Search results

  1. Hansy wa East

    Kwa wale wafwatiliaji wa mieleka (wrestling) hivi yale mapigano ni ya kweli au maigizo

    Yale ni maigizo na mtu aliumia ni bahati mbaya mwenzake anakua kaosea walichopractice. Karibu MMA uangalie real fight ukizubaa sekunde mtu kashakupasua tena haswa zile za UFC Ndo kali zaidi
  2. Hansy wa East

    Boko haram ni mali ya CIA ya Marekani

    Nakumbuka Bongo kabla mikataba ya gesi haijasainiwa hali ilikua tete mara mabomu Arusha kanisa mara zenji fujo tupu ilivosainiwa hali ikawa shwari kabisa. Shkamoo wazungu
  3. Hansy wa East

    Boko haram ni mali ya CIA ya Marekani

    Waafrica tutaweza kuzishinda propaganda za wenzetu inabidi tuwe na viongozi kama the late Gaddafi na mzee yule alohonga nchi kwa wife ila hawa wapenda kulamba miguu ya wazungu vita haitaisha Africa abadani
  4. Hansy wa East

    Boko haram ni mali ya CIA ya Marekani

    Boko haram wale wahuni sana wanateka mabinti wanawabaka shubaaaamittt wale jamaa wahawez kua na dini wale ni wapagani kabisa huez kua muislam unateka watoto wa shule wakat katk jihad hutakiwi kuua mwanamke wala mtoto plus hutakiwi kuharibu mazingira wale jamaa wasingefanya hayo at least...
  5. Hansy wa East

    Mahakama ya Ilala imemhukumu Salum Njwete 'Scorpion' Kifungo cha miaka saba na faini ya sh milioni 30

    Ukiona mtu anakushtaki jua either unamzidi pesa unamzidi mabavu au anataka akufikisi
  6. Hansy wa East

    Mahakama ya Ilala imemhukumu Salum Njwete 'Scorpion' Kifungo cha miaka saba na faini ya sh milioni 30

    Mjini ubabe ubabe tu kesi zinazoenda polisi chache sana nyingi zinaisha kimjini mjini nimekupiga nenda gym kajipange unakuja tunazichapa tena hvo hvo mpk tunakua marafiki ukienda kila siku polisi unaonekana boya watakubebea hadi mkeo. Sema siungi mkono kuchukua sheria mkononi ni mambo tu ya mjini
  7. Hansy wa East

    Mahakama ya Ilala imemhukumu Salum Njwete 'Scorpion' Kifungo cha miaka saba na faini ya sh milioni 30

    Saidi ndo alikua mwizi hilo linajulikana alimuibia mdogo ake scorpion kibabe sasa jamaa akaenda kumuadabisha sema kazidisha adhabu so akale mvua tu hamna namna
  8. Hansy wa East

    Waziri Jafo na clouds FM radio waombeni radhi haraka sana walimu wa Kiwangwa sekondari- Bagamoyo

    Dah jamaa wanatajirika kilaini kabisaaa wapi wakili msomi akawabebe walimu wapige muamala
  9. Hansy wa East

    Fahamu jinsi ya kutengeneza chakula chako cha kuku ili kupata faida

    Mungu akuzidishie mkuu umenipa moyo sana nlidhan ni tatzo kubwa sana asante sana kiukwel walikula pumba tu wiki nzima bila mchngnyko wowote na walikaa ndani wiki nzima bila kutoka haya kdg nilisafiri nikaacha mtu ambaye hakuweza kuwatafutia chakula kinachofaa.
  10. Hansy wa East

    Fahamu jinsi ya kutengeneza chakula chako cha kuku ili kupata faida

    Wakuu kuku wangu wana hali mbaya wanatokewa vidonda kichwani macho yanafumba hawaoni wanakosa nguvu ni kuku wa kienyeji wapo hamsini wote wakubwa wamefikisha miezi saba nifanyeje hapa akili imevurugika kabisa nmewaunua laki sita wote.
  11. Hansy wa East

    Coyo: Huyu chalii anupekee fulani.

    Story za chidi anamoker moker na wee fundi sana huyu jamaa
  12. Hansy wa East

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Eneo kutoka kwenye nyumba yenye umeme ni kama mita 250 hadi 300 kwa makadirio kutoka kwangu ila katikat ya huo umbali zimekatiza hizi series za towers mpya zinazosafirisha umeme wenye 400,000 volt sasa kikubwa nachotaka kujua ili nguzo za kawaida zipite chini ha huu umeme wa masafa nini...
  13. Hansy wa East

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nipo singida, mimj nataka kuvuta umeme mteja mpya ila nazungushwa naambiwa service line haiwez kupita chini ya huu umeme wa hizi towers line mpya zenye malaki ya kilowatt zilizopita Singida kwenda Mwanza. Ssa naomba kujua nifanye nini ili niweze kupata mapema iwezekanavyo huduma ya umeme...
  14. Hansy wa East

    Kwanini uchimbe mashimo kwa ajili ya Choo?Usichimbe soma hapa

    Chimba shimo panga tairi za Scania supper single shimo litadumu kuliko kujengea tofali wala kupanga mawe halafu gharama haifiki laki
Back
Top Bottom