afrika

  1. L

    JamiiForums Tanzania Matunda ya ziara ya Wang Yi barani Afrika

    Na Ronald Mutie Kenya, Eritrea na visiwa vya Comoro ndio nchi tatu ambazo waziri wa mambo ya nje wa China alitembelea mwaka huu. Ziara ya Wang Yi kwenye nchi hizo imeendeleza desturi ya China kwamba safari ya kwanza ya waziri wa mambo ya nje wa China itakuwa Afrika. Kila ziara huwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Afrika ilipata bahati ya kuzawadiwa Askofu mmoja -- Desmond Tutu

    Juni 11, 2010, katika Uwanja wa FNB maarufu “Soccer City", kulikuwa na ufunguzi wa Kombe la Dunia. Siku hiyo, Desmond Mpilo Tutu, alikuwa kwenye kiwango bora cha furaha. Kwa Kiingereza unaweza kusema “he was in a very good mood”. Tutu alikuwa amebakiza pungufu ya miezi minne atimize umri wa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa China atembelea Afrika mwanzoni mwa mwaka mpya kwa miaka 32 mfululizo

    Mwanzoni mwa mwaka mpya, Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi ambaye pia ni mjumbe wa taifa wa China ametembelea nchi tatu za Afrika, ambazo ni Eritrea, Kenya na Comoro. Huu ni mwaka wa 32 mfululizo kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa China kufanya ziara ya kwanza ya mwaka mpya katika nchi za...
  4. JamiiForums Tanzania Staajabu Siasa za Afrika; Bunge kumchagua Rais mpya nchini Uganda?

    Siasa za Afrika ni sawa na mti wenye majani mabichi yanayokufanya upende kwenda kukaa chini yake kwa sababu una kivuri kizuri ilihali chini kuna mchwa wanautafuna. Nchini Uganda Rais anayesemwa na mpinzani wake kuwa ni dikteta Yoweli Museveni anafikilia kuwanyima haki wananchi wa Uganda...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Marekani haijawahi kuacha njama ya kutawala kikoloni Afrika

    Mwaka 1958, mwaka mmoja baada ya kujipata uhuru, Ghana, nchi ya kwanza ya Afrika kusini mwa Sahara iliyoondokana na utawala wa kikoloni iliitisha mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika. Kwa watu waliodhamiria kujenga taifa upya, hiki kilikuwa ni kipindi chenye matumaini. Lakini nchi mwenyeji...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa China afanya ziara ya mwanzo wa mwaka barani Afrika

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi anafanya ziara yake ya kwanza ya kidiplomasia barani Afrika mwaka huu, ziara ambayo imekuwa ni desturi kwa waziri wa mambo ya nje wa China kwa miaka 32. Ziara hii inafanyika ikiwa ni sehemu za mpango wa muda mrefu wa China wa kuimarisha uhusiano wa...
  7. JamiiForums Tanzania Utajiri wa Apple Inc. ni mkubwa kuliko GDP ya Afrika

    Kampuni ya Apple ambayo inatengeneza bidhaa za iPhones na Mac imekuwa kampuni ya kwanza kufikia thamani ya dola trilioni 3 katika soko la hisa Thamani hiyo ni kubwa kuzidi hata Pato la Ndani la Afrika(GDP) ambalo ni dola trilioni 2.6 Kampuni hiyo imefanikiwa kukua kwa kasi ndani ya miezi 16...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya na Marekani zajadili mgogoro wa Ethiopia na masuala ya Afrika

    Waziri wa mambo ya nje Marekani amewasiliana na rais Uhuru kwa simu wakaijadili Ethiopia na udhabiti wa Afrika kwa jumla..... Kenya's President Uhuru Kenyatta and US Secretary of State Antony J. Blinken on Tuesday held talks with peace in Ethiopia and Somalia topping the agenda. State...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazawa Wakenya waliohusika kwenye usanifu wa jengo refu kuliko majengo yote Afrika Mashariki na Kati

    Mababu zetu waliopigania uhuru wa Mwafrika pale walipo kama wana uwezo wa kuyaona haya kweli watafarijika kwa kujua jitihada zao zilizaa matunda, wajukuu wao, wazawa wa nchi hii leo wanahusika pakubwa kusanifu miundo mbinu ambayo inaipaisha nchi kwa mwendo kasi. A file image of the Global...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mchekeshaji Trevor Noah adhihakiwa na wenzake kutokana na kauli kuwa China inafanya “ukoloni mambo leo” barani Afrika

    Hivi karibuni mchekeshaji nchini Marekani Trevor Noah alisema katika kipindi chake cha The Daily Show kuwa, China imewekeza pesa nyingi kwenye miradi ya ujenzi barani Afrika, na kufanya uhusiano wake na Afrika uonekane kama ni “ukoloni mambo leo”. Kauli hii sio tu imekosolewa na wanamtandao wa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wakati Afrika inajikwamua kiuchumi, Marekani “inavunja ngazi” na China “inajenga ngazi”

