Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo mkoa wa Songwe Ezekia Zambi, akiwaasa vijana kushiriki uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Wazalendo, ambaye pia ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar.
Othman amechukua fomu hiyo leo Aprili 13,2025 majira ya saa 4.00 asubuhi ikiwa ni mwanachama wa kwanza kwa nafasi...
Daaaah... ACT nao eti wanatoa mlio kwa issue hii?
===
"Tumefanya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, na tumeona mapungufu makubwa. Kwa mfano, Kanuni za Maadili zinawalazimisha vyama kusaini makubaliano yanayokiuka Katiba, na kuwanyima haki ya kushiriki uchaguzi. Hili...
Kuna kila dalili kuwa yule chawa namba moja wa Mzee Freeman Mbowe atajiunga na chama cha ACT kufuatia CDM kususa uchaguzi wa mwaka 2025.
Ndugu yangu ninakuomba tu usdhubutu kuja huko kwetu Vunjo kwa maana tunaridhika na kazi nzuri ya Mzee wetu Dr Kimei.
Namuona simba akiwa amejikunyata tayari kukamata windo lake. ACT wazalendo wamebakiza hiviiii tu wakamate kambi ya upinzani.
Na kama wakifanikiwa kupata vichwa vikali bungeni, tunawasahau chadema kabisaaa na maisha yanaanza upya.
Hapo strategist watakuwa wameanza vikao vya hapa na pale kwa...
"Kukamatwa kwa ndugu Lissu ni muendelezo wa kukosa ustahimilivu wa dola na serikali, ni shambulio la wazi la demokrasia ya vyama vya upinzani, natumia nafasi hii kulitaka jeshi la polisi kumuachia maraa moja bila masharti yoyote ndugu Tundu Lissu" - Isihaka Mchinjita, Waziri Mkuu kivuli, ACT...
Ewe mwanaJF, tupia ushauri wowote kwa hiki Chama ambacho mpaka Sasa kina dalili zote za kuwa Chama kikuu Cha Upinzani katika medani yetu ya siasa mara baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Unapendekeza wafanye nini' na kivipi.
Karibuni!
https://www.youtube.com/live/boUBc1geEE0
UCHAMBUZI WA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI 2025/26
“Serikali inaogopa uchaguzi huru na haki”
Utangulizi
Tarehe 09 Aprili 2025 Waziri Mkuu aliwasilisha Bungeni mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, ameeleza kuwa mchakato wa uandikishaji wapigakura wapya visiwani Zanzibar unakabiliwa na changamoto kubwa, hasa kutokana na matumizi ya nguvu na ushawishi wa vyombo vya dola. Kwa mujibu wake, hali hiyo inaashiria kwamba watawala...
Chama cha ACT Wazalendo kimeainisha hoja sita muhimu ambazo kinasisitiza kuwa utekelezaji wake na Serikali pamoja na Tume ya Uchaguzi ni msingi wa kujenga mazingira ya kuaminiana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza katika Kongamano la Tatu la Operesheni Linda Demokrasia...
Chama Cha ACT Wazalendo leo Jumapili Aprili 06, 2025 kimetoa msimamo wake kikitaja uchaguzi wa serikali za Mitaa uliofanyika Mwezi Novemba 2024, ufutwe na ufanyike upya sanjari na uchaguzi wa kuwachagua madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo Oktoba mwaka 2025.
Katika...
https://www.youtube.com/live/-ws4Ojesg7U
Vijana katika sekta isiyo rasmi wapo 80%. Kila uchao wanahamishwa na kukimbizwa. Hawana bima ya afya wala pensheni. Ndio maana nasema Vijana tuungane na tupaze sauti dhidi ya ukosefu wa ajira na hatma yetu." Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo...
RATIBA YA PBZ PREMEIR LEAGUE IHESHIMIWE
Shirikikisho la Soka la Zanzibar ZFF lilikuwa limepanga Ligi Kuu ya PBZ iendelee kuchanja mbuga kuanzia Aprili 5, 2025 na kutafuta vidume vya Zanzibar ili kuweza kuwakilisha katika michuano ya vilabu barani Afrika ambapo bado ZFF ina uwanachama...
Wanachama wa vyama vya upinzani 200 wa wilaya ya Tunduru akiwemo diwani wa kata ya Mchoteka kupitia tiketi ya Chama Cha Act Wazalendo Seif Dauda, katibu wa wilaya ya Tunduru wa Chama Cha Act Wazalendo Said Mponda, wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi 2/4/2025 baada ya kumkabidhi kadi za uwanachama...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kipaumbele cha Chama hicho kwa sasa ni kupigania mageuzi ya mfumo wa uchaguzi na kurejesha thamani ya kura ya kila Mtanzania kwenye uchaguzi.
Msimamo huo umeelezwa na Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe, ambaye alikuwa mgeni rasmi...
Katibu wa cha ACT Wazalendo mkoa wa Njombe Stanley Mbembati amesema chama chao kinaunga mkono kampeni ya chama cha CHADEMA ya No Reforms No Election kwani kama yatafanyika mabadiliko wanayoyahitaji yatanufaisha vyama vyote vya kisiasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora ACT Wazalendo, Shangwe Ayo, ametaka ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa Tanzania (TAKUKURU),ili iweze kujadiliwa kwa kina na wananchi
Shangwe ametoa kauli hiyo ikiwa imepita siku moja tokea taarifa ya TAKUKURU kuwasilishwa Kwa...
Chama cha ACT Wazalendo kimemwandikia rasmi Msajili wa Vyama vya Siasa malalamiko dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amosi Makalla kutokana na matamshi yake ya madai kuwa CHADEMA kinaendesha harambee ya kununua virusi vya M-pox na Ebola kwa lengo la kuzuia uchaguzi mkuu wa...
Chama cha ACT Wazalendo tunalaani vikali vitendo vya kinyama vya mauaji, uharibifu wa mali, ukiukwaji wa binadamu katika operesheni za kuwaondoa wananchi kwa nguvu kwenye ardhi zao nchini. Tumesikitishwa sana na tukio la hivi karibuni katika Kijiji cha Kalilani, Kigoma la Seikali kupanga...
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye ni Mtia nia nafasi ya Urais katika Uchaguzi wa Oktoba mwaka huu Dorothy Semu anasema kuwa wao hawakubaliani na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika ajenda ya ‘No Reform, No Election’.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.