Inakuwaje napata walionizidi umri?

Inakuwaje napata walionizidi umri?

Nachokiona humu ni kwamba huyo mtoto anafanya watu wazima nao kufanya utoto humu.
 
mtoto mdogo

Inawezekana nawe umeshazeeka sema hujioni tuu?? Sasa wewe endelea kujiita mtoto mdogo wakati makunyanzi yamekujaa usoni?? ...hao unaowapata ndio saizi yako!!! Wazee wenzio!!

Mh!Na jee mwanamke kupendwa/kuwapata tuu na aliowazidi umri inakuaje?
 
Last edited by a moderator:
Kweli we mtoto mdogo yani umeleta uzi ili uwe unapiga like tu kwa kila komenti aisee
 
Back
Top Bottom