afrika

  1. JamiiForums Tanzania Takwimu: Mwenendo wa Chanjo ya COVID-19 barani Afrika - Julai 2021

    Baada ya kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona duniani mwanzoni mwa mwaka jana, dunia ilianza kutafuta chanjo, na hadi kufikia mwishoni mwa mwaka, kampuni kubwa tano za Pfizer-BioNTech, Moderna, AstraZeneca na Johnson & Johnson zilikuwa zimetengeneza chanjo za kukabiliana na ugonjwa huo...
  2. JamiiForums Tanzania Maneno ya Wimbo wa Taifa la Tanzania ni Uvumbuzi wa Mtu wa Afrika Kusini

    Ubeti wa kwanza wa wimbo wa taifa la tanzania "Mungu Ibariki Afrika" unatumika pia katika nchi ya Zambia, Zimbabwe na Afrika Kusini. Maneno katika wimbo huo yalitungwa na mtunzi Enoch Sentonga huyu ni Raia wa Afrika Kusini. Wimbo huo aliutunga mwaka 1987 ukiwa na maneno "Nkosi sikelel i'Afrika...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hii ni picha ya kuchora, inamuonyesha binti mtumwa kutoka Afrika akiwa Uarabuni

    Inauzwa katika minada ya antique, ni picha chache za kuchora ambazo bado zinapatikana. Nimevuta hisia, maisha way huyu binti si ajabu hajui hata wazazi wake walipo. Sura yake haionyeshi furaha bali ina ujasiri. Ni mara chache sana kuona kumbu kumbu za Watumwa waliokwenda Arabuni. Wengi wao...
  4. L

    JamiiForums Tanzania China itaendelea kushirikiana na Afrika kupambana na malaria baada ya kuidhinishwa na WHO kuwa nchi isiyo na ugonjwa huo

    Mapema wiki hii mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani WHO Bw. Tedros Ghebreyesus aliitangazia dunia kuwa China imetokomeza ugonjwa wa Malaria. Taarifa iliyotolewa na WHO inasema Bw. Tedros amepongeza mafanikio hayo ambayo ametaja kuwa yamepatikana kutokana na kazi ngumu iliyofanyika kwa zaidi ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wimbi la Wamerekani weusi wanahamia Afrika

    Kuna wimbi kubwa sana la Wamerekani weusi wanahamia Africa na Tanzania lakini uhamiaji wanakuwa na wasiwasi. Mawazo yangu badala ya kuwanyima viza tufaute utaratibu mzuri wa win win situation. Wengine ni walimu, wajasiriamali tunaweza kuweka utaratibu wa wenyewe kuishi na bado kunufaisha...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania ya pili Afrika kwa Usalama wa Ulinzi wa Kidigitali

    GLOBAL CYBERSECURITY INDEX 2020 The Global Cybersecurity Index (GCI) is a trusted reference that measures the commitment of countries to cybersecurity at a global level – to raise awareness of the importance and different dimensions of the issue. As cybersecurity has a broad field of...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Picha wanazipenda kuchukua Watalii kama kumbukumbu ya utalii wao Afrika

  8. D

    JamiiForums Tanzania Huku Afrika Tanzania tuna ujinga mwingi sana, Hatujui kupokea ukweli ili tupambane

    Nimejaribu sana kutafakari huu ujinga utaisha lini, lakini sioni hata dalili yaani!! Katika jamii yetu hasa afrika Tanzania hatupendi kabisa kukubali ukweli! Mwenzetu akifanikiwa kipesa (hatukubali moja kwa moja), Kauli zetu nyingi midomoni utasikia " Yule jamaa kama siyo Freemasonry basi...
  9. JamiiForums Tanzania WHO: Nchi 16 Afrika zimekumbwa na kirusi kipya cha Delta

    Wimbi la tatu la janga la COVID-19 kwa kirusi cha Delta linasambaa kwa kasi barani Afrika na mpaka sasa nchi 16 za bara hilo zimebainika kukumbwa na kirusi hicho. Kwa mujibu wa Shirika la Afya duniani (WHO), kirusi hicho kinasambaa kwa kasi zaidi barani Afrika kuliko wakati wowote ukilinganisha...
  10. JamiiForums Tanzania Nchi zenye Uchumi mkubwa Afrika -Tanzania yaporokoma na kutoka 10 bora

