Caller tunes -- najitoaje?

Caller tunes -- najitoaje?

Wakwao

Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
22
Reaction score
0
Wana JF msaada jamani, Voda na Airtel wananiibia nimechoka. kazi yao kuniambia wamekata 400 mara 210 eti gharama ya caller tunes. Naomba msaada namna ya kujitoa kwa anayejua
 
sina uhakika kwa airtel na Voda ila katika tigo unaandika ondoa kwenda 15050 na hata wakikuambia tena umeupenda wimbo huu bonyeza *
acha nao ni waongo na hizo caller tune ni makampuni ambayo hayako katika kampuni hizo za simu na wameshtukiwa na wanamuziki walipotakiwa wawalipe wanamuziki. Swala hilo Zitto Kabwe aliliwakilisha Bungeni kwani wanachukua 80% ya malipo tunayokatwa kwa kusikiliza music huo na hayawafikii wanamuziki
 
kwa voda tuma neno ondoa kwenda 15577 utakuwa umejitoa
 
Back
Top Bottom