Hongera le Mutuz kwa kufungua TV station

Hongera le Mutuz kwa kufungua TV station

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
5,448
Reaction score
4,985
Napenda kutoa pongezi kwa member mwenzetu william j malecela kwa maombi yake TCRA yakufungua kituo cha luninga hapa tanzania mkoani morogoro (AFRICA SWAHILI TELEVISION) Chini ya kampuni inayoitwa africa swahili media limited yenye wabia(shareholders wafuatao)
  • delina general enteprises wenye hisa 59.8%
  • davis mosha mwenye hisa 39.9%
  • william john malecela(le mutuz) hisa 0.19%

pursuant to section 8 of the electronic and postal communication act cap 306 of the law of tanzania ,written comments are hereby invited from any interested person in respect of the grant of licencesto the applicants.
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapa ana umiliki gani?

Huyu kawatokea akina papaa david mosha akawa anatumwa kuwachukua maduu then akaambiwa taja biashara anayoweza kuisimamia.

Le mutuz haishi kuwalamba pichu mapedezhee ili apate mkate wa kila siku.
 
Hapo kaajiriwa tu.......hao wabia wengine ni mtu mmoja!

delina general enteprises wenye hisa 59.8%
davis mosha mwenye hisa 39.9%
william john malecela(le mutuz) hisa 0.19%

SUPER+4.JPG
 
Napenda kutoa pongezi kwa member mwenzetu william j malecela kwa maombi yake TCRA yakufungua kituo cha luninga hapa tanzania mkoani morogoro (AFRICA SWAHILI TELEVISION) Chini ya kampuni inayoitwa africa swahili media limited yenye wabia(shareholders wafuatao)
  • delina general enteprises wenye hisa 59.8%
  • davis mosha mwenye hisa 39.9%
  • william john malecela(le mutuz) hisa 0.19%

pursuant to section 8 of the electronic and postal communication act cap 306 of the law of tanzania ,written comments are hereby invited from any interested person in respect of the grant of licencesto the applicants.

Hongera sana William J. Malecela, ile siku nakusikia unaongea na simu pande za Imaseko kuwa unataka ingia share na tajiri mmoja muanzishe TV station nilidhani utani ati. Sasa imekuwa kweli. Davis kwa jina lake na kwa kampuni yake!!!
 
Hongara zao, Kama kufanya kwao hivyo kutaongeza ajira huku wakiburudisha / kuhabarisha.., All the Best na Kufanya hivyo kunahitaji kupongezwa na sio kubezwa..
 
Hili ni tatizo la kitaifa huyu jamaa akimiliki TV itakuwa ya kiccm zaidi ya TBC

Naikataa kabla hata tangazo kwenda hewani
 
Back
Top Bottom