    Nawasalimu kwa Jina la JMT. Kwa Mujibu wa makadirio ya Nchi zenye Uchumi mkubwa yaliyofanywa na shirika la fedha Duniani IMF kwa mwaka 2021,Tanzania imeporomoka na kushika nafasi ya 11. Kwa miaka zaidi ya 10 ,Tzn imekuwa miongoni mwa Nchi zenye Uchumi mkubwa barani Africa kwa GDP,lakini kwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Liberata Mulamula: Tanzania kunufaika na Soko Huru la Biashara Afrika - AfCFTA

    29 June 2021 Dar es Salaam, Tanzania Eneo la soko huru kupitia mkataba wa AfCFTA yafikia nchi 38, tanzania kufaidika Tanzania imeridhia na pia kufikia hatua za mwisho kuingia katika soko kubwa la biashara kupitia eneo la soko huru barani Afrika AfCFTA litalokuwa na idadi ya zaidi ya watu...
  12. JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ahukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani

    Mahakama ya Juu zaidi Nchini Afrika Kusini imemhukumu aliyewahi kuwa Rais wa Taifa hilo, Jacob Zuma kifungo cha miezi 15. Uamuzi huo umekuja baada ya Mahakama ya Kikatiba kumkuta na hatia ya kudharau Mahakama baada ya kukaidi agizo la kufika kwenye Uchunguzi wa Ufisadi wakati akiwa Rais. ======...
  13. JamiiForums Tanzania COVID-19: Afrika Kusini yapiga marufuku mikusanyiko na mauzo ya pombe kutokana na mwenendo wa mlipuko

    Afrika Kusini imetangaza masharti mapya yanayolenga kudhibiti ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo mikusanyiko yote ya ndani na nje itapigwa marufuku kwa siku 14 Aidha, Rais Cyril Ramaphosa amesema katika siku hizo mauzo ya pombe na safari kuelekea au kutoka maeneo yaliyoathiriwa...
  14. JamiiForums Tanzania Afrika yaanza vita ya wenyewe kwa wenyewe tena

    Sina mda na salamu. Kiza kimetanda, wananchi wanahaha mitaani, hawajui watakula nini kesho. Mama anaamka, huku amelala na njaa ya siku mbili. Maziwa ya mtoto yamekata. Anajikokota kutafuta unga apike uji wa mwanae wa miezi 7. Ikiwa takribani wiki mbili tangu rais Museveni atangaze lockdown...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator. Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” lairudisha Marekani Afrika

    Hivi karibuni jarida ya Foreign Policy la Marekani lilikuwa na makala yenye kichwa “The United States Returns to Africa” kikiwa na maana Marekani inarudi tena Afrika. Yaliyoandikwa chini ya makala hiyo yametaja baadhi mambo ya kipaumbele kuhusu sera ya serikali ya Rais Joe Biden kwa Afrika...
  17. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa COVID-19 unaonekana nchi za Afrika kuwa wakutisha kuliko Nchi za Magharibi

    Wadau kama niwafatiliaji wa michuano ya mpira uefa euro 2020 inayoendelea utaona kwamba wenzetu janga hili haliwagusi watu wamejazana uwanjani na hawana barakoa kulikoni sisi huku Afrika. Nini kinaendelea nyuma ya pazia kuhusiana na janga hili la corona? Sisi kama watanzania hili swala...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania yachaguliwa kuwa katika Bodi ya Shirikisho la Wahasibu Afrika

    Shirikisho la Wahasibu la Afrika (PAFA) lilifanya Mkutano Mkuu wa Mwaka huko Catonou, Benin Ijumaa tarehe 18 Juni 2021. Kati ya dondoo zilizojadiliwa ilikuwa ni kuteua Bodi mpya ya PAFA. Tanzania ikiwakilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA, CPA. Pius Maneno, iliteuliwa katika Bodi ya PAFA kwa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa vijana wa Afrika kuhusu China waendelea kuboreka

    Elias Gebreselassie alilelewa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, na kama wenzake, amekuwa na fikra kuwa kwamba majengo marefu, maduka makubwa na barabara kuu zinaweza kuwa maonyesho tu katika sinema za Hollywood. Lakini katika kipindi cha muongo mmoja uliopita Gebreselassie amejionea kwa hakika...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa vijana wa Afrika kuhusu China waendelea kuboreka

    Elias Gebreselassie alilelewa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, na kama wenzake, amekuwa na fikra kuwa kwamba majengo marefu, maduka makubwa na barabara kuu zinaweza kuwa maonyesho tu katika sinema za Hollywood. Lakini katika kipindi cha muongo mmoja uliopita Gebreselassie amejionea kwa hakika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…