Search results

  1. UKI

    Jamani wanofuatilia bgt mmeona wanawake wa kitanzania hayo mauno ?????

    Nilikuwa naangalia BGT (british Got Talent) mashindano haya ni mahususi kwa waingereza kutafuta kipaji chochote ulichonacho iwe kuimba,dancing, kucheza na mbwa na kila kitu unachokijua,(mwaka jana mbwa ndio alishinda jinsi anavyochezeshwa mziki na kufualitia kwa vitendo) Leo nimeshangaa nimeona...
  2. UKI

    Jf apps kwenye iphone imenigomea kwa sasa msaada tafadhali

    Hi jf natumia iphone 5 nili download apps za jamii forum kwenye simu yangu miezi mitatu iliyopita na ilikuwa inafanya kazi vizuri tu wiki kama mbili hivi nikiifungua inafunguka ila nikianza kuingia kwenye forum tu inapotea nilichokifanya nilidelete nika install tena ikaanza kufanya kazi kama...
  3. UKI

    Cima for mba- student

    hi wanajamii Naomba kuuliza kwa hapo Tanzania kuna kituo chochote ambacho kinatoa review class kwa ajili ya hii mitihani ya CIMA hasa kwenye level ya mwisho? au ni mwendo wa online tu? maana online gharama inakuja kwenye kukutumia vitabu vyao. kama kuna mtu anaefanya hii mitihani hapo home...
  4. UKI

    Naomba kujua ni msanii gani wa bongo flava alieimba kwenye movie ya the house

    Please kama unajua msanii wa bongo flava wimbo wake umetumika kwenye movie ya kimarekani ya "THe house at the end of the street" ni msanii gani huyu? movie hii imetolewa mwaka jana 2012 nikasikia mtu anachana bongo flava ndani nikashangaa sana director wa hii movie ni Mark Tonderai starring ni...
  5. UKI

    Ukifaulu hapa nani mjanja?

  6. UKI

    NJIA SAHIHI ZA KUTOA TAARIFA ZA UDHALILISHAJI KWA KIONGOZI MKUBWA KWA KISASA PLs USHAURI.

    Jamani kisa hiki ni kwa ukweli napia kinahitaji sana ushauri wenu kabla ya kuchukua hatua maana tusipoangalia maisha ya huyu kijana ambae ni mdogo wangu yanaweza kuwa hatarini kuna kiongozi mkubwa wa kisiasa katika jamhuri ya muungano wa Tanzania sitasema ni upande gani alikutana na mdogo wangu...
  7. UKI

    Kwa wanafunzi wanaosoma nje kuingiza gari.

    Wadau kuna mdogo wangu yupo uk amemaliza masomo yake anatarajia kuja na gari ambayo alikuwa anaitumia alipokuwa huko sasa nauliza ile sheria ya msamaha wa ushuru kwa wanafunzi bado upo au umeshafutwa mwaka huko home? please wadau naomba msaada wenu kabla hajafanya maamuzi.
  8. UKI

    Naomba watu wenye ushauri wa busara wanisaidie hili, ni muhimu sana

    NAITWA FRANK (sio jina halisi) nimetokea kumpenda binti Jane(sio jina halisi) tulisha do mara moja tu tukapanga kuchumbiana na tukakubaliana sasa jambo moja limejitokeza nilikuwa simjui ni mtoto wa nani ingawa kumbe mama yake ninamjua vizuri na hii kwa kutomjua mama yake ni kwa sababu alikuwa...
  9. UKI

    Udahili wa kozi ya magereza kuna kipengele cha udhalilishaji

    Aisee nilikuwa sijui binam yangu alifanya udahili wa kozi ya kwenda kusomea askari magereza alishapita hatua za mwanzo kabisa ni kuingia na kuanza kusoma ila katika kupimwa afya na mambo mengine kuna lingine limenisikitisha swala la kupimwa kama wewe ni mzima au umeshachakachuliwa sehemu zako za...
Back
Top Bottom