afrika kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Maandamano Afrika Kusini: Polisi yakanusha kuwapa 'Sungusungu' Silaha kupambana na Waandamanaji

    Polisi imekanusha kuwapa silaha Askari Jamii ili kusaidia kuzuia maandamano ya kuipinga Serikali ambayo tayari yameanza katika baadhi ya miji Chama cha upinzani, Economic Freedom Fighters, (EFF) kilidai kwamba walinda doria wa Kitongoji cha Honeydew, katika Jimbo la Gauteng, walipewa sare za...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jumatatu Machi 20, 2023 itakuwa siku ngumu kwa Serikali za Kenya, Tunisia, Nigeria na Afrika Kusini

    Jumatatu ya Machi 20, 2023, Itakuwa siku ya kihistoria na ngumu kwa Serikali za Mataifa 4 ya Afrika, kutokana na kuitishwa kwa Maandamano na Migomo ya Utii dhidi ya Serikali na Mashinikizo kwa Marais wa Nchi hizo. Maandamano hayo yameitishwa na makundi mbalimbali ikiwemo Vyama vya Upinzani...
  3. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

    Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli. Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake? Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa nishani ya heshima nchini Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu ametunukiwa nishani ya Heshima ya nchi ya Afrika ya Kusini (National order of South Africa) na Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa katika kutambua nafasi ya Tanzania katika kuisaidia Afrika Kusini kupambana na ubaguzi wa rangi...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lowassa anapigania uhai wake nchini Afrika Kusini

    Hali ya kiafya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa, inaelezwa kuwa ya kutoridhisha katika siku za karibuni na kwamba sasa “anapigania uhai wake”, Gazeti la Dunia linaweza kuthibitisha. Lowassa anayetarajiwa kutimiza umri wa miaka 70 Agosti 26 mwaka huu, amelazwa nchini Afrika Kusini...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aanza ziara nchini Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Waterkloof Air Force Base Pretoria kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya Kiserikali nchini Afrika Kusini tarehe 15 Machi, 2023.
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mahakama yaamuru wahudumu wa Afya kusitisha mgomo

    Mahakama ya Rufaa ya Kazi Nchini humo imeamuru Wahudumu wa afya kurejea kazini na kusitisha mgomo ulioathiri utoaji na upatikanaji wa huduma katika baadhi ya hospitali kubwa. Tangu wiki iliyopita, Wanachama wa Chama cha Kitaifa cha Wafanyakazi wa #Elimu, #Afya na Washirika (NEHAWU) wamegoma...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi Afrika Kusini watoa huduma hospitali baada ya madaktari kugoma

    Serikali imetuma Wanajeshi katika Hospitali na vituo vya Afya katika Mikoa ya Thelle Mogoerane, Sebokeng na Bheki Mlangeni iliyoathirika zaidi baada ya Madaktari kuungana na Wafanyakazi wengine wa umma katika mgomo wa kudai maslahi bora. Wafanyakazi wa umma wamekuwa wakiandamana tangu Machi 6...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asitisha hotuba ghafla, sikiliza kwa umakini alichokisema baada ya kuweka mic pembeni, Machi 8, 2023

    Rais Samia asitisha hotuba ili azungumze na simu ya Rais wa Afrika Kusini, hiyo imetokea Mkoani Kilimanjaro wakati akiwasalimia Wana CCM nje ya Ofisi za Ccm Mkoa wa Kilimanjaro
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tulianza kuwasha moto Afrika Kusini, leo basi limeingia kinyumenyume! Tumebakiza kutoa haja kubwa tu viwanjani ili tushinde

    Timu ya Tajiri #13 Afrika inafanya Mambo ya Kipumbavu na Aibu kabisa halafu bado unataka Mwenyezi Mungu aibaeiki ishinde. Tulichokibakiza sasa kutokana na Kuamini Kwetu Uchawi ni Kuwaambia tu Wachezaji wakiongozwa na Babu (Mzee) Joash Onyango wajitahidi kujisaidia uwanjani kwa Mkapa ili...
  11. Matango

    JamiiForums Tanzania Umeme ni maafa ya taifa- Afrika kusini

    Rais wa Afrika ya Kusini ameshalitangazia Taifa hilo kubwa kuwa sasa Umeme umekuwa janga la Taifa na Mamlaka za kushughulikia majanga zimeanza kufanyia kazi hali hiyo ili kulinusuru Taifa hilo kutokana na madhara ya kukosekana kwa umeme. Hali ni mbaya mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia...
  12. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo tunayoyahitaji-Balance of Power!

