Search results

  1. Sinewy

    Wanaoifahamu Zanzibar, hii mvua imewahi kutokea lini??

    Ha ha ha aha aha aha ah
  2. Sinewy

    Huyu DJ amewezaje kumiliki mali zote hizi?

    Huyu akilazwa hospitali wiki utasikia michango ya matibabu
  3. Sinewy

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    OPINIONOPINION, Opinions|Russia-Ukraine war Western media and the war on truth in Ukraine Deception is at the heart of all warfare. Marwan Bishara Senior political analyst at Al Jazeera. NIMECOPY Published On 4 Aug 20224 Aug 2022 Ukraine's President Volodymyr Zelenskyy speaks to the media as...
  4. Sinewy

    Jezi za Taifa Stars zimeangalia maslahi ya Yanga

    Makonda ni kama nani hapo
  5. Sinewy

    WALIMU WANAHITAJIKA HARAKA (NAFASI 6)

    Ukiwapigia sim wanasema ni kaizerege ya bukoba halafu huyu anasema twende dar
  6. Sinewy

    Mageuzi makubwa sana

    Photo duka angalia vizuri
  7. Sinewy

    Kwa wale mnaotafuta kazi, soma uzi huu

    Kama wewe ndio iliwafanyia interview hata kuandika tuuu hujui hiyo kampuni ni uhuni mtupu!! Mbaya zaidi wewe uliingia bila hata interview
  8. Sinewy

    RASMI: majina ya walimu ajira mpya April 2019

    Sio kweli labda kama list imetoka upya hakuna mwalim wa art au lugha hata mmoja
  9. Sinewy

    RASMI: majina ya walimu ajira mpya April 2019

    Sio ya mwaka jana kweli haya
  10. Sinewy

    RASMI: majina ya walimu ajira mpya April 2019

    Huu ni uhuni kabisa aiseeee
  11. Sinewy

    Kwanini Diamond hashindi tuzo kwa sasa

    Ila wabongo mko vizuri sana yaani unaongea kama vile unaishi marekani Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Sinewy

    Hali ya hewa: Mvua zitakuwa chache hivyo wakulima walime mazao ya muda mfupi

    Tanzania ipo kwenye inter tropical convergence zone ambapo hali ya hewa huwa sio rahisi kuitabiri tofauti na maeneo mengine ya dunia ambapo unaweza kutabiri hali ya hewa ya mwezi mzima na kukawa na tofauti ndogo sana lakini kwa maeneo ya ikweta sio rahisi kutabiri, Lakini pia tatizo sio wataalam...
  13. Sinewy

    Ni DJ gani unakubali/haukubali playlist yake iwe kwenye Redio au Club?

    Mmemsahau romy jones wa bwana almas Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Sinewy

    Kuna demu kaniambukiza Pumbu illusion

    Inaitwa pumbu erosion Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Sinewy

    Clouds redio onesheni upendo kwa Ruge, kujali ratiba ya vipindi vyenu!!.

    Mkuu umeiba avatar yangu au zimefanana!!? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Sinewy

    Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Kuhusu malazi kampala sio issue kabisa sababu ukipanda basi la friends kuna watu wa hoteli wanakuchukua mpaka hotelini kwao, kuna mpaka room za elfu 20 ya tz na inakuwa standard kwa wale wenye kujibana mnaweza lala hata wa 2 Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Sinewy

    Ibada ya kweli kwa Muafrika ni tambiko

    Mwanamalundi wa usukumani aliweka maziwa yakakaa miaka bila kuganda akiwa kifungoni kisiwani, aliukausha mti mkubwa sana kama ishara yake ya mwisho wakati akikamatwa na askari wa kikoloni, soma historia ya utamaduni wako ndugu usiishie kwenye sunday school tu na madrasa Sent using Jamii Forums...
  18. Sinewy

    Mrejesho kutoka NSSF

    Rudia tena kusoma sio kwa mkupuo ni mwezi mpaka mwezi Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Sinewy

    Mrejesho kutoka NSSF

    Naomba niishie hapa maana naona unanitaftia ban we nani kakwambia nitafikisha 55 Sent using Jamii Forums mobile app
  20. Sinewy

    Mrejesho kutoka NSSF

    Kuna watu wamepewa cheki ya 66,000 we unaongelea hiyo!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom