Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya...
Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuhusu madai ya Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo kwamba wamemwandikia barua Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini kutokana na madai ya Viongozi wao kuwa wametakiwa kuwasilisha taarifa na majina ya watia nia ya kugombea ubunge na udiwani kwa Jeshi la...
Umaskini wa Watanzania haukuletwa na Mungu. Umeletwa na CCM. Leo akina mama wakienda kujifungua wanaambiwa lete beseni, lete wembe, lete mpira, lete sindano. Walitakiwa wakivikute hospitali.”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
CCM wameona wanyamapori wanamaana zaidi kuliko nyinyi Raia, hivi sasa ukiwapanga madaraja raia wa Tanzania nyinyi watu wa Tunduru ni daraja la nne. Ambapo daraja la kwanza ni wawekezaji wa nje, daraja la pili wawekezaji wa ndani, daraja la tatu ni tembo na daraja la nne ni nyinyi watu wa Tunduru...
Wakuu,
https://www.youtube.com/watch?v=-JGia_qHgj8
Updates
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo...
Hili wengi wenu hamlioni, na huenda linawapita kama Kivuli .
Ushawishi wa Kidini alonalo Sheikh Ponda, SI wa kupuuza.
Ushawishi wa Kisiasa alonalo Zito Kabwe nao pia SI wakupuuza hasa katika maeneo yaliyo na Idadi kubwa ya Uislam.
Ukisikiliza Speech za Sheikh Ponda tangu ajiunge na ACT ...
Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo , Zitto Kabwe, ameendelea kutoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa mwaka 2025 ili kurejesha nguvu ya wananchi bungeni, akisema kutoshiriki uchaguzi ni sawa na kukubali kuendelea kuwepo kwa Bunge kibogoyo lisilo na uwezo wa...
Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia ACT Wazalendo, Peter Madeleka, amesema kuwa serikali iliyoko madarakani sasa itafikia kikomo cha uhalali wake mwezi Oktoba mwaka huu, na hivyo Watanzania wana jukumu la kuunda serikali mpya kupitia uchaguzi.
Julai 4, 2025 akihutubia mkutano wa hadhara...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa kususia uchaguzi ni kosa kubwa litakalogharimu taifa kwa miaka mingine mitano ya mateso ya kisiasa na kiuchumi.
Akihutubia mkutano wa...
Aliyekuwa Katibu wa NCCR Wilaya Rungwe, Benard Mwamenywa amejiunga na ACT Wazalendo leo Julai 05, 2025.
Mwemenywa amesajiliwa kidigitali katika chama hicho na Zitto Kabwe; ambaye ni Kiongozi wa Zamani wa ACT Wazalendo.
Tukio hilo limefanyika mara baada ya kumalizika kwa kikao cha ndani cha...
Ni mjadala unaoendelea huko X/Twitter kati ya Martin M. Masese na Peter Madeleka (wakili). Alianza kwa swali la kejeli
Martin M. Masese akamshushia nondo hizi akirejea mavuguvugu mbalimbali yaliyowahi kutokea ktk nchi mbalimbali duniani yakihamasishwa na kaulimbiu (slogans) kali kama ilivyo...
Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Elisante Ngoma amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Same Magharibi. Elisante ambaye alijiunga na Chama hicho akitokea Chama cha NCCR Mageuzi alikokuwa Katibu Mwenezi wa Taifa ni mjukuu wa mgunduzi wa madini ya Tanzanite Ndugu Jumanne...
Tunataka kuona Polisi, usalama wa taifa, jeshi wakitimiza majukumu yao, na sio kutumika kama mbeleko ya kuibeba CCM ili wapate ushindi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara...
Tusiwaache CCM peke yao, twende tukapambana nao, twende tukalinde kura ndio maana tukasema oktoba linda kura inawezekana katika majimbo 222 tusipate zote lakini hatutakosa majimbo 40 au 50 na kuondoa bunge butu Alisema Zitto Kabwe katika Operesheni Ya Majimaji mkoani Tabora
Kupata matukio na...
Act Wazalendo tunataka kufanya mabadiliko ya nchi hii na mabadiliko ya nchi hii atuwezi kuyafanya kwa kuyabembeleza, wameshanogewa wameshakolea na wanaona wanaweza kufanya chochote, natunasema hatuikimbii hii vita na muhuni hasusiwi Simba Jike Rithe ameyasema hayo Tabora
Naibu katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo akiwa pamoja na timu ya wanachama wa ACT jana kuelekea Kigoma ziara ya Operesheni majimaji iliyozinduliwa jumapili Juni 29,2025
Operesheni majimaji imepangwa kufanyika nchi nzima ikiwa ni kuanzia Julai 1 hadi Julai 15, 2025 ikilenga kuwaamsha...
Wakuu
Vyama vya siasa ACT Wazalendo, CHAUMMA, na wengine ambao mnashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mmesikia kauli ya Rais Samia?
Rais Samia wakati wa kuhitimisha shughuli za bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ijumaa Juni 27, 2025 alihimiza Vyama vyote vya Siasa nchini kutoa fursa...
Afisa TEHAMA Makao Makuu, Grory Tausi, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama cha ACT Wazalendo kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe.
Fomu hiyo imekabidhiwa rasmi na Mwenyekiti wa jimbo hilo, Perpetua Martin Mafa.
Chama cha ACT Wazalendo kimezindua rasmi Operesheni MajiMaji, kampeni maalum inayolenga kuwaamsha Watanzania kulinda thamani ya kura zao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Operesheni hiyo itafanyika nchi nzima kuanzia Julai 1 hadi Julai 15, 2025, ikiongozwa na viongozi wakuu wa chama hicho...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Naghenjwa Kaboyoka amejiunga na chama cha ACT Wazalendo leo Juni 28 Dar es Salaam.
Kaboyoka aliyewahi kuwa Mbunge wa Same Mashariki 2015-2020 amepokelewa leo na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu kwenye ofisi za makao makuu Magomeni.
Mwaka 2020 Kaboyoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.