    Urusi, Afrika Kusini na China kuanza mazoezi ya kijeshi February 23. Urusi, Afrika Kusini zatetea mazoezi ya kijeshi na China Afrika Kusini na Urusi zimetetea uamuzi wa kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi na China mwezi Februari, huku Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Urusi, Sergei Lavrov, akianza...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Serikali kushtakiwa kwa kushindwa kutoa huduma ya Umeme wa Uhakika

    Makundi ya Upinzani, Chama cha Wafanyakazi na Wamiliki wa Biashara Wameandika barua ya madai kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Shirika la Serikali la Eskom, Andre de Ruyter, wakisema kuwa Shirika hilo inakiuka wajibu wake wa kutoa huduma ya umeme. Pia, wameipa Serikali hadi Januari 20, 2022...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakataa mashtaka ya binafsi ya Jacob Zuma dhidi ya Rais Ramaphosa

    Mahakama ya Afrika Kusini imesitisha mashtaka binafsi dhidi ya Rais Cyril Ramaphosa yaliyoanzishwa na Rais wa zamani Jacob Zuma. Ramaphosa alikata Rufaa Mahakamani kujaribu kusitisha juhudi hizo. Zuma anamshutumu Rais kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya mwendesha mashtaka wa Serikali na...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Neno 'Oyah' lilivosumbua Polisi wa Afrika Kusini

    Vyombo vya usalama vya South Africa viliumiza kichwa sana kujua ili neno OYAH ni kitu gani au ni mtu gani ambaye anakundi kubwa la wahalifu. Watanzania wengi asilimia kubwa wamejikita kwenye uhalifu aina mbali mbali. Miaka ya nyuma sana OYAH lilitumika kama ishara ya kumtonya mwenzako pale...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

    Usijidanganye kwenda bondeni kutafuta maisha kama huna msingi, wala kibali. Kama unaweza kulipa nyumba Milioni kwa mwezi hapa Tanzania basi unaweza kuishi huko. Kama unaweza kuishi Masaki na Mbezi beach basi unaweza kuishi huko sababu tabia za huko mazoea ya uswahilini hakuna, ukiweza kuishi...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mgawo wa Umeme wasababisha Bosi wa ESKOM Group kujiuzulu

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Eskom Group Andre de Ruyter amejiuzulu huku nchi ikikabiliwa na matatizo ya kukatika kwa umeme (kukatwa kwa umeme kulikopangwa). De Ruyter anaacha wadhifa wake karibu na tarehe ya alipochukua wadhifa huo Desemba 25, 2019. Hii ni mara ya pili kwa nchi hiyo kufikia kiwango...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: 9 wafariki kwa kusombwa na maji wakiwa kwenye Ubatizo, 8 hawajulikani walipo

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Huduma za Usimamizi wa Dharura kutoka Jiji la Johannesburg, waumini 16 kati 33 waliokolewa huku watu 8 wakiwa hawajapatikana hadi sasa Mchungaji aliyekuwa akiendesha Ibada ya Ubatizo huo ni kati ya waliokolewa kutoka eneo hilo pamoja na waumini wengine...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Chama Tawala (ANC) kukutana Desemba 4 kujadili hatima ya Rais Ramaphosa

    Chama Tawala cha ANC kimerudisha nyuma mkutano wake uliopangwa kufanyika Dcember 16, 2022 badala yake utafanyika Dec 4, 2022 Jumapili, mkutano huo unalenga kujadili mustakabali wa Rais Cyril Ramaphosa ambaye amekuwa akishukiwa kuvunja Katiba ya nchi hiyo. Uchunguzi uliofanywa na jopo huru la...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, kulikuwa na ulazima gani Tanzania kuchukua wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wimbo wa Taifa? Kwanini tusingetunga wa kwetu?

    Huenda ni uvivu tulionao ndio unasababisha umasikini wetu na tumebaki kutafuta visingizio visivyo na idadi. Suala nyeti kama wimbo wa taifa, ambao ndio kitambulisho chetu, iweje tuukwapue wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wetu? Je, kwanini hatukuufanya wimbo wa Tazama ramani utaona nchi...
Back
Top Bottom