africa

  1. JamiiForums Tanzania East Africa: Three EAC States to pay Sh. 35 trillion in debt servicing

    Credit: The Citizen Three EAC states to pay Sh35 trillion in debt servicing Dar es Salaam - When Tanzania dodged the allure of acquiring more debt to cushion the economy from adverse impacts of Covid-19, it may have realised how costly it had become for member states of the East African...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kuwa ndiyo nchi inayoongoza kwa kuboresha miundobinu ya masoko na vituo vya mabasi ya abiria kwa nchi za East Africa

    Kwa juhudi zilizochukuliwa na serikali ya TZ katika uboreshaji wa miundombinu ya masoko na vituo vya mabasi ya abiria na thubutu kusema kwa sasa TZ ndio inaongoza kwa kua na miundombinu bora katika nyanja za masoko na vituo vya mabasi ya abiria kwa nchi za East Africa. Ukizingatia project hizi...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli angekuwa Rais wa Yanga ama simba, zingetingisha sana Africa, uncle Magu ukistaafu njoo utuongozee yanga kama rais misimu mitatu tu

    Habari wadau.. natamani sana yanga yangu ingepata kiongozi mbabe na mpenda maendeleo kama magufuli. hawa kina msolla na wenzake kina mkwassa ni wasanii tu.. miaka yote tunawajua hawajawai kupata mafanikio yeyote ya taasisi wanazoziongoza..Magufuli japo mpira haupendi ila kuongoza anajua.. maana...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi wins big in Africa venture capital funding

    Kenya accounted for the second largest volume of venture capital deals in Africa after South Africa between 2015 and 2019, helped by its position as the eastern Africa regional economic hub. A report by the African Private Equity and Venture Capital Association (AVCA) on VC deals for the period...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 10 Largest ports in Africa

    Wapi Dar??., I thought Dar port is in the top 10 league., 10 Largest Ports in Africa Tguyinternational Jun 25, 2020 12:15 Africa covers about 60% of the earth's surface. Africa possess over a hundred port facilities. The ports of Africa, are not just a tourist attraction, but also a field of...
  6. JamiiForums Tanzania Kenya KANU ndiyo ipo madarakani, Upinzani Afrika bado sana

    Great thinkers, Nadhani kila mmoja sasa anaelewa kwamba Vyama vya Upinzani havifai kabisa kupewa kuongoza nchi. Kenya mwanzo wakachagua wapinzani, baadaye wapinzani wakagombea madaraka mpaka kuuana, wakaamua kumchagua Uhuru Kenyata kwa kusema “turudi nyumbani kumenoga”. Kwa hilo somo...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: CUEA (Catholic University Of East Africa) Wins ICC Moot

    Our Faculty of Law has scooped the Best Regional Memorial for Africa Award at the just concluded 2020 edition of the ICC Moot Court Competition. The competition which brought together 71 teams from 50 different countries is organized by the Grotius Centre for International Legal Studies and...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Most powerful countries in the world: Kenya is number 3 in Africa and 52 in the world

    The world’s most powerful countries also are the ones that consistently dominate news headlines, preoccupy policymakers and shape global economic patterns. Their foreign policies and military budgets are tracked religiously. When they make a pledge, at least some in the international community...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima chaguzi zetu zisimamiwe na wasimamizi kutoka nje? Afrika tutakuwa watumwa mpaka lini?

    Nimemsikiliza mh Bernard Membe leo ameongea jambo ambalo kwa kweli linaamsha fikira nyingi sana. Anahoji tutakwenda vipi kwenye Uchaguzi bila kuwepo kwa wasimamizi wa uchaguzi wa kimataifa? Kwasababu kutokana na Janga la corona itasababisha wasimamizi hao kuto kuja mwezi Oktoba, ameenda mbali...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida na hasara za East Africa Community (EAC)

    Ndugu wana JF naomba kiwasilisha. Naomba tujikite kujadili kwa kina faida na hasara za kuungana na kuwa jumuiya ya Afrika mashariki. Kwa historian muungano huu uliwahi kuwepo na ukavunjika kwa sababu kadha wa kadha. Je, zile sababu zilizosababisha kuvunjika kwa Afrika mashariki ya zamani...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UN Security Council election: South Africa supports Kenya

