano wa kiuchumi na kuufanya uendelee mbele zaidi, baada ya mikataba iliyosainiwa na makampuni yaliyoshiriki kwenye maonesho...
  7. Kwa sasa Yanga ndiyo timu inayocheza mpira mzuri barani Afrika

    Kwenye suala la kumiliki mpira na kucheza kandanda safi kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla, sioni timu ya kuwashinda wananchiwananchi. Tumaini pekee la wapinzani wanaokutana na Yanga ni kupaki basi na kucheza kaunta attack. Mtihani wa benchi la ufundi kwa sasa ni kuja na mbinu za kuwafunua...
  8. Simu ya Nabi kwa Mgunda leo asubuhi yaipeleka Yanga makundi ya Shirikisho Afrika

    Mpira umetembea leo kule Tunis kwasababu ya simu aliyopiga Kocha kupata ushauri kutoka kwa Guardiola Mnene. Nampongeza Kocha kwa uamuzi wa busara.
  9. L

    CMG yafanya shughuli ya kutangaza moyo wa Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC katika nchi tano za Afrika Mashariki

    Idara ya lugha za Asia na Afrika iliyo chini ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) tarehe 8 mwezi Novemba ilifanya shughuli ya kutangaza moyo wa Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC katika nchi tano za Afrika Mashariki. Shughuli hiyo yenye kauli mbiu “Safari mpya yenye...
  10. L

    Bidhaa za Afrika zaoneshwa kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China CIIE

    Bidhaa za Afrika kama vile kahawa ya Ethiopia, divai ya Afrika Kusini, maparachichi ya Kenya, n.k. zinatangazwa kwenye Maonyesho ya kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE). maparachichi ya Kenya pilipili ya Rwanda kahawa ya Ethiopia asali ya Zambia divai ya Afrika Kusini
  11. L

    Mfumuko wa bei nchini Marekani waathiri vibaya uchumi wa Afrika

    Ili kutatua changamoto ya mfumuko wa bei nchini Marekani, Benki Kuu ya nchi hiyo inayofahamika kama “Federal Reserve” imeongeza viwango vya riba mara sita tangu mwanzoni mwa mwaka huu, ambapo madhara yake kwa nje yameathiri vibaya uchumi wa nchi zinazoendelea hasa za Afrika, na gharama za maisha...
  12. Wagombea Urais wa Azimio la Umoja wafungua kesi ya kupinga Urais wa Ruto Mahakama ya Afrika Mashariki

    Kiongozi wa chama cha Narc Kenya Martha Karua ambaye alikuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa Raila Odinga amehamia Mahakama ya Afrika Mashariki akiikashifu tume ya uchaguzi kwa kazi "mbaya" na Mahakama ya Juu zaidi kwa kutupilia mbali ombi la uchaguzi wa urais wa 2022 lililopinga ushindi wa Rais...
  13. L

    Ushirikiano wa anga za juu kati ya China na Afrika watarajiwa kukua kwa kasi

    Moduli ya majaribio ya Mengtian ya Kituo cha Anga za Juu cha China Tiangong hivi karibuni ilirushwa angani na kuunganishwa kwa mafanikio na moduli kuu ya Tianhe. Kwa hatua hiyo, ujenzi wa Kituo cha Tiangong kilichoundwa na moduli za Tianhe, Mengtian na Wentian umekamilika, na ukurasa mpya wa...
  14. Video: Ona maisha ya upendo yalivyo kati ya ndugu hawa

    Ebu Tazama upendo kwa mtu na Kaka yake katika hawa yatima na namna wanavyopitia Magumu. Let love LeAd Mungu awapiganie na waweze Kupata Muangaza wa Maisha Yao.🙏🙏🙏
  15. Mataifa kumi yenye elimu bora Afrika

    Noma sana. Wanakagua vitu vingi ikiwemo bajeti iliyotengwa kwa ajili ya elimu. ============ Educational growth in African countries ensures that better academic requirements can be implemented to grow a literate nation. While many African countries are still developing, some have shown...
  16. L

    Taasisi ya China-Afrika kufungua vituo vitano Afrika

    Gianna Amani Taasisi ya China-Africa (CAI) ambayo inajihusisha zaidi na utafiti wa masuala yanayohusu uhusiano kati ya China na Afrika imesema inatarajia kufungua vituo vitano barani Afrika ili kusogeza huduma karibu kwa Waafrika. Akizungumza na waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika...
  17. Mbu wa Malaria kutoka Asia ahamia Afrika

    Wanasayansi wanasema kwamba aina vamizi ya mbu anayeeneza malaria kutoka Asia imeenea hadi Afrika, ambako ni tishio hasa kwa wakazi wa mijini. Barani Afrika, ambapo vifo vingi vya Malaria duniani hutokea, ugonjwa huu huenezwa zaidi na mbu maalumu kwa maeneo ya vijijini. Lakini aina ya mbu wa...
  18. N

    Rais Samia ni mwanadiplomasia namba moja Afrika

    Rais Samia Suluhu ni mwanadiplomasia namba moja africa ameimarisha diplomasia katika nchi mbalimbali na leo ameelekea nchini China kwa ziara ya siku tatu. Habari za haraka kuhusu ziara ya Rais Samia Suluhu nchini China. 1. Amekuwa Rais wa kwanza wa Afrika kukutana na Rais Xi tangu kuongezewa...
  19. Rais Samia ni miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametajwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi zaidi Barani Afrika. Rais Samia ametajwa na Jarida la Most Influecial African Women (MOAW) miongoni mwa wanawake mwenye ushawishi Barani Afrika katika kipengele cha Uongozi...
  20. Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi afungua Mkutano wa 6 wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika. [emoji414]1 Novemba, 2022. [emoji625]Madinat Al Bahr, Zanzibar.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…