Search results

  1. Shomari

    Tabia za wanasheria wa kike ziko vipi?

    Ndugu zangu. Kwanza Mungu awabariki. Kuna ndugu yangu ameanza mahusiano na binti mwanasheria miezi kadhaa iliyopita. Kuna tetesi kwamba hawa viumbe huwa ni wakorofi na huwa hawataki kushindwa. Kuna mtu anayeweza kuthibitisha hili? Na tabia gani nyingine wanazo? Jamaa yangu anataka kujua.
  2. Shomari

    Tabia za wanasheria wa kike ziko vipi?

    Ndugu zangu. Kwanza Mungu awabariki. Kuna ndugu yangu ameanza mahusiano na binti mwanasheria miezi kadhaa iliyopita. Kuna tetesi kwamba hawa viumbe huwa ni wakorofi na huwa hawataki kushindwa. Kuna mtu anayeweza kuthibitisha hili? Na tabia gani nyingine wanazo? Jamaa yangu anataka kujua.
  3. Shomari

    Naibu waziri wa fedha ni nani?

    Nimekuwa nikisoma mara kwa mara katika taarifa za habari kuhusu Wizara ya Fedha. kinachonishangaza utakuta wameandika Mwigulu Nchemba ndiye naibu, ama wanaandika Adam Malima. Sasa naomba kufahamishwa yupi ndiye Naibu waziri rasmi? Ama Inaruhusiwa kuwa na manaibu wawili? mnaojua hili naombeni...
  4. Shomari

    Msikilize Komba akiongelea picha za ngono

    http://hu.lk/u0re9hmhd1j4
  5. Shomari

    Penda kazi yako. Kama hauitaki acha.

  6. Shomari

    Huko CCM kuna mambo kwa kweli

    wabunge wa CCM wakijadiliana.
  7. Shomari

    picha iliyonifurahisha !

    Umeielewaje picha hii?, toa maoni yako.
  8. Shomari

    Katuni ya Leo!

    Kamata Mwizi meeen!!!:whistle:
  9. Shomari

    Makampuni ya ulinzi Tanzania. Msaada

    Habari wandugu. nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kuhusu huu utitiri wa makampuni ya ulinzi tanzania, kila kukicha linaanzishwa jingine. baada ya hii issue ya Red brigade, nikaona niilete hii mada tuijadili. Itakuwaje pale mtu atakapoamua kuanzisha kampuni zaidi ya moja ama mbili za ulinzi...
  10. Shomari

    ni kwanini wabongo tunapenda sana kujikuna sehemu hizi?

    JAmani, tatizo ni nini, utakuta mtu anajikuna sehemu nyeti hata kama ni mbele ya mama mkwe. ni nini hasa chanzo chake?
  11. Shomari

    Ingekuwa ni nchi zenye kupenda demokrasia........

    Ingekuwa ni nchi zenye kuamini Katika Demokrasia na haki. basi waziri wa Ulinzi angekuwa ameshajiuzulu kutokana na uzembe katika kifo cha malaika huyu huko Tarime. Lakini kwa vile nchi yetu imejaa wababaishaji wasiopenda maamuzi magumu, tusitegemee haki kutendeka.
  12. Shomari

    Ni hatari kuji-expose kwenye mitandao!

    dada mmojawapo wa kitanzania , akiwa na bulungutu lake la vijisenti, huku ni kuwaalika majambazi waje kukubaka. hatari sana.
  13. Shomari

    Sheria inasemaje pindi ahadi za Mh. Rais zinaposhindwa kutekelezwa?

    Hamjambo? Wengi wenu nadhani mtakuwa mmeiona mara kwa mara orodha ya ahadi kede kede alizowahi kutoa mheshimiwa Jakaya kikwete katika kampeni zake za kuingia Ikulu kwa ngwe ya pili. Ahadi nyingi hazijatekelezwa, mpaka inafikia kipindi watu wanakuna vichwa na kujiuliza kwamba , hapa Mh, Kikwete...
  14. Shomari

    Natafuta wimbo wa kasongo Mpinda

    Habari wanajamvi. natafuta wimbo unaoitwa Kibera acha chuki, umeimbwa na kassongo Mpinda kama sikosei. kama kuna mtu anajua tafadhali auweke humu ama aniambie wapi nitaweza kuupata. asanteni sana.
  15. Shomari

    Msaada: kuangalia TCV ama TBC Live mtandaoni!

    naombeni kujua wajuzi. wapi ninaweza kupata huduma hii ya kuangalia Cheneli za bongo kwenye mtandao?
  16. Shomari

    A Collection of Unique Images Found On Google Street View

    Page 2 Page 3 Page 4
  17. Shomari

    Condom with teeth

    You read that right. These female condoms are designed to be worn by women who are at high-risk of being assaulted. And any man who assaults a woman wearing this will never assault anyone again.
  18. Shomari

    Oganaizesheni ya mafunzo CHADEMA

    CHADEMA wana oganaizesheni ya mafunzo ambayo mkurugenzi wake ni Benson Kigaila. nachotaka kujua je haya ni mafunzo ya darasani ama mafunzo ya namna gani hasa?. ni hilo tu linaloniumiza kichwa. wanachadema naomba mnifahamishe. Asanteni .
  19. Shomari

    Ombi: Kwa Waandishi wa habari za uchunguzi!

    Wasalaam! Hapa nilipo ninaandaa hadithi inayomhusu mwandishi wa habari za kichunguzi ( Investigative Journalist ). Binafsi sina uelewa wowote kuhusu uandishi wa habari , bali nina mapenzi na kuandika hadithi. Mambo ninayotaka kujua ni haya : 1. Ni ipi miiko ya uandishi na ufuatiliaji wa habari...
Back
Top Bottom