Search results

  1. W

    Nauza Karatasi Bei Poaa

    Hilo A4 ni Aina gain?
  2. W

    Refregeration Containers

    Habari wandugu, Eti wapi naweza pata refregeration container hapa Tanzania? Kwa ajili ya kufreez samaki au kutengeneza ice. Kwa mwenye information nijuze tafadhali.
  3. W

    USHAURI: Jinsi ya kuweza kuhifadhi pesa kutoka katika mshahara

    Save the amount you want and spend what remains, but don't wait to spend first and save what remains, maana huwa hazibaki kaka!
  4. W

    Wahaya; Kwa huu utamaduni wenu, mnatuchanganya wageni tunaokuja kwenu!

    Tembea na maeneo mengine ndugu,............ utaona mwenyewe
  5. W

    Ku flush vodaphone moderm

    Model ni K3565-Z
  6. W

    Ku flush vodaphone moderm

    Wakuu salama? kwa anaejua namna ya kuflush vodafone moderm hii IMEI: 3565117032175237, S/N: 320892712528. Naomba anisaidie. Voda maeneo yangu inasumbua sana hai connect kabisa.
  7. W

    Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

    Hapo umenigusa mkuu, Hebu nipe utaratibu wa kuanzisha Bureau de change kama unaufahamu.
  8. W

    Nimeshanganyikiwa Sijui ntafanyaje naombeni wenu wanaJamiiForums

    Inaonyesha wazi wewe UKIMWI huuogopi, lakini kwa kuwa unaogopa mimba kiasi hicho basi zingatia kutumia kinga. Ndo maana inaitwa kinga,! kinga unachokiogopa.
  9. W

    Caller tunes -- najitoaje?

    Thanks mkuu,
  10. W

    Caller tunes -- najitoaje?

    Wana JF msaada jamani, Voda na Airtel wananiibia nimechoka. kazi yao kuniambia wamekata 400 mara 210 eti gharama ya caller tunes. Naomba msaada namna ya kujitoa kwa anayejua
  11. W

    Askofu Mokiwa ashitakiwa kwa kumshika makalio Mtikila

    Hivi kumbe hata mabishop wanatembea na pisto? nilifikiri ulinzi wa bwana wanaemtumikia na kutufundisha unatosha!
  12. W

    Tahadhari! Tahadhari!

    Haya mashabiki wa Manchester yenu hayo. Bila shaka cha Van P. kitakuwa bado hakijatobolewa si ni kipya sanaa! kazi kwenu
  13. W

    Wanamke wenye matiti makubwa wana mvuto katika mapenzi?

    Mmmh! Nahisi kuna mahali umeona unataka ku-Test weye! Nenda kajionee mkuu, practical ina majibu yoteeeeeee
  14. W

    Rukia Kilemile; CHADEMA wavurunda kwa Aibu London

    Hata ujumbe wa NEC!!
  15. W

    Rukia Kilemile; CHADEMA wavurunda kwa Aibu London

    Kiganyi, usijali sana. Ungekuwa muujiza wa kisiasa kama kada/shabiki/Nazi wa CCM huko UK angetoa makala tofauti na hii. Ukimfutatilia sana alivyofikafika huko utajuwa ni kwa nini. Labda tu, siijui affiliation yako kisiasa! uko huru kama mie?
  16. W

    CCM Madarakani: Sababu za kuitoa, ugumu wake na mbinu mbadala za kuing'oa

    Mkuu, mimi napata shida kidogo. Wengi wanafikiri just kuitoa CCM madarakani ndo suluhisho la matatizo, lakini mi nafikiri lengo should be changing the system. System yetu iko loose, ndo maana yeyote yule aweza kuwa fisadi na kufanya kama CCM wanavyofanya au hata zaidi kwa ubaya. kwa sasa unaweza...
  17. W

    Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

    Tuchukulie hizo ni sifa za "first choice" sasa ulitakiwa uwe na sifa za 2nd choice pia. Plan B muhimu sana katika mambo mengi.
  18. W

    MPASUKO mkubwa CCM, Juhudi za Kimataifa zinahitajika kukinusuru!

    Hapo patamu, nawee uko kundi gani katika hayo?
Back
Top Bottom