    South Africa is more reasonable than our immediate southern neighbours, wanajua the most important and economically strong country in East Africa as they confess; strategic for them and for the good of Africa. Hawana wivu, forward looking not backward thinking and negative like. Wanajijua...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Did you know of the Tutsi people in Rwanda?They are among the Tallest people in Africa

    In this article I will be using mostly the first family of Rwanda, the Paul Kagame's as pictorial examples. We are well conversant with the Dutch men and the Latvian women being the world's tallest people towering over all other nationalities. And according to studies, the average Dutchman...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Top 10 countries with improved healthcare in Africa

    Kenya has the best healthcare in East Africa, not from opinions but expert analysis. Top 10 Countries with Improved Healthcare System in Africa 2020 African countries lose millions of US Dollars yearly in medical tourism. According to the Health Care Index, derived from a collation of data...
  14. JamiiForums Tanzania Siku ya mtoto wa Afrika; Je, mtoto yu wapi na anafanya nini?

    Wasalaam. Leo tumeazimisha siku ya mtoto wa Afrika . Bila shaka wapo waliotengeneza kofia na mafulana yao kusherehekea siku hii adhimu kwao, kama kweli wapo waliokimbilia kwenye radio, televison na mitandao kuazimisha siku hii kwao. Lakini swali la kujiuliza ni moja nalo ni huyu mtoto wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kilele cha maadhimisho ya siku ya mtoto wa wa Africa, yapi maoni yako?

    Habarini za leo ndugu zanguni. Natumai hamjambo na mapambano ya kila siku yanaendelea, kila mmoja anapambana kuhakikisha anapata riziki yake. Kama tujuavyo kuwa kila ifikapo 16/06 ya kila mwaka huwa kuna maadhimisho ya siku inayofahamika kama siku ya mtoto wa Afrika ili kuenzi mauaji ya watoto...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika Mashariki inabidi zijifunze demokrasia ya kweli kutoka kwa Wakenya

    This is how a small clique of families control Kenya - Kenya's Presidents Together Before 3 of Them Came into Power - Jomo Kenyatta (seated) served from 1963-1978. - Daniel Arap Moi (standing) served from 1978-2002. - Mwai Kibaki (bending) served from 2002-2013. - Uhuru Kenyatta (sitting...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Nahisi Diamond Platnumz sio Mtanzania, body language presence anayoonesha kwenye video zake, sio style za kitanzania ni style za ki-west Africa hivi

    Diamond anajua sana aisee, kwamfano kwenye ile official video ya nyimbo ya gere (tanasha x platnumz) kuanzia ile dakika ya 1:57 mpaka dakika ya 2:15 jamaa kaonesha body language presence ya hali ya juu sana, pale anapoanza kuimba "Eeh mama kasema mwali mwana, umepata ntuliee simba, ntuliee...
  18. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Vituo vya Udhibiti wa Magonjwa Afrika: Tunatumaini Tanzania itashirikiana nasi na kutoa takwimu mpya za COVID-19

    Mkuu wa Vituo vya Afrika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika anasema "tunaendelea kubaki na matumaini" kwamba Tanzania itashirikiana kwa kutoa takwimu zake za COVID-19 hata kama Rais wa nchi hiyo alishatangaza ushindi dhidi janga hilo. John Nkengasong anasema "wanaelewa hali hatarishi na...
  19. JamiiForums Tanzania Takwimu za Corona zinatia shaka, si kwa Afrika hata kwa mabeberu

    Habari wana JF Ndugu zangu hizi takwimu zitolewazo na nchi husika mimi naona bado zina ukakasi sio tu kwa Africa hata kwa mabeberu inawezakana vip nchi kama Uingereza na Spain toka ugonjwa uingie huko hakuna aliyepona hata mmoja hii inaingia akilini kweli. Hivi kwenye ugonjwa huu mbona mabeberu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania AU Comission: South Africa Urged to stop China from building Africa Desease Control Center HQ in Addis Ababa

    The African Union Commission headquarters building in Addis Ababa, Ethiopia. (Photo: Ecdpm) The Africa CDC headquarters row has also pulled in the US and has become a regional sideshow to the larger and more public spat between Washington and Beijing over the WHO. South Africa has been urged...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…