Helicobacter pylori
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 419
- 277
Ni kweli. Ila ni kutazama tu Daktari.Great.... but sidhani kama yaweza kuwa coryza hii mkuu
Ni kweli. Ila ni kutazama tu Daktari.Great.... but sidhani kama yaweza kuwa coryza hii mkuu
Ingekuwa ni coryza kungekuwa na some form of discharge or secretion kwenye nostril.Ni kweli. Ila ni kutazama tu Daktari.
Ni kweli mkuu, ila sijasema kuwa ni coryza usininukuu tofauti DaktariIngekuwa ni coryza kungekuwa na some form of discharge or secretion kwenye nostril....
Tuko pamoja mkuu. Ubarikiwe sana kwa mchango wako.Ni kweli mkuu, ila sijasema kuwa ni coryza usininukuu tofauti Daktari
Mungu akuzidishie mkuu umenipa moyo sana nlidhan ni tatzo kubwa sana asante sana kiukwel walikula pumba tu wiki nzima bila mchngnyko wowote na walikaa ndani wiki nzima bila kutoka haya kdg nilisafiri nikaacha mtu ambaye hakuweza kuwatafutia chakula kinachofaa.Kwa kuongezea,
Wapake ayodini kwa ajili ya kuwaisha uponaji wa vidonda na kuzuia vimelea vingine kupenya.
Kuongozea na mboga za majani ni vyema pia kama utapata Mchanganyiko wa Vitamin (Dukani) hasa zile zenye Kiwango kikubwa cha vitamini A ukatumia.
Wacheki pia kama wanamafua, funua kope ucheki kama kuna utando mweupe. (Kama majibu yako yatakua ni chanya tumia pia na Dawa za mafua na wasafishe macho)
Aksante sana! Ufugaji ni Uvumilivu, Umakini na kujituma. Kila la kheri Mkuu.Mungu akuzidishie mkuu umenipa moyo sana nlidhan ni tatzo kubwa sana asante sana kiukwel walikula pumba tu wiki nzima bila mchngnyko wowote na walikaa ndani wiki nzima bila kutoka haya kdg nilisafiri nikaacha mtu ambaye hakuweza kuwatafutia chakula kinachofaa
Nimekuja mkuu!!
Nimekuita ufaidike na darasa jembe langu.Nimekuja mkuu!!
Duh ujuaji mbaya hapanilishauliza mtu wa duka la ujenziSio chokaa ya kujengea mkuu nenda kwa maduka makubwa ya mifugo waulizie nataka chokaa ambayo itumika katika utengenezaji wa chakula cha mifugo watakupatia
PM kwa mawasiliano zaidi.Mkuu somo zuri ila nimekosa namba yako ya simu.