africa

  1. JamiiForums Tanzania Afrika na dini, mzungu na rasilimali

    Africa tumelishwa UJINGA mwingi sana yaani sisi bila hizi dini labda tungekuwa na ulinzi mkali kuhusu rasilimali zetu. Hapa. Mzungu na Mabara mengine yote wanafuata RASILIMALI AFRICA ila sisi waafrica nia yetu ni kwenda MBINGUNI tu 🤣 Kuna namna walituchezesha na kutumezesha ujinga ambao...
  2. JamiiForums Tanzania Kesi ya Trump ya uhaini dhidi ya Obama itawapa nguvu zaidi madikteta wa Africa

    Tawala zisizo za kidemokrasia za Africa huwa zinapenda zaidi kuchukua mifano mibaya na makosa ya magharibi kuhalalisha maovu yao na ukandamizaji wanaowafanyia wapinzani na wakosaoji wao, ikiwa msukumo wa Trump na serikali yake pamoja uhanikizaji wa MAGA utafanikiwa kuwapa shinikizo waendesha...
  3. JamiiForums Tanzania Ntaifanya Tanzania kuwa na better ecosystem ya mpira wa miguu Africa

    Nikiwa Rais wa Tanzania ntatengeneza mazingira ili mpira wa miguu uwe unachangia kodi ya sh Trillion 1, ntahakikisha mtoto aliyezaliwa uganda, kenya, Rwanda, Dr Congo, Zambia, n.k anakua na ndoto za kuja kucheza ligi ya mpira ya Tanzania, wote tunafahamu culture ya mpira wa miguu Tanzania ni...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa nini vyakula vya Africa havisambai duniani au kupendwa kwenye mabara mengine?

    Waafrika wanapenda na wanaona ufahari sana kula Mikate, Soseji, tambi, Sambusa, Pizza, Wali, biriani, Chips, crips, Shawarma na vyakula vingine vingi kutoka sehemu mbalimbali za dunia ila huko kwingine duniani hawana muda na ugali, githeri, jollof, fufu, injera, chips mayai na vyakula vingine...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Access Group: Rais Samia mwanamke mwenye nguvu zaidi Africa

    RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA WANAWAKE WENYE NGUVU AFRIKA Rais Samia apokea tuzo maalumu ya wanawake 100 wenye nguvu kutoka kwa Access Bank Group. Tuzo hiyo imewasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Access Tanzania Protase Ishengoma ikulu, Dar es Salaam. Tuzo hiyo imetambua mchango wa mageuzi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Je, hiki kinachofanywa na viongozi wa Afrika ni sawa?

    Kumekuwa na kasumba ya baadhi wa viongozi wa Africa kuabudu na kusujudu viongozi wa mataifa beberu Kiasi kwamba imekuwa ni aibu. Raisi wa Burkina Faso Traole alipoonana na Putin Kwa mara ya kwanza alipiga salute ilhali wote ni maraisi (wakuu wa nchi) wa nchi zao. Hapa napo angalia huyu Raisi...
  7. JamiiForums Tanzania Mali Vs Tanzania | 2025 Women’s Africa Cup of Nations | Group C | 07.07.2025

    Wakuu hamjambo, Usiku wa leo Saa 4:00 kwa masaa ya Afrika Mashariki, Timu yetu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) itashuka dimbani dhidi ya Mali katika mchezo wa AFCON ya Wanawake huko nchini Morocco. Huo utakuwa mchezo wetu wa kwanza katika kundi C ambalo pia kuna timu za South Africa pamoja...
  8. JamiiForums Tanzania Vichekesho Afrika haviishi, Kanisa lina maana kubwa kuliko kiwanda

    Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi. 1. Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue. 2. Rais wa nchi fulani mashariki mwa Afrika anajisifia kujenga kanisa ikulu maana yake lengo hasa la yeye kuwa ikulu ni muda mwingi kuutumia kukesha...
  9. JamiiForums Tanzania Unadhani ni yapi yangetokea ikiwa Bara la Africa lingekua na nchi tatu tu!

    Unadhani uchumi wa Bara la Africa ungekuaje Siasa ingekua ya namna gani kutokana na utofauti wa rasilimali, lugha na dini Je jina gani lingekua sahihi United States Of Africa (USAf). Jina linalo endana na USA lakini limeendana na Africa kwa utambulisho mpya The pan-African union (PAU)...
  10. JamiiForums Tanzania Unadhani ni yapi yangetokea ikiwa Bara la Africa lingekua na nchi tatu tu!