    Hivi karibuni, hotuba iliyotolewa kwa njia ya video na mkurugenzi wa Kituo cha Maendeleo Endelevu cha Chuo Kikuu cha Columbia, Marekani Jeffrey Sachs ilifuatiliwa na kuitikiwa sana na watu wa Afrika. Kwenye mkutano huu wa Umoja wa Mataifa, profesa huyu alitoa mfano wa Jamhuri wa Kidemokrasia ya...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe huyu mwamba aliwahi kusifia Afrika Mashariki kwenye nyimbo zake

    Krisimasi njema wanajukwaa, huu wimbo ndio mara yangu ya kwanza kuuskia, Phil Colins amesifia Afrika Mashariki halafu la kushangaza ni kama ulipotezewa haujatumika na taasisi zinazohuasiana na matangazo ya utalii....
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Lugha ya Kichina katika Afrika yapokelewa kwa dhati kutokana na umuhimu wake duniani

    Na Pili Mwinyi Kwa muda mrefu sasa China imekuwa ikifungua milango yake na kukaribisha watu kutoka pande mbalimbali duniani kuja China ili kujionea kwa macho yao nchi kubwa iliyopata maendelo ya kasi kwa muda mfupi tu, na pia kuwafanya wachina kwenda nje ili kujionea na kujifunza mengi zaidi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania AFRIKA.

    Tuanze mwanzo, Afrika ni nini? Land of pleasant, watu ambao ni easy going. Wanakaribisha wageni. Watu wa kale. Kabisa. Jina la asili ya Afrika ni Kemet, nchi ya weusi, udongo mweusi watu weusi. Afrika ni chimbuko la binadamu ustaarabu wote duniani umeanzia hapa nyumbani. Hii mada...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano na Juhudi za Pamoja ndiyo Suluhu kwa Afrika kupambana na Janga la Covid-19

    Mwaka wa 2021 janga la Covid-19 linaendelea kuathiri karibu sekta zote za uchumi na jamii duniani. Watu hawawezi kujizuia kuuliza, je dunia yetu bado ni mahali salama pa kuishi? Tangu kuripotiwa kwa virusi vya Corona barani Afrika, zaidi ya watu milioni saba wameambukizwa virusi hivyo, japokuwa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Utulivu wa kijamii kwa maendeleo umepata manufaa kwa China na sasa inaisaidia Afrika

    Hali ya usalama barani Afrika mwaka 2021 Viongozi wa Afrika wamejitolea kwa muda mrefu kuondoa mizozo ya silaha, kukuza amani ya kudumu na maendeleo barani Afrika, ili kufikia malengo yaliowekwa na Umoja wa Afrika. Hata hivyo, malengo ya kuondoa kabisa mapigano na migogoro hayajafanikiwa kama...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Boomplay, Merlin waongeza mkataba wa leseni; sasa kuzifikia nchi 47 Afrika

    BOOMPLAY, MERLIN WAONGEZA MKATABA WA LESENI SASA KUZIFIKIA NCHI 47 BARANI AFRIKA Boomplay, App inayoongoza kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika na Merlin ambaye ni mshirika huru wa kutoa leseni ya muziki kidijitali, leo wametangaza upanuzi wa makubaliano ya leseni ambayo...
  18. JamiiForums Tanzania Afrika pumbavu

    Nisiwe mnafki sana kuhusu jambo hili, nchi nyingi za kiafrika tunafanana sana Mambo yetu. Yaani unayoyaona hapa nyumbani ndio hayo hayo yapo Burundi, Kenya, Nigeria, South Sudan, Afrika ya kati na hata South Afrika nchi iliyopiga hatua kidogo kwa Afrika. Aisee ni upumbavu kuona et- watu...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kenya kama kitovu cha TEHAMA Afrika, rais Biden amteua kigogo wa taaluma kuwa balozi Kenya

    Huyu mama alikua mkurungenzi HP na eBay, halafu tena ni bilionea aliyetosheka, ateuliwa kuiwakilisha Marekani nchini Kenya kama balozi...... Teuzi kama hizi hudadavuliwa sana, nani aende wapi, sio kama ambazo tumezoea ambapo mtu anateuliwa kwa uchawa wake..... US President Joe Biden has...
  20. JamiiForums Tanzania Tusichoshane 'Hotuba' imeshatolewa jana na leo ni Siku tu ya Kuwashangaa 'Makomandoo' wetu na Rais 'Genius' Afrika Paul Kagame

    Mmeshaambiwa jana kuwa mpaka sasa kuna Vyuo Vikuu 30 badala ya Chuo Kikuu Kimoja ( 1 ) tu wakati wa Uhuru. Watanzania mnataka nini tena? Hebu acheni Nongwa! Mmeshaambiwa jana kuwa sasa tuna Balozi 44 na baadae akasema tuna Balozi nchi zote duniani. Watanzania mnataka nini tena? Hebu acheni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…