Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,084
Reaction score
8,406
Kutoka ukurasa wao wa f/book ni zaidi ya saa1 imepita ndege ikiwa na abiria 239 imepoteza mawasiliano na haijulikani iko wapi. Ndege hiyo ilikuwa na abiria toka nchi 13 tofauti, fuatilia screenshot hii ImageUploadedByJamiiForums1394244792.060393.jpg
 
So sad ila naamini marubani watafanya kila juhudi ili waweze kutua kwa dharura eneo watakapopata mawasiliano. Sijui kuhusu sheria za anga kimataifa inapotokea dharura kama hii, wataalam wa aviation tusaidieni ufafanuzi.
 
Mkuu ni kuwaombea tu hayo mawasiliano yapatikane na watue, kwa Beijing saiv ni sa10:30am na walitakiwa sa12:30 watue so kuna 2hrs ku-assume wako angani tusubiri updates. Hapo ndege ndio inapokuwa mbaya
 
Wengi ni Wachina.... 153. Wishing everyone is safe somewhere.
 
Kwa mujibu wa msemaji wa Malaysian Airlines aina ya ndege ni Boeing 777-200 na ameeleza huenda ikawa imemaliza mafuta.
 
Search and rescue has began. For more information please call +603 7884 1234.
 
This is so awful. Yaani until now they haven't found the flight yet! Isijekuwa kama yale yaliyoikuta Air France kule Brazil.
 
Back
Top Bottom