Wakuu salama? kwa anaejua namna ya kuflush vodafone moderm hii IMEI: 3565117032175237, S/N: 320892712528.
Naomba anisaidie. Voda maeneo yangu inasumbua sana hai connect kabisa.
hacha uvivu kamanda maana uchakachuzi wa hiyo kitu umezungumziwa sana humu na kuna tread kadhaa kuhusu hiyo model na jamii zake so fanya kusearch utapata nyuzi za zamani za kufumbulia hilo tatizo lako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.