Wakuu habari za asubuhi,
Tafadhali naomba msaada nilikuwa naendesha Suzuki Carry (kirikuu) lakini ghafla ikawasha hiyo warning light kwenye dashboard. tafadhali naomba kuelewa hiyo taa inamaanisha shida iko eneo gani au shida ni nini kabla sijaenda kwa mafundi wetu?
Mwili wa binadamu uwa unazalisha chaji(static electric) ambazo hupelekea hali kama hiyo kutokea unapogusa vitu vya aina hiyo.Ndio maana kwenye mazingira ya kazi kama Gas Plants moja ya safety procedure kabla hujafanya maintenance uwa kuna kifaa unatakiwa ukishike kwa ajili ya kutoa chaji zote...
Ujasiriamali ni dhana ambayo misingi yake mikuu ni kujifunza kila leo,kupenda unachofanya,uvumilivu wa kusubiri matokeo na ubunifu.Katika nyakati za sasa watu wamekuwa wakiingiza kwenye shughuli za uzalishaji mali kwa dhana ya ujasiriamali wakati wakitaraji mafanikio makubwa kwa muda...
Kiukweli azam tv wako vizuri sana ila waangalie kitengo cha huduma kwa wateja (customer care) kwa kweli huku wale wapokea simu suala la weledi wa kuongea na mteja bado haujakaa sawa.
Mkuu utaratibu wa kupata visa ni kuwa na documents sahihi kwa aina ya visa unayoomba.kwa vile mdau umesema amepata sholarship yeye hana tatizo kwa sababu documents zitaonyesha anaweza kumudu maisha ya UK.Ishu ya pili ni jinsi gani mke wake anaweza pata visa ya kwenda na mume wake.hapo atatakiwa...
Hiyo ratiba ni uzushi tu maeneo mengi yamekatiwa umeme hayapo kwenye hiyo ratiba.kigamboni wamekata umeme saa 2 asubuhi hivi na ratiba sidhani kama inaonyesha mgao leo kwa huku.
Hongera sana mkuu.Ujasiriamali ni mgumu hasa unapoanza kwanza unakutana na changamoto ya jamii inayokuzunguka kukuona umechanganyikiwa kwanini uache kazi ambayo ilikuwa na uhakika wa kipato kila mwisho wa mwezi.Na hili ndio linalopelekea kushusha hari ya vijana kupata udhubutu wa kufanyamambo...
Great move kaka!!hongera sana wanasema ujasirimali ni kama dini ukishaamini basi utafanikiwa haijalishii mara ngapi utaanguka.Na kwa nchi yetu tukiweza kupata watu wenye ujasiri kama huu hakika tutakuwambali.Jamii inaleta tafsiri mbaya kwamtu kuwa msomi ni kuwa hatakiwi kufanya shughuli za...
Mkuu species ulizokua nazo ni hizo tu ulizotaja??blackmore, koi na angel hauna?pia red ni wale fence au wa kawaida??Na gold pia ni weusi au wekundu??asante kaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.