act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni mara 100 kuviunga mkono NCCR au TLP kwa sababu walisha jipambanua waziwazi wanasapoti CCM kuliko hawa ACT Wazalendo walio jaa unafiki mkubwa sana

    Vile vyama sijii 13 ambavyo ni partiner wa CCM kitu kimoja walicho nacho sio wanafiki na wanaiunga mkono CCM wazi wazi bila kificho tena mchaka kweupe.. Ila sasa ikawekwa ACT na NCCR Mageuzi au TLP ni bora kuisapoti hao kuliko ACT ambao mchan wanazuga ni wapinzania ilihali gizani wako bega kwa...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania ACT WAZALENDO , Bara ni kama wamekufa, ndio maana wanataka kutembelea Nyota ya CHADEMA. Mkutano wa Makamo wao ,wasusiwa Bariadi!!

    Huu Mkutano imebidi wauahirishe
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mbona kama siviamini CHAUMMA na ACT WAZALENDO?

    Ingawa nilianza kupiga kura mwaka 2000, lakini sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa. Ingawa sina Chama, nilikuwa ninafurahia ninapoona ushindani wa kisera kati ya CCM na CHADEMA! Kwa bahati mbaya, mpaka sasa hakuna uhakika wa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa mwaka huu. Vyama...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kakonko: Viongozi na wafuasi zaidi ya 200 wa CHADEMA wamajiunga ACT Wazalendo

    Tukio hili ni la jana tarehe 23 huko Kakonko ambapo Viongozi na wanachama wa CHADEMA zaidi ya 200 wamejiunga na ACT WAZALENDO
  5. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Salum Mwalim hakuhamia ACT Wazalendo ambapo angeweza kupata chochote upande wa Zanzibar?

    Nikitafakari hili swali ndiyo napata uhakika kwamba CHAUMMA ni CHAMA CHA UDALALI NA MAPANDIKIZI YA MAMA. Mtu angeweza kupata kanafasi hata ka uwakilishi kule viunga vya Kizimkazi kupitia ACT ila unaona kwa kuwa ni mkataba lazima utekelezwe. Kazi kwenu madalali wa MAMA.
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kilimanjaro: Wanachama 168 wa Chadema na CUF wamejiunga na ACT Wazalendo

    Wanachama 168 wa Chadema wakiongozwa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu Godson John Mmbaga na Chama cha CUF wakiongozwa na aliyekuwa Katibu wa Wilaya wa Chama hicho Ndugu Ally Ramadhan Mngashwa wamejiunga na ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado...
  7. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa ACT, Isihaka Mchinjita akamatwa na Polisi kwa kutembelea na kukagua Kituo cha Mwendokasi Kimara Mwisho

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Isihaka Mchinjita amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo (Mei 23, 2025) baada ya kuingia kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kimara Mwisho kwa ajili ya kujionea adha ya usafiri huo. Mchinjita aliyeambatana na Waandishi wa Habari muda huu yeye na...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT- WAZALENDO lieni kimyakimya msipige kelele

    Kazi mliyotumwa ya kuifubaza CUF mliifanya kwa weledi mkubwa sana kiasi kwamba kwasasa CUF si lolote si chochote mbele ya siasa za Tanganyika nachelea kusema na visiwani pia..! Vema msijisahau kwamba ile ilikuwa ni kandarasi na mlilipwa.. Ilikuwa ni biashara japo ya kificho kwakuwa haikuwa na...
  9. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Natabiri baada ya Uchaguzi, wana ACT wengi na hao CHAUMA(CCM C) wata isapoti CHADEMA na kuona ilikuwa sahihi kugomea huu usanii

    Ukiniambia ni jimbo gani kwa sasa upinzani wanaweza shinda kwa hii tume silioni huwa najaribu sana kutafuta majimbo ya wapinzani kuweza kushinda kwa hii tume siyaoni kabisa labda nyie mnisaidie. Kwa hii tume sijui ni jimbo la CCM kupoteza halipo sioni. Kumbuka kwa yale majimbo ambayo wabunge...
  10. S

    JamiiForums Tanzania John Heche hamia ACT Wazalendo

    Kama kuna mtu ndani ya CHADEMA mwenye uwezo wa kuwa Rais na kuleta mabadiliko ya kweli, basi ni John Heche. Anaongea mambo ya msingi sana hoja zake ni za kisiasa, zenye uzito, na zinawagusa wananchi moja kwa moja. Lakini changamoto yake kubwa ni kuwa yupo pahala pasipo, yaani mazingira...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Madeleka ajiunga na Chama cha ACT Wazalendo

    Aiseeee leo ni bandika bandua! Kila sehemu moto! Mzee wa kesi katimkia zake ACT Wazalendo bana, yeye hajataka kwenda kula ubwabwa😂😂 ===== ACT Wazalendo wanafanya mkutano na waandishi wa habari muda huu Makao Makuu ya chama Magomeni, Dar es Salaam Mei 20, 2025...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu ACT Wazalendo Songea, ahamia CCM

    Aliyekuwa Katibu wa Chama cha ACT Wazalendo Wilaya ya Songea, Bi Grace Mallya, tarehe 19/5/2025 ametangaza rasmi kuachana na chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza wakati wa kutangaza uamuzi huo, Bi Grace alisema ameamua kuhamia CCM kutokana na kuvutiwa na jitihada...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ipi ni CCM 'B' ACT Wazalendo au CHAUMMA?

    Wana chadema tuliamini CCM B ni ACT Wazalendo Sasa Leo baada ya CHAUMA ya Hashim Rungwe Mzee wa Ubwabwa kupokwa waasi wa chadema na kuwapa madaraka, hii inatuchanganya Awali upinzani wa ACT Wazalendo ulitiliwa shaka yaani ulikuwa upinzani wa zuga tu, binafsi naona hii kasi ya CHAUMA Kuna nguvu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkulima aliyewaburuza mahakamani Mwigulu, Bashe ajitosa ubunge na ACT Wazalendo

    Mwanaharakati mashuhuri Kanda ya ziwa,Thomas Nkola maarufu kwa jina la Mkulima, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha ACT Wazalendo kugombea ubunge katika Jimbo la Maswa Magharibi wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu. Amekabidhiwa fomu hiyo leo na Katibu wa chama hicho jimbo la Maswa...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Hakuna mwenye haki miliki ya kugombea ACT Wazalendo

    Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amesema watasimamia Demokrasia kwa vitendo katika mchakato mzima wa kuwapata wawakilishi wa nafasi mbalimbali watakaoenda kushindana na wanachama wa vyama vingine katika Uchaguzi mkuu ujao wa Rais Waubnge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchinjita: Kura si karatasi tu—ni sauti, ni matumaini, ni hatima ya wananchi

    Mei 14, 2025, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, amekutana na viongozi wa Ngome ya Wanawake wa kata 20 za Manispaa ya Lindi mkoani Lindi katika kikao kilicholenga kuhamasisha ulinzi wa kura na kuimarisha ushiriki wa wanawake kwenye mchakato wa uchaguzi. Katika kikao...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Majimbo waliyopewa 30 yanayodaiwa kupewa CHAUMA na ACT wagombea wa CCM wanayajua? Wameridhia?

    Kuna taarifa kwamba wapo wabunge tayari wanasubiri kuapishwa. Hawana sababu yakufanya kampeni kwa sababu tayari wamepewa nafasi. Haya majimbo wanayotegemea kuongoza naamini wapo wana CCM wanapanga kugombea? Je wana umuhimu wakutumia nguvu kugombea? Wananchi wameridhia ? Wanafahamu majimbo husika?
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Zitto ni mjanja sana, Ofisi za ACT Wazalendo mikoani zina picha yake ukutani na sio picha ya Kiongozi wa sasa Dorothi Temu

    Staili za Vladimiri Putini wa Urusi.
  19. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: G 55 Destination yao ilikuwa ni ACT kwa makubaliano ya Zitto Kabwe na Prince Abdul wa Jorodan, Ila wenzake wakapinga vikali kwamba ndani ya Chama

    Hawa G55 chini ya ufadhili wa Prince Abdul walikuwa wajoin ACT Wazalendo na makubaliano yalisha fikiwa kabisa. Mwami Zitto ndie alikuwa Broker wa hili jambo na hajafanya bure hakuna kazi ya Bure. Ndani ya ACT ikatokea upinzani mkubwa sana kwamba hadi sasa umage ya Chama inasoma negative na...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yafanya Uchambuzi wa Ripoti ya CAG 2023/2024, leo Mei 10, 2025

    ACT Wazalendo wanafanya Uchambuzi wa Ripoti ya CAG 2023/2024 Mei 10, 2025 https://www.youtube.com/live/Ltw_Nm2uc64?si=u_-wloQzSYNSmXcg UCHAMBUZI WA ACT WAZALENDO RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA UNAOISHIA MWEZI JUNI 2024 “Ubadhirifu, Uozo na Ufisadi...
Back
Top Bottom