    Unadhani uchumi wa Bara la Africa ungekuaje? Siasa ingekua ya namna gani kutokana na utofauti wa rasilimali, lugha na dini? Je, jina gani lingekua sahihi; - United States Of Africa (USAf). Jina linalo endana na USA lakini limeendana na Africa kwa utambulisho mpya - The pan-African...
  11. JamiiForums Tanzania Unadhani ni yapi yangetokea ikiwa Bara la Africa lingekua na nchi tatu tu!

    Unadhani uchumi wa Bara la Africa ungekuaje Siasa ingekua ya namna gani kutokana na utofauti wa rasilimali, lugha na dini Je jina gani lingekua sahihi United States Of Africa (USAf). Jina linalo endana na USA lakini limeendana na Africa kwa utambulisho mpya The pan-African union (PAU)...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza kuwa na amani Africa Mashariki

    Katika ripoti mpya ya Global Peace Index (GPI) 2025, Tanzania imetajwa kuwa nchi yenye amani zaidi Afrika Mashariki, ikishika nafasi ya 73 kati ya nchi 163 duniani. Ingawa Tanzania imeporomoka kwa nafasi 8 ikilinganishwa na mwaka uliopita, bado inaongoza kanda hii, huku majirani wengine...
  13. JamiiForums Tanzania Trump amlipua Elon Musk, amuambia bila ruzuku ya serikali angefilisika na kurudi kwao South Africa

    Elon Musk alijua, kabla hata hajanipigia debe kwa nguvu kama Rais, kwamba nilikuwa napinga vikali agizo la magari ya umeme (EV Mandate). Agizo hilo ni la kipuuzi, na lilikuwa sehemu kuu ya kampeni yangu tangu mwanzo. Magari ya umeme hayana shida, lakini si kila mtu anayepaswa kulazimishwa...
  14. JamiiForums Tanzania Sifa za Ubunge East Africa, Tanzania ni shimoni Bado

    🇹🇿 Tanzania Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977: Sifa za kuwa Mbunge ni: 1. Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa au kwa uraia wa kawaida aliyeishi muda mrefu nchini. 2. Awe na umri usiopungua miaka 21. 3. Awe anayejua kusoma na kuandika Kiswahili au Kiingereza. 4...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi ufunguzi wa jengo jipya la Kanisa la Mwamposa (Arise & Shine)

    Habari mpya ndio hiyo kila mtu anakaribiahwa siku ya tarehe 5.7.2025 wahi bila Kukosa kwani Kitakuwa na watu wa Mataifa mengi.
  16. A

    JamiiForums Tanzania The future of Africa would be decided on the soil

    Haya viongozi mnapoenda kuuza uza Ardhi zetu na kukumbatia wawekezaji
  17. JamiiForums Tanzania Figisu figisu za mpira wa Africa zimefanya tuaibike kombe la dunia la vilabu

    Mpira wa Africa haupo stable na haupo serious. Licha wa Africa wengi kuwa na wendawazimu wa mpira labda uongozi wa mpira Africa ni kama Wana project yao tofauti na matarajio wa watu wengi. Na kitu cha kushangaza zaidi asilimia kubwa ya timu za Africa zinazofanya vizuri kwenye AFCON huwezi kuona...
  18. JamiiForums Tanzania 🎉 LUBABA ATEULIWA TUZO ZA EAST AFRICA EXPO! 🌍🌱

    Tuna kila sababu ya kumpongeza Imani Lubaba, mwanzilishi wa @RubabaMedia, kwa kuteuliwa kuwania tuzo ya EAST AFRICA YOUTH AGRIPRENEUR EXCELLENCE AWARD kwenye maonesho ya East Africa Expo yatakayofanyika Zanzibar kuanzia tarehe 6 hadi 8 August 2025! 🏆🇹🇿 🙌 Mpigie kura kwa hatua hizi mbili: ✅...
  19. JamiiForums Tanzania Matatizo ya Africa ndipo yanapoanzia hapa.

    Kuna tofauti kati ya leader (kiongozi) na boss. Boss ana miliki chombo ambacho anawalipa nyie msaidie kukivusha ili anufaike zaidi ila kiongozi anasaidiana na nyie kukisukuma chombo ambacho kikivuka zaidi kitawasaidia wote kunufaika. Lakini viongozi wa kiafrika wanakimbia traits za uongozi na...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini matukio ya uhalifu yanaogeza nchi za Afrika Mashariki?

    Sasa mbona MAUAJI yanazidi sana NCHINI na EAST AFRICA KWA UJUMLA, Hawa majambazi wanazipata wapi ?hizi silaha, ? Wanazikodi kutoka kwa mapolisi/wanajeshi walarushwa ? Hebu shusha maoni yako .....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…