Ado Shaibu ni mwanasiasa kijana na maarufu nchini Tanzania. Anajulikana sana kwa nafasi yake kama Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ambacho ni moja ya vyama vikuu vya upinzani nchini humo.
1. Nafasi ya Uongozi (ACT-Wazalendo)
Ado Shaibu ndiye mtendaji mkuu wa shughuli za kila siku za chama cha ACT-Wazalendo upande wa Tanzania Bara na Zanzibar (pamoja na viongozi wengine wakuu).
Amekuwa na mchango mkubwa katika kujenga ushawishi wa chama chake, hasa kupitia midahalo, maandamano ya amani, na mikutano ya hadhara.
Kabla ya kuwa Katibu Mkuu, amewahi kushika nyadhifa mbalimbali ndani ya chama hicho, ikiwemo kuwa Katibu wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi.
2. Siasa za Hoja na Ushirikiano
Anajulikana kama mwanasiasa anayependa kujenga hoja kuliko kutumia lugha za matusi. Mara nyingi husikika akizungumzia masuala ya uchumi, haki za binadamu, na uwajibikaji wa serikali.
Pia ni miongoni mwa viongozi wa upinzani waliounga mkono juhudi za maridhiano kati ya vyama vya siasa na Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, ili kuboresha mazingira ya kidemokrasia nchini.
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amesema kuwa Chama hicho kinaamini katika kuonesha demokrasia kwa vitendo hivyo hakuna mtu yeyote ambaye ana hatimiliki ya kugombea ndani ya Chama.
Ndugu Ado amesema hayo kwenye tukio la Songwe Day lililowakutanisha watia nia wanaogombea nafasi za...
Mkienda katika uchaguzi kila chama kinapigania nafasi yake, wapinzani tunapaswa kuungana"-Ado Shaibu - Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
Chama cha ACT Wazalendo kimemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha kuwa kauli aliyoitoa katika hotuba ya maadhimisho ya Muungano kuhusu uchaguzi huru na wa haki mwaka huu, inatekelezwa kwa vitendo na si kwa maneno pekee.
Wito huo umetolewa na Katibu...
ADO SHAIBU AJITOSA UBUNGE TUNDURU KASKAZINI
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa ubunge katika Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia ACT Wazalendo. Amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Jimbo hilo Ndugu Noel Chilemba katika Ofisi ya Jimbo...
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema pamoja na kusaini kanuni za maadili ya Uchaguzi Mkuu kwa mujibu wa sharia zilizopo tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi, hata hivyo wamebaini kuwa, kuna baadhi ya vifungu havikuwa sawa na wamepeleka shauri mahakamani kupinga vifungu...
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema chama hicho kipo tayari kuwapokea wanasiasa kutoka vyama vingine na kitawapokea kwa heshima ya hali ya juu pindi watapokuwa tayari.
Akizungumza katika mahojiano maalum aliyofanya na Jambo TV Ado, amesema kuwatengeneza baadhi ya hao...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akieleza namna chama hicho kilivyoweka milango wazi kwa mtu yeyote kutoka kwenye chama chochote cha siasa nchini aliyekuwa tayari kujiunganao
Wakuu,
Kumekucha huku, kama ulikuwa hujajiandikisha kajiandikishe sasa... lolote litakalotokea Oktoba uwe na kitambulisho tayari!
Hivi utaratibu hufanyika hivi miaka wote? Yaani huwa zinatolewa nafasi mbili za kuboresha taarifa tena zikipishana kwa muda mfupi tu (ndani ya mwezi mmoja)? Au kuna...
Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo Ado Shaibu amesema CCM inashinda kwa mbeleko ya dola, akitoa msimamo wa ACT Wazalendo kuhusu Uchaguzi
https://www.youtube.com/live/F0cmJ6K7t5E
Kuhusu G-55 na Wabunge 19
"Tutawapokea, umezungumza kuhusu Kundi la G-55, mtu yeyote anayetaka kujiunga na ACT Wazalendo...
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema chama chao cha ACT Wazalendo kingekuwa kimefanya kosa la kimkakati ikiwa wangesusa kushiriki uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, wakieleza kuwa kwasasa timu yao ya wanasheria wanajiandaa kufungua Kesi mahakamani kupinga baadhi ya vifungu...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema hakiwezi kunyamaza kimya endapo CHADEMA itakandamizwa, kikisisitiza mshikamano wake na chama hicho kikuu cha upinzani nchini.
Akizungumza katika kikao cha ndani cha chama hicho kilichofanyika wilayani Kilwa, mkoani Lindi, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado...
TAARIFA KWA UMMA
BARAZA LA VYAMA VYA SIASA LIMEPOTEZA UHALALI
Kamati ya Uongozi Taifa ya Chama cha ACT Wazalendo kwenye kikao chake cha tarehe 10 Machi, 2025 imeazimia kutoshiriki vikao vya Baraza la Vyama vya Siasa kuanzia kikao cha tarehe 12 na 13 Machi, 2025 kwa sababu zifuatazo;-
1...
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tulikamata watu kadhaa wenye kura feki ikiwemo Polisi. Hakuna aliyechuliwa hatua. Hakuna hata faili la uchunguzi lililofunguliwa. Kwa ukimya wake juu ya jambo hili IGP anatuma ujumbe kuwa Polisi wanashiriki wizi wa kura" Ado Shaibu, Katibu Mkuu, ACT Wazalendo...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema yuko radhi kujiuzulu nafasi yake endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitathibitisha kuwa na wanachama milioni 12.5.
Shaibu amesema chama chake cha ACT mpaka sasa kina wanachama milioni moja, na kwamba wako katika mpango wa kufikisha wanachama...
Wakuu,
Yaani kwa kauli hii inaonekana hawa ACT kwanza kabisa watashiriki huu Uchaguzi na pa so far hawana hela za kuzunguka kufanya kampeni kufanya Uchaguzi.
============================================
Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema pesa za kufanikisha shughuli za...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, ndugu Ado Shaibu amejibu kauli ya Ally Hapi kuwa Dola iwashughulikie wanaotaka kuzuia uchaguzi, ambapo amesema kuwa CCM siyo chama cha siasa tena, kwasababu sifa ya chama cha siasa ni lazima kiwe na uwezo wa kuleta ushindani.
CCM hii ya sasa siyo ile tuliyokuwa...
Maazimio ya Halmashauri Kuu
Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha kawaida jana tarehe 23 Februari 2025 katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo katika Jengo la Maalim Seif (Makao Makuu ya Chama).
Kikao hicho kilipokea na kujadili Taarifa ya Uvurugaji wa...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, ni mbinu ya kimkakati ya chama hicho ili kuzuia mijadala kuhusu Katiba Mpya.
Akizungumza Februari 10, 2025 wilayani Mkuranga mkoani Pwani, alipokuwa akihitimisha ziara yake katika mkoa wa...
Wito wa Ado Shaibu wa kuwekwa wazi kwa ripoti ya mauaji ya Mzee Ali Kibao unapaswa kuchambuliwa kwa kina, hasa kwa kuzingatia dhamira ya kweli ya haki na uwajibikaji. Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha msimamo wa uwazi na uwajibikaji, akitoa maelekezo thabiti kwa vyombo vya dola kuhakikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.