Inakuwaje napata walionizidi umri?

Inakuwaje napata walionizidi umri?

mtoto mdogo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
501
Reaction score
130
Habari za jioni wandugu,

Wataalamu nyie wazima,

Leo naomba mnishauri inakuwaje napata walionizidi umri tu shida ni nini? Mimi ni mwanaume.
 
Mkuu huwez amin kila anae nipenda mm anamtoto, nikawaambia nionyesheni talaka zenu alafu ndo nipitishe yangu
 
mtoto mdogo

Inawezekana nawe umeshazeeka sema hujioni tuu?? Sasa wewe endelea kujiita mtoto mdogo wakati makunyanzi yamekujaa usoni?? ...hao unaowapata ndio saizi yako!!! Wazee wenzio!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom