afrika

  1. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kama timu yako haipo hapa wewe bado mdogo soka la Afrika

    RATIBA YA HATUA YA PILI YA MASHINDANO MAKUBWA AFRIKA (CAFCL) CBE FC 🇧🇴 x 🇹🇿Yanga SC Dekedda SC 🇬🇼x 🇭🇰Esperance Gor Mahia FC 🇰🇪 x 🇪🇬Al Ahly SC APR FC 🇷🇼 x 🇪🇬Pyramids FC Mbabane 🇬🇼 x 🇿🇦Mamelodi AS Maniema 🇨🇩 x 🇦🇴 Petro Atletico Red Arrows 🇿🇲x 🇨🇩 TP Mazembe Jwaneng Galaxy 🇧🇼 x 🇿🇦 Orlando Enugu...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kamati ya usajili Simba iwaangalie wachezaji hawa wana uwezo mkubwa wa kuchezea timu yoyote nchini na Afrika na wakaanza First Eleven

    Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo. Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na msimu huu bado wanauwasha moto vibaya sana. Viungo hawa ni viungo 2 wa KMC yule Ibrahim Elias na...
  3. Rijali jandoni

    JamiiForums Tanzania Kwa sera za namna hii, Tanzania inaweza badilisha hali yake ya kiuchumi na kuwa taifa imara ukanda wa Kusini mwa Afrika ama inahtaji mageuzi zaidi?

    Habari za jioni wana jamii leo nimekaa na kuwaza kuhusu nchi yetu ya Tanzania kwa kina na kwa upana sikuwa na budi bali kuandika haya mambo kwa sisi watanzania wote Tanzania ni nchi ambayo imekaa vizuri kijiografia yaani tumezungukwa na nchi nane tunaweza sema tisa tukiweka na visiwa vya...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Johann Rupert amng'oa Dangote kwenye Nafasi ya Tajiri namba moja Barani Afrika

    Kwa mujibu wa orodha ya 'Bloomberg Billionaires Index' imemtaja Bilionea Johann Rupert kutoka Afrika Kusini kuwa Mwanaume tajiri zaidi barani Afrika Rupert anamiliki Kampuni kubwa duniani ya bidhaa za kifahari Richemont inayomiliki 'brand' kama Cartier na Montblanc Utajiri wake umeongezeka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni ya 3 kwa ulevi Afrika

    mwenyekiti wa chama cha wagonjwa wa kisukari prof.Andrew Swai amewataka watu kuacha matumizi mabaya ya pombe ili kujiepusha bna magonjwa yasiyo ya kuambukizwa kama kisukari, magonjwa ya figo pamoja na moyo. Amesema kua kutokana na takwimu zilizofanyika Tanzania imekua nchi ya 3 kwa ulevi barani...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Yanga wana uwezo wa kubeba Ndoo ya Afrika, wamekosa Nusu Fainali au Fainal labda zifanyike figisu

    Mkakati wao wa kushinda mechi ya leo ulianzia airport jana, sisi tunaojua fitna za nje tuliona, hakuna aliyeona hii, mganga wao aliwaambia mechi vs Kagera ni ngumu cha kufanya pale airport kila mtu atoke kwake kivyake mkutane pale, msipande basi la pamoja, mitego inaanzia airport, ndo maana kila...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zimehimizwa kujifunza toka kwa China ili ziweze kupata maendeleo ya kasi

    Maendeleo ya kasi ya kiuchumi na kijamii ya China, yamekuwa ni mambo yanayojadiliwa kwa kina na wasomi wengi duniani, ikiwa ni pamoja na wale wa nchi za Afrika. Moja kati ya mambo ya msingi yanayotajwa kuwa ni kiini cha maendeleo hayo ni njia ya China ya kujiletea maendeleo, ambayo wataalam wa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ajenda ya mwaka 2063 ya Umoja wa Afrika na Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika kuhimiza mafungamano China na Afrika

    Kwa muda mrefu sasa ushirikiano kati ya China na Afrika ulijikta kwenye ushirikiano kati ya pande mbili, yaani ushirikiano kati ya China na nchi moja moja ya Afrika, uliojikita kwenye mahusiano kati ya serikali. Kutokana na kuendelea kupevuka kwa ushirikiano kati ya China na Afrika, wigo wa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Miradi ya China barani Afrika yachochea maendeleo ya uchumi na kutoa nafasi nyingi za ajira kwa watu barani Afrika

