Ukifaulu hapa nani mjanja?

UKI

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
691
172
426660_444885785562736_1111177301_n.jpg
 
Unamaanisha nini mbona sijakuelewa?Usitake niambia kuwa Samsung na Apple wanaigiliziana duh basi noma.Niulize swali eti kwanini Kesi ya Samsung na Apple kwa nchi nyingine Samsung anashinda ila akienda kesi za USA lazima apigwe chini?
 
Yaani hapo wamemdhalilisha sana Samsung.

Yaani Samsung (he) anadokolezea kwa Apple (she) kiasi cha kuwa si kudokolezea bali ni kugandamizia. Duh! Hiyo kali.

Afadhali Nokia, yeye anajikazania lwake na kapenseli kake.
 
Back
Top Bottom