Search results

  1. lawyer lawyer

    Uvumivu, utulivu na busara za Rais Samia kuliweka Taifa salama

    Kwa miaka hii michache ambayo Rais Samia amekaa madarakani ame prove kuwa yeye ni mmoja wa marais bora kuwai kutokea duniani. Rais Samia amefanikiwa kwa muda mchache sana kuturejeshea furaha, tabasamu na uhuru wa Tanzania ingawa anapambana na vita kali sana ya kiuchumi na kiungozi kutoka kwa...
  2. lawyer lawyer

    Viongozi wa CHADEMA na maslahi binafsi kwenye suala la Mkataba wa Bandari

    Wazee washauri wa CHADEMA mpo?mmejificha wapi? Jitokezeni muwashauri hawa viongozi, ni wazi wameamua kutumia suala la bandari kama kichaka chao cha kupiga fedha za chama. Kwanini? 1. Kwa makusudi wameamua kutumia nguvu isiyo sahihi kuikosoa serikali iliopo madarakani. 2. Gharama wanazozitumia...
  3. lawyer lawyer

    Jua kazi inayokufaa kulingana na tarehe yako ya kuzaliwa

    Kuna ukweli mkubwa sana hapa. MziziMkavu umetisha sana. Nakisomo changu lakini napenda kufanya kazi isio hitaji kisomo sana kumbe kuna sababu zàke.
  4. lawyer lawyer

    Mke wa mtu kadata na penzi langu

    Asante kwa story yako... Endelea kutafuta sifa na kujisifia upuuzi hivi hivi kwenye mitandao mpaka utakapo kuwa ndio uwache. Pia ukienda shule usisahau kuwa adithia na wenzako hii stori.
  5. lawyer lawyer

    Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

    Huja itendea haki mzumbe. Mpaka sasa inaonesha una vyeti ila knowledge huna. Tujulishe na jinsi ulivyo ipata degree yako maana vyuoni lecturers wanasifika kwa kupenda ngono in return of good course work.
  6. lawyer lawyer

    Naomben ushauri

    Movie yako nzuri ila inaonesha starring ajui wajibu wake.
  7. lawyer lawyer

    Wadada:- Kuna uhusiano mkubwa kati ya chupi zenu na tabia zenu.

    Chupi aina ya kandambili...?? hakika leo ume dhamilia kutuchekesha.
  8. lawyer lawyer

    Mhitimu niliepoteza dira

    Kuhitimu chuo sio tatizo. Je ume hitimu na GPA yangapi ?. Unayo knowledge ya law kichwani. unauwezo waku figure out issues and apply law in any litigation. Fanya kazi ya kujitolea sehemu yoyote ile kwanza wapime uwezo wako pia upate experience. law ni experience na knowledge.
  9. lawyer lawyer

    Open Govt Survey report: Serikali ya Kikwete/Tanzania haitaki uwazi!

    Kwa serikali hii iliyopo inayo jua kuimba wimbo wa utawala bora ila vitendo vyake tofauti na utawala bora sio kitu cha ajabu kwao Rais kukutana na jambo kama hilo. Watawala wetu wanajitumikia wao wenyewe binafsi baadala ya kutumikia wana nchi ndio maana habari za ufisadi au uhujumu uchumi hazi...
  10. lawyer lawyer

    Bosi, Mdomo wako unanukaaa!

    Nizamu kitu cha muhimu sana. usimseme ovyo boss wako. Tumia busara kumuambia ukweli kama anatatizo ajirekebishe au tumia nafasi yako kumsaidia aepukane na hilo tatizo.
  11. lawyer lawyer

    CHADEMA vyuo vikuu walaani Zitto kuvuliwa uongozi, wakemea ubabe

    Tutasikia mengi sana maana kila mtu amekuwa muongeji wa chama juu ya issue. Hao wanafunzi wanachama wa chadema nilazima watambue kuwa chadema ni chama na kinaongozwa na katiba na sio kikundi cha watu ndio wana kiongoza chama kwa matakwa yao binafsi. Pia hamu wezi mkawa wana chama au wana...
  12. lawyer lawyer

    Brother yangu ameninyang'anya demu kisa ananisomesha na kunigharamia!

    Usiofu kuibiwa demu na kaka yako, sasa hivi soma kwanza, ukija kuwa na kazi yako na pesa zako, historia itajirudia, wewe utamuibia mke.
  13. lawyer lawyer

    Aibu: Tundu Lissu adanganya tena

    Kabla huja ongea lolote kuhusu chadema na zito, unahitaji kuji uliza maswali haya. 1. Chadema ni zito kiasi bila yeye chadema haito kuwepo tena? au 2. Chadema ni people's power? Ukipata jibu hauto babaishwa na kelele za mfamaji zito. lazima utambue kuwa chadema ni kama...
  14. lawyer lawyer

    TANZIA: Member wa JF, Sunguti2009 afariki dunia

    Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina la bwana libalikiwe. Bwana ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, amen
  15. lawyer lawyer

    Mwigulu Nchemba ni hazina ya taifa,nimemfahamu,nimeona upako wa uongozi ndani yake

    Pumba ulizo ziandika, hakika hata Mwigulu Nchemba atakuwa ana kucheka kwa jinsi ulivyo onesha udhaifu wa kutushawishi wa Tanzania kwa hoja zako za kisiasa zi sizo na mashiko. Alafu inaonesha hata hujui siasa ya Tanzania ilipo fikia na niwatu wa aina gani wa Tanzania tuna wataka kwa sasa...
  16. lawyer lawyer

    Baba Mkwe wangu ananitishia NISHAURINI

    Kwatabia walio onesha wazazi wake mkeo ni dhahiri vituko vyote, ukorofi na ujeuri anao kufanyia mkeo ni matokeo ya malezi alio pewa na hao wazazi wake. Naamini mpaka sasa utakuwa umeisha jua mkeo na familia yake ni watu wa aina gani. Kwahali ilivyo jionesha una hitaji wewe mme utumie busara...
Back
Top Bottom