    Wakati mkutano wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unafanyika mjini Beijing, wataalamu na wachambuzi wa mambo ya ushirikiano wamekuwa wakifanya mapitio ya baadhi ya miradi inayotekelezwa na China barani Afrika, na matokeo yake kwa uchumi wa nchi hizo. Kinachoonekana ni kuwa...
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia hizi wasifu za baadhi ya nchi za Afrika upande wa Mawaziri wa Afya utagundua Tanzania tuna safari ndefu sana

    Wenzetu atleast wana heshimu professionals za watu
  11. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Ujerumani Kuisaidia Afrika Dozi 100,000 za Chanjo ya Mpox

    Ujerumani itatoa dozi 100,000 za chanjo ya mpox kutoka kwa hisa zake za kijeshi kusaidia kudhibiti mlipuko katika bara la Afrika katika muda mfupi na pia kutoa msaada kwa nchi zilizoathiriwa. Serikali italipatia Shirika la Afya Duniani rasilimali za kifedha kupitia vyombo mbalimbali vya...
  12. Chapati Tatu

    JamiiForums Tanzania Teknolojia za Ajabu Afrika, Taja nyingine unayoifahamu.

    Hii ni moja ya mambo yaliyowahi kunishangaza sana. Huyo mwamba aliyeshikilia hapo ameamua kuweka kende zake rehani kwa ajili ya taifa.
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Simba Queens Yakosa Kufuzu CAF WCL, Yabamizwa 3-2

    Klabu ya Simba Queens yashindwa kufuza Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika mara baada ya kuondolewa hatua ya Nusu fainali kwenye michuano ya CECAFA hatua ya Nusu Fainali baada ya kufungwa na Kenya Police Bullets. FT' | Simba Queens 2 - 3 Kenya Police Bullets.
  14. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa uwekezaji kati ya China na Afrika ni wa kunufaishana

    Mkutano wa mwaka 2024 wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) utafunguliwa hivi karibuni hapa Beijing. “Ripoti ya Mwaka 2024 ya Uwekezaji wa Kampuni za China barani Afrika” imetolewa Ijumaa wiki iliyopita hapa Beijing. Katika miaka ya hivi karibuni, uwekezaji wa China...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Upinzani watikisika, Naibu wa Malema ahamia Chama cha Zuma (MK)

    Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), kimepata pigo kubwa baada ya Naibu wake, Floyd Shivambu, kujiondoa na kujiunga na Chama cha aliyekuwa Rais Jacob Zuma - uMkhonto weSizwe (MK) Floyd Shivambu alikuwa anachukuliwa kama Mtaalamu wa Kiitikadi wa EFF huku Julius Malema, akichukua nafasi ya...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini matege na makengeza yanapatikana sana kwa wakazi wa Afrika? Sijaona kwa wazungu

    Hili nimekuwa nikijiuliza sana, wadau, kuna mwenye ufahamu?
  17. canular

    JamiiForums Tanzania Kwanini matumizi ya Mbolea za Kisasa katika nchi za Afrika ni lazima ikiwa nchi za Ulaya wanatumia Samadi?

    Nimefanya utafiti katika kuongeza ufahamu kwenye mashamba ya vyakula na mazao mbalimbali yalimwayo na Wazungu, kitu nilicho gundua wao asilimia 100% wanatumia mborea ya samadi kutoka kwenye kinyesi cha ng'ombe, farasi na miti, pia na mabaki ya taka za majumbani. Pia soma: Kuwa na kilimo cha...
  18. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Karakana ya Luban yathibitisha ushirikiano mzuri kati ya China na Afrika katika mafunzo ya ufundi stadi

    Mkutano wa mwaka 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) utafanyika hivi karibuni mjini Beijing, China. Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na majukwaa ya ushirikiano ikiwemo FOCAC, China na Afrika zimehimiza ushirikiano wao katika sekta mbalimbali kwa njia ya...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natamani Siku kuwe na Mashindano ya Makomandoo wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ili tujue nani hasa yuko vizuri kwa Mtiti pale Kikinuka

    Kuna nchi moja nilikuwa Ninajidanganya nikidhania Wao ni bora kwa Kuwaona mara kwa mara kumbe ni Wachumba.
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tutumie fursa ya vita vya Magharibi kuzalisha na kuwauzia bidhaa zaidi

    Kutumia fursa ni elimu, kipaji au hulka ya mtu?. Wazungu wote sasa hivi wanapingana wenyewe kwa wenyewe hali inayopungaza uzalishaji na masoko yao kiuchumi. Lakini Ni ajabu kubwa kuona waafrika badala ya kutumia fursa hii kuungana na kuzalisha, kuuziana na kuwauzia wazungu tunawaza kutekana...
Back
Top Bottom