africa

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini matukio ya uhalifu yanaogeza nchi za Afrika Mashariki?

    Sasa mbona MAUAJI yanazidi sana NCHINI na EAST AFRICA KWA UJUMLA, Hawa majambazi wanazipata wapi ?hizi silaha, ? Wanazikodi kutoka kwa mapolisi/wanajeshi walarushwa ? Hebu shusha maoni yako .....
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mashirika bora ya Ndege Africa 2025, TZ chali

    Below are the best airlines in Africa in 2025: Rank Airline 1 Ethiopian Airlines 2 Air Mauritius 3 RwandAir 4 South African Airways 5 Egyptair 6 Royal Air Maroc 7 Kenya Airways 8 FlySafair 9 LIFT 10 Fastjet
  3. JamiiForums Tanzania Who Cursed Africa ?

    Nothing funny here, he needs immediate medical attention https://www.facebook.com/share/v/1DmE4HbptF/
  4. JamiiForums Tanzania Vichekesho vya Afrika: Waislamu wote wanadai Iran itashinda, Wakristo wanadai Israel itashinda.

    Wa Afrika mmerogwa na nani? Mmeshindwa kubaini wasio julikana wanaowateka na kuwaangamiza ndugu zenu mnakaa kusimuliana hekaya ambazo hata haziwahusu. Kama haitoshi miaka nenda rudi ndugu zenu wa Congo wanaishi kama digidigi lakini hakuna anayejali. Natamani kuwaita kenge weusi nyie sema JF...
  5. JamiiForums Tanzania Mavazi na matumizi ya ngozi ya chui wa Africa

    Ngozi ya chui hutumika kama ishara yenye nguvu ya uungu na mamlaka katika tamaduni mbalimbali za Kiafrika, inayojumuisha nguvu, uhusiano wa kiroho, na utambulisho wa jamii. Katika Kusini mwa Afrika, watu wa Himba wa Namibia wanaona ngozi ya chui kama ishara ya utajiri na uhalali wa viongozi...
  6. JamiiForums Tanzania Hili ndilo kosa la wanasiasa wengi na vyama vya siasa na hasa nchi za africa. Ukosefu wa itikadi

    Kosa kubwa sana la vyama vyetu hivi ni ukosefu wa hoja au itikadi inayotofautisha baina ya chama kimoja na Kingine. Mirengo ya vyama haviko wazi sana mbele ya wananchi. Nilifuatilia uchaguzi wa Marekani kwa karibu sana. Kiukweli ilikuwa ni rahisi sana kutofautisha Democrat ( Progressive...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Africa needs a second wave of Liberation/independence struggle against fellow Black colonialists

    Pieter Willem Botha, of South Africa, 1988. "Black people cannot rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they will kill themselves. Give them power, they will steal all the government money. Give them independence and...
  8. JamiiForums Tanzania Siasa za magharibi zinavyotokomeza africa na mashuja wako kisha kuacha vibaraka wao

    Louis Farrakhan, kiongozi wa Taifa la Uislamu, amekuwa akizungumza mara kwa mara kuhusu Muammar Gaddafi, kiongozi wa zamani wa Libya, hasa katika muktadha wa kifo chake mnamo mwaka wa 2011. Maoni ya Farrakhan mara nyingi yanaakisi mtazamo wake kuhusu rangi, siasa, na jukumu la nguvu za magharibi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiyo Rais bora kabisa

    Nimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde. Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na nilipata sijampigia kura rais yoyote wa TANU na CCM ila safari hii uchaguzi unaokuja nitampigia kura...
  10. O

    JamiiForums Tanzania GE2025 Intelligence Insider Africa Yathibitisha Uwepo wa Vikosi Maalum vya Uchaguzi (Red Army) nchini Tanzania

    Mwanza, Tanzania - Kwa mtazamo wa haraka, wanaonekana kama vijana wa kawaida wanaofanya mazoezi ya kukimbia. Wakiwa wamevalia sare za mazoezi zinazofanana na wakiwa na vitambaa vyekundu shingoni, wanakimbia kwa mpangilio asubuhi na mapema, wakiandamana na askari waliobeba silaha. Kwa mtu asiye...
  11. JamiiForums Tanzania Ukiondoa mihemko ya kidini sisi ngozi nyeusi tunamengi ya kujifunza kwa waarabu tena tuanze na waarabu wa hapahapa Africa

    Habar Ukiacha itikadi za kidini waarabu wametuzidi mbali sana sisi watu weusi hasa kweny maeneo haya 1.Elimu 2. Maendeleo 3.Uzalendo 4.Uthubutu 5.Teknolojia 6.Sayansi 7.Miundombinu 8.Afya na Tiba 9.Michezo 10.Kujitambua 11. Kipato 12.Kilimo 13.Usimamizi wa rasilimali 14.Sio wanafiki na waoga...
  12. JamiiForums Tanzania Nani walileta utaratibu wa kutahiri wanaume na kuketa wanawake Africa?

    Hili jambo la kutahiri wanaume na kuketa wanawake lilikuwepo Africa au lilitewa Africa na jamii za nje hususani Waarabu ? Ukiangalia nchi ambazo ukeketaji ulikuwa umekithiri na bado umekithiri ni nchi za Mashariki ya kati za kiarabu na zilizopata ushawishi mkubwa wa utamaduni wa kiarabu kama...
  13. JamiiForums Tanzania Ngugi wa Thiong'o alikuwaje kiboko ya mabeberu huku akiishi kwa mabeberu badala ya Afrika?

    Huyu jamaa anayritwa Ngugi wa Thiong'o kama walivyo activist wengi ambao nawaona fake, alikuwa akijinadi na kuitwa pia mkosoaji wa mabeberu, akijidai kukosoa mifumo ya elimu na lugha ya Kiingereza eti ni kutukuza mabeberu Hadi akaamua kuandika kwa Kikuyu vitabu vyake badala ya English lengo eti...
  14. JamiiForums Tanzania Africa haiwezi kuanzisha MET GALA yake? JP2025 inaonyesha hilo kama linawezekana kabisa!?

    1. Afrika ina utajiri mkubwa wa mitindo na tamaduni: Kila nchi ina nguo za kipekee: Kitenge, Kente, Maasai Shuka, Shweshwe, na nyinginezo. Tuna wabunifu wenye vipaji vikubwa kama Maxhosa (Afrika Kusini), Lisa Folawiyo (Nigeria), Anita Dongre, na wengine. 2. Tayari kuna nyota wakubwa wa...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: I commend Tanzania for overtaking Kenya in goods and services that we trade in in East Africa

    https://youtu.be/3k0m6Rkuv9g
  16. J

    JamiiForums Tanzania CCM ndio taasisi kubwa kuliko zote Africa mashariki

    Kama unabisha Fanya Utafiti utujuze taasisi gani iwe ya umma au NGO inaizidi CCM 1. CCM ina rasilimali kila Mkoa na Wilaya hadi kata 2. CCM ina Wanachama kila mtaa 3. CCM ina mbunge kila jimbo pale iliposhindwa kwa Kura imeweka wa viti maalum 4. CCM ina viwanja vikubwa vya michezo kila...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kungekuwa na machaguzi, nisingezaliwa Afrika

    Teknolojia duni, imani za Mizimu na Mungu lakini magonjwa, umaskini na njaa bado zimetawala. Bara limetawaliwa na mihemko kuliko akili. Bara ombaomba. Sidhani kama Bara hili litakuja kujielewa.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tukiri kuwa uongozi wa Rais unatuharibia mambo si tu ndani ya Tanzania, bali pia na Ulaya, Malawi, South Africa na sasa Kenya; tujitafakari

    Ukianza na mambo ndani ya nchi, uongozi wa Raisi Samia umetuvuruga kuliko raisi yeyote aliewahi kuongoza nchi hii. Ni katika uongozi wa Raisi Samia tunaona msuguano uuliopitiliza na vyama vya upinzani hadi taasisi za kidini kwa kiwango kikubwa kuliko huko nyuma - hadi kufikia kesi za uhaini...
  19. JamiiForums Tanzania SINDANO ilipoingilia south Africa ikatokeaaa ZNZ Tuwe wapole tu amani ya Mungu iwe nanyiiiiiiii

    Haikuwa rahisi kuamiini YANGA imetolewa na mamelody kwa goli la dhuluma NDUGU majirani wakajanna fedhehaa kubwaaa mpambane na hali zenu Tukajipanmoyo kulalamikia lakini haikusaidia Yt SINDANO ikaingia kwa Amani Jana kwa mapenzi MEMA sindano Ile Ile iliooingizwa na rubani yule yule refarii...
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni kuuliza .mbona kama bus za kwenda south Africa au Malawi hakuna

    Kuna changamoto gani wakuu kwenye hii route?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…