act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Otto achukua fomu ya ubunge ACT-Jimbo la Geita Mjini

    Hekaheka za Uchukuaji Fomu katika maeneo mbalimbali zinaendelea ambapo Mkoani Geita katika Jimbo la Geita Mjini Emmanuel Otto Ikolongo kupitia chama cha ACT wazalendo amechukua Fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge huku akitoa vipaumbele mbalimbali. Ikolongo ambaye Ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Wakili msomi Peter Madeleka achangia shilingi milioni moja kufanikisha kufanyika mkutano mkuu wa ACT Wazalendo

    Wadau hamjamboni nyote? "Ahsante sana Wakili Msomi Peter Madelek kwa mchango wako wa kufanikisha Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo mkutano ambao ni hatua muhimu sana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025"
  3. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Mbowe kuungana na G55, kuondoka Chadema ili kwenda kutekeleza 'nusu mkate', huenda atahamia ACT wazalendo!

    Habari za ndani kabisa kutoka vyanzo vya uhakika zinasema CCM wako katika mkakati wa kupitisha na kubariki kwenda kutekelezwa kwa mpango wa 'nusu mkate' utakaowezesha kuwagawia ushindi wapinzani walau majimbo 50 ya uchaguzi (30 Tanganyika, 20 Zanzibar) katika uchaguzi wa 2025 huku ukimuhusisha...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Mkienda katika uchaguzi kila chama kinapigania nafasi yake

    Mkienda katika uchaguzi kila chama kinapigania nafasi yake, wapinzani tunapaswa kuungana"-Ado Shaibu - Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT wazalendo kushiriki uchaguzi wakati bado hakujafanyika mabadiliko yoyote yale ya kufanya uchaguzi wa haki alafu wanategemea kupata haki ipi ?

    ACT wazalendo wameamuwa kushiriki uchaguzi bila kuwepo kwa mabadiliko yoyote yaliyofikiwa hadi sasa ya kiuchaguzi ili kuifikia haki hiyo ya uchaguzi kuwa huru na wa haki kama wanavyo hubiri kwenye vyombo vya habari. sasa swali wanapo sema wanataka kushiriki kwenye uchaguzi bila mabadiliko hayo...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Shamra shamra Miaka 11 ya Chama cha ACT Wazalendo ya kupigania Taifa la wote kwa maslahi ya wote

    https://www.youtube.com/live/ofrr-5ZXSAM [Hotuba ya Kiongozi wa Chama Ndugu Dorothy Jonas Semu kwenye Maadhimisho ya Miaka 11 ya Kuzaliwa kwa ACT Wazalendo yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Hakainde Hichilema, Makao Makuu ya Chama, Dar es Salaam] Ndugu viongozi na wanachama wote mliohudhuria...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo, Omar Said Shabani anazungumza na Wanahabari, Mei 5, 2025

    https://www.youtube.com/live/EV0n0sLG1Zs?si=A_fxrMIQec4ggyrP Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani na Wanahabari, ofisi za Chama Vuga Mjini Unguja. Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani ameeleza kusikitishwa kwake na kauli ya Mkuu...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT yasema imepokea Wanachama 25 kutoka CCM, Jimbo la Kojani, Wilaya ya Wete Pemba

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amepokea Wanachama wapya 25 waliojiunga na Chama hicho kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Kojani, Wilaya ya Wete Pemba. Vijana hao wamejiunga leo 28 Aprili 2025 katika mkutano wa hadhara unaoendelea muda huu katika...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtutura: ACT haijasajiliwa ili iwe mapambio kwa CCM

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitamani ACT Wazalendo kisusie uchaguzi, ili waweze kushinda kwa urahisi, lakini ACT imekataa na kuamua kuwakabili vilivyo. Akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Mtina, kata ya...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT- Wazalendo: Tungesusia uchaguzi, CCM wangefanya sherehe, Chama pekee kinaikosesha usingizi CCM ni ACT- Wazalendo

    Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, kwenye ziara yake katika mkoa wa Ruvuma wilayani Tunduru ambapo amesema kuwa "Kama ACT Wazalendo wangesusia Uchaguzi wa 2025, CCM wangefurahia sana hadi kuchinja ng'ombe."
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama kiongozi wa ACT alivyozuiliwa kuingia mahakama ya Kisutu kwenye kesi ya Lissu

    Leo ni siku ambayo imekuwa busy sana wakuu, huku watu wanatekwa huku wengine wanazuilwa mahakami yani imekuwa tafrani. CCM kama inajiamini kwa nini inafanya haya yote? Kwanini wasitulie === Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu amezuiliwa kuingia kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu achukua fomu ys kugombea Urais ndani ya ACT Wazalendo

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu leo tarehe 22 Aprili, 2015 amefika Makao Makuu ya Chama hicho Jijini Dar es Salaam kuchukua fomu ya kuomba kuwania nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akidokeza kuwa yupo tayari kuchuana na Mgombea wa CCM Samia Suluhu Hassan ikiwa...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: ACT Wazalendo tumesaini kwa shuruti kanuni za maadili lakini kuna vifungu haviko sawa

    Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema pamoja na kusaini kanuni za maadili ya Uchaguzi Mkuu kwa mujibu wa sharia zilizopo tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi, hata hivyo wamebaini kuwa, kuna baadhi ya vifungu havikuwa sawa na wamepeleka shauri mahakamani kupinga vifungu...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Mdee na wenzake wakija ACT WAZALENDO tutawapokea kwa kishindo

    Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema chama hicho kipo tayari kuwapokea wanasiasa kutoka vyama vingine na kitawapokea kwa heshima ya hali ya juu pindi watapokuwa tayari. Akizungumza katika mahojiano maalum aliyofanya na Jambo TV Ado, amesema kuwatengeneza baadhi ya hao...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: G55 wakitaka kujiunga ACT Wazalendo kwa nia ya kugombea tutawapokea

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akieleza namna chama hicho kilivyoweka milango wazi kwa mtu yeyote kutoka kwenye chama chochote cha siasa nchini aliyekuwa tayari kujiunganao
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao

    Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao ACT wamesikika wakishawishi Wanachama wa CHADEMA wajiunge katika Chama chao endapo kama wanataka kufanikiwa kisiasa ACT inajulikama kama Chama pinzani lakini kimekuwa kikifurahia...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto Kabwe: Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, Karibuni ACT Wazalendo

    "Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa. Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo yatangaza rasmi kuwa itashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025

    Wakuu, Kupitia mitandao ya kijamii, chama cha ACT Wazalendo wamedokeza kuwa leo wana jambo lao zito ambalo wanataka kuwawasilishia wananchi. Ni jambo gani? Fuatilia uzi huu, ujue nini kitakochoendelea kwenye mkutano huo! https://www.youtube.com/watch?v=_N1YapoNlEw Mwenyekiti wa Chama cha ACT...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Lingekuwa kosa la kimkakati sisi kususia uchaguzi mkuu

    Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema chama chao cha ACT Wazalendo kingekuwa kimefanya kosa la kimkakati ikiwa wangesusa kushiriki uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, wakieleza kuwa kwasasa timu yao ya wanasheria wanajiandaa kufungua Kesi mahakamani kupinga baadhi ya vifungu...
  20. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kitendawili ACT Wazalendo kupinga kanuni walizosaini

    Wakati Chama chama ACT Wazalendo kikiwa kimesaini kanuni za maadili ziliztolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), sasa kimetangaza kampeni ya kuzipinga mahakamani kwa madai kuwa zina upungufu mkubwa. Chama hicho kilikuwa miongoni mwa vyama 19 vilivyosaini kanuni hizo Aprili 12, 2025...
Back
Top Bottom