afrika

  1. Tanzania inahitaji CHADEMA ili iweze kujirejeshea heshima kama taifa huru na imara barani Afrika

    Tanzania kama taifa licha ya ukongwe wake toka tupate uhuru ni dhahiri kwamba mifumo ya utawala imekuwa ikibidi kuwa mibovu kila kukicha. Hii hali imekuwa ikichangiwa sana sana na uchu wa viongozi waliowahi kushika nyadhifa kubwa serikalini kutaka uzao wao urithi nafasi na kufuata nyayo zao...
  2. Tanzania yatajwa kati ya Nchi 4 za Afrika zitakazokuwa na Uchumi mkubwa Duniani ifikapo mwaka 2100

    #UCHUMI: Kwa mujibu wa chapisho la #YahooFinance kutoka katika Ripoti ya 'Economics in The Year 2100', ya Mtando wa #FathomConsulting, Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi 4 kutoka #Afrika zitakazokuwa katika orodha ya Nchi 25 zenye Uchumi mkubwa duniani ifikapo mwaka 2100. Ripoti hiyo imeonesha...
  3. Ripoti AfDB: Gharama kubwa za maisha zinaweza kuamsha machafuko zaidi Afrika

    UCHUMI: Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) imesema kuendelea kupanda kwa gharama za maisha hasa mahitaji muhimu kama Chakula, Nishati na bidhaa nyingine kunaweza kuibua hasira za Wananchi na kusababisha vurugu katika baadhi ya Mataifa ya Afrika. AfDB imezitaja baadhi ya Nchi zinazopaswa kuchukua...
  4. Tanzania yawa miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri kiuchumi Afrika 2024. Yazipiku Kenya na Uganda

    Nchi 3 za Afrika Mashariki zimetajwa katika orodha hiyo ambapo zitaongozwa na Rwanda inayotarajiwa kupata Ukuaji wa 7.2% ikifuatiwa na Tanzania 6.1% na Uganda itakayokua na Ukuaji wa Uchumia wa 6%. Afrika itachangia uchumi wa nchi kumi na moja kati ya 20 zinazokuwa kwa kasi zaidi duniani...
  5. Afrika Kusini kufanya Uchaguzi Mkuu Mei 29, 2024

    AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa ametangaza tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Kitaifa na Majimbo na kueleza kuwa utafanyika Mei 29, 2024 ambapo ameitisha Kikao na Wakuu wa Mikoa pamoja na viongozi wa Tume kwaajili ya kujadili utekelezaji wa Uchaguzi. Wachambuzi wa Siasa wameonya kuwa Chama Tawala...
  6. Mtaalamu wa Akili Mnemba (AI) atoa onyo la 'ukoloni wa kidijitali' barani Afrika

    Bwana Ndiaye akizungumza na UN News kuhusu mazingira yajayo, akijenga juu ya uzoefu wake wa kusaidia kukuza mageuzi ya kidijitali nchini Senegal katika elimu ya juu, kutoa huduma kama mtaalam kwa Umoja wa Afrika katika kutunga Mkakati wa Pan-Afriican kuhusu akili mnemba, na kuchangia kwenye...
  7. Vita vya wenyewe kwa wenyewe Afrika ni matokeo ya viongozi waliokosa utu na hekima

    Mmeshindaje wanaJF wenzangu? Tukiangalia kona nyingi ama nchi nyingi za Afrika zipo ndani ya vita vya ndani ambapo wahanga wakuu ni wananchi ambao kila anayepigana anataka kuwwtawala. Riek Machari na Salva Kiir ni mfano wa kuangalia namna ambavyo kiongozi na aliyekuwa makamu wake wanavyoiona...
  8. Hakuna Kocha Aliemdharau Mchezaji kutoka Afrika na mizimu ya Kiafrika ikamuacha salama, TUCHEL waulize Pep na Klopp

    Tuchel anachopitia ni Adhabu kutoka kwa Mizimu ya Mababu wa Sadio Mane na Mizimu ya Kiafrika. Huwez ukaamua ugomvi ule wa SANE na MANE kwa dharau Vile,.. Muulize Klopp alimdharau MANE hakufuzu UEFA yupo huko anapigania kombe na Team kama MACCABI HAIFA Pep Alimdharau YAYA TOURE kahangaika na...
  9. Maombi maalumu kufanywa na raia wa Afrika Kusini kwa ajili ya Israel

    Mungu wa Israel ana nguvu kuzidi hao wengine, sio mara ya kwanza amedhihirisha ukuu wake, kila ambaye hujaribu kuwafuta hufutwa yeye, hili tumelishuhudia juzi, magaidi walioingiwa mzuka wa maelekezo ya 'mungu' wao wa kuifuta Israel wamethubutu, kilichowakuta imebidi wakimbilie kulilia ICJ...
  10. Vyuo Vikuu 2 vya Tanzania ndani ya Top 10 kwa Ubora wa Elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara. UDSM haimo

    Ni Vyuo Vikuu maarufu zaidi barani Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara? Vigezo vifuatavyo vya uteuzi: Kukodishwa, kupewa Leseni au Kuidhinishwa na Shirika linalotambulika linalohusiana na Elimu ya Juu katika kila nchi. Kutoa angalau Digrii za miaka mitatu au Digrii za Uzamili au za Udaktari...
  11. Kikosi cha Afrika Kusini kinacholinda amani DRC chapata pigo la kwanza

    Kikosi cha Wanajeshi wa Afrika Kusini kilichopo DR Congo kimepata pigo la kwanza kwa kupoteza Wanajeshi wawili na wengine Watatu kujeruhiwa baada ya bomu kutua katika kambi yao. Kikosi hicho ambacho kilipelekwa DRC, hivi karibuni kusaidia kulinda amani kupitia mgongo wa Jumuiya ya Maendeleo ya...
  12. D

    Kwanini Marais wengi Afrika Magharibi wanaoa wanawake wazungu?

    Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua Rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa Juzi tena...
  13. BBC: Wapinzani Afrika Kusini waagiza wanajeshi wao waondolewe DRC baada ya kuuawa kwa baadhi

    Kambi ya wanajeshi wa Afrika Kusini waliopo DRC ilishambuliwa kwa bomu na kusababisha vifo kwa baadhi ya wanajeshi, hii imechangia wanasiasa wa mlengo wa upinzani kuagiza serikali iwarejeshe nyumbani vijana wake. Pale DRC panahitaji busara, kupigana pigana hakujasaidia kitu kwa muda mrefu, kuna...
  14. Namna ambavyo Uhuru wa nchi za Afrika umepoteza uhalisia wake

    Umofia kwenu Tatizo kubwa la Afrika lilianzia pale wale waliopigania UHURU wa nchi hizi kujipa nafasi ya utakatifu na kuamua kujimilikisha nchi wao, jamaa zao na vizazi vyao. Uhuru wa nchi za Afrika ni Uhuru wa Viongozi kujifanyia watakavyo bila kuwajibika wala kuwajibishwa popote na yeyote...
  15. Wazo fyatu: Wazungu waje wachukue rasilimali zao huku Afrika

    Hello men and women of God! Nimekaa hapa nimewaza na kugundua kuwa hizi rasilimali za asili kama madini, wanyama na rasilimali zingine zote za asili hapa Afrika ni zao Wazungu. Sisi tulipewa tuzilinde tu kama vile mtu anayejenga nyumba Chanika na kumwambia mtu kaa usihofu lima mboga mboga ila...
  16. Mtanzania mwenye matatizo ya akili kurejeshwa nchini toka Afrika ya Kusini

    Ubalozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini unawashukuru kwa dhati watu wote waliotusaidia kuwapata ndugu wa Bw.Karim, Mtanzania mwenzetu mwenye matatizo ya akili hivi sasa, ambaye aliondoka nchini Tanzania mwaka 1998 kwa ajili kuja Afrika Kusini (Bondeni), kutafuta fursa za Kimaisha...
  17. I

    Wachezaji wa Ivory Coast, Nigeria na Afrika Kusini wapewa zawadi nono na serikali zao.

    Pesa, nyumba na heshima zinatolewa kwa wanasoka kutoka Ivory Coast na Nigeria, baada ya mchujo wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Jumapili. Kila mchezaji katika kikosi kilichoshinda cha Ivory Coast ataweka mfukoni $82,000 (£65,000) zaidi ya shilingi milioni mia mbili za kitanzania na...
  18. Afrika Kusini kupeleka wanajeshi 2,900 DRC kupambana na Waasi

    Afrika Kusini itatuma wanajeshi 2,900, kama sehemu ya mchango wake kwa kikosi cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kinachotarajiwa kukabiliana na makundi yenye silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ofisi ya rais Cyril Ramaphosa, ilisema katika taarifa yake...
  19. Wanawake walivyoishusha hadhi dhambi ya uzinzi kuwa sawa na dhambi maarufu Afrika ya Uongo

    Dhambi ya uzinzi imeshushwa hadhi sana na wanawake. Ugumu wa maisha na tamaa zisizona breki zimepelekea wana wa kike kuwa cheap kila siku zinavyokwenda. Zinaa imeshuka hadhi na sasa imekuwa dhambi kama uongo. Dhambi ya uongo ndio nyepesi kufanyika sana afrika maana maisha yetu yamekaa...
  20. taarifa za wikipedia tanzania zipo nyuma kuliko za channeli za afrika youtube

    ukitaka kumficha mtanzania siri yako we andika kwenye kitambaa cha kupengea makamasi sio kitabu maana utakuwa umemtesa. kwanza wote poleni kwa msiba mkubwa kuondokewa na waziri wa zamani lowasa.ila nashangaa mpaka sasa wikipedia imebaki na wasifu wake tu ujabadilishwa. ukiingia chaneli za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…