Tamalisa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 2,542
- 907
Yangu kubwa
Ehhhh! kwaheri
Yangu kubwa
Hahahaha
Ehhhh! kwaheri
The maturity is no the age but the acceptance of
responsibility
Wewe wap sasa
Nimebadilika lakn badoWe kiongozi acha hizo! sasa sikia achana na hao wamama waliokuzidi umri, tulia na wakati ukifika muombe Mungu akupe mke, jitambue na ujipende tu hakuna la ziada ukijidai kwenda na dunia raha utapata lakini pia taabu zitakuja. Amua kubadilika na Mungu akuwezeshe.
Nimebadilika lakn bado
Jikane, siku ndo hizo zinakwenda ni kujitahidi tu na kuonesha nia
Ntajitahd
We si nilikwambia ning'ang'anie mimi mtoto mwenzio, under 14 mwenzio, ukajiona umekuwa, sasa unalia nini??? hahahahahaha!!!!!!
Best tulia ulelewe bhana, wakubwa wanajua kuhandle achana na vidogovidogo vitakusumbua akili tu, kutwa mizinga. tulia na mimama wabadili maisha yako.
Nalelewa hadi lini